Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akataa wito mataifa ya magharibi kufuta sheria kali juu ya mapenzi ya jinsia moja. Tanzania bado tunaangalia upepo

Lukumba

Member
May 24, 2023
35
91
Ikiwa ni moja ya sheria kali zaidi duniani ambapo mtu yeyote anayesambaza ushoga anaweza kuhukumiwa kwa kifungo cha maisha au kifo ambapo amesema sheria imeishapita na haiwezi kufutwa.

Akiongea katika mkutano wake na wanachama wa chama cha NRM amesema chama hicho hakijawahi kutumia lugha mbili tofauti au zinazokinzana ni kwamba wanachokisema mchana ndio ichoicho watakisema usiku na zoezi la utiani saini wa muswada umekamilika , hakuna Mtu atakayetubabaisha wala kutututisha wala kututingisha .

Waganda wanapaswa kuwa tayari kwa vita siku zote vita ni vya majasiri sio kwa watu wadhaifu , ikumbukwe baada ya muswada huo kutiwa saini , Rais wa Marekani Joe Biden ametishia kuiwekea vikwazo Uganda huku wanaharakati wa Uganda wakitoa wito kwa wafadhili wa kimataifa kuweka vikwazo dhidi ya viongozi wa Uganda na mpaka sasa tayari Spika wa Bunge la Uganda amefutiwa viza ya kuingia nchini Marekani.

Wakati hayo yakiendelea nchini UGANDA tayari zaidi watu 400 wametiwa mbaroni kwa kosa la kushiriki mapenzi ya jinsia moja .

Nchini Tanzania toka wimbi la mapenzi ya jinsia moja kuongezeka nchini huku wengi wakijinadi katika mitandao ya kijamii kama sehemu ya kazi yao , hivi karibuni Rais Samia Suruhu Hassan katika moja ya hotuba yake alifokea vitendo vya mapenzi ya jinsia moja huku akiwashauri watanzania kuwa kuliko kuwafanyia watoto ukatili huo au kuwashawishi kuingia katika hali hiyo ni bora mfanyane nyie wakubwa kwa wakubwa mana mnajua utamu wake lakini sio kwa watoto.

Kupitia baraka hizo niseme watanzania tumeshauriwa tuendelee kufanyana sisi wakubwa kwa wakubwa na sio watoto nafikiri mmenielewa wakati huo huo leo Serikali ya Tanzania imepokea na kusaini mkopo wa kiasi cha shilingi Bilioni 800 kutoka Benki ya Dunia kwa ajili kuboresha miundombinu mbalimbali jijini Dar.

Tanzania Oyeee ... Misaada yote Oyeee ... Mama Samia Oyeeee....., Mashoga Oyeeee , wasagaji Oyeeee... Marekani , UingerezA , Benki ya Dunia , IMF Oyeeee
 
Nchi za kiafrika bhana hivi ushaga na wizi wa mali za uma kipi kinatakiwa kutungiwa sheria kali?
 
CIA na FBI watampindua, it is a matter of time
 
Nchi za kiafrika bhana hivi ushaga na wizi wa mali za uma kipi kinatakiwa kutungiwa sheria kali?
Wizi wa umma popote upo hata hao wanaojifanya kuilazimisha Africa iukubali usenge wanazo scandal za wizi so Africa iachwe iuone usenge kwake haufai pia wizi haufai.

Kwa maneno mengine sheria hizo ziende sambamba.
 
Sijui kama umelewa swali langu.
 
Sijui kama umelewa swali langu.
Wewe ndiye hujaelewa jibu langu!

Wewe umetaka kwa sababu Africa kuna matukio mengi ya wizi wa mali za umma basi zitungwe sheria (ambazo tayari zipo kasoro hazitumiki inavyotakikana) za kuzuia huo wizi na hizi za ushoga zisiwekewe mkazo.

Siyo kila anachokisema mtu mweupe na nyie weusi mkikubali vingine vinatia kinyaa,sheria zitungwe na zitumike sawasawa na malengo yake.
 
Safi sana mwamba
 
Attachments

  • 20230322_194254.jpg
    20230322_194254.jpg
    270.3 KB · Views: 1
  • IMG-20230429-WA0030(1).jpg
    IMG-20230429-WA0030(1).jpg
    33.7 KB · Views: 3
  • IMG-20211102-WA0041(1).jpg
    IMG-20211102-WA0041(1).jpg
    11.8 KB · Views: 2
  • Screenshot_20230103-134621_Gallery.jpg
    Screenshot_20230103-134621_Gallery.jpg
    71.1 KB · Views: 2
Museveni anampa sana stress Biden hadi kaanguka akitembea sababu ya mawazo ya kukataliwa ushoga
 
USA wana behave very stupid before this.. but UGANDA is even stupidier .

Tabia za midikteta ni kujifanyaga inaweza ishika dunia. Museveni is more of the hellest dictator in recent years. Kwamba anaamini anaweza fight na west. Tulikuwa na mtu wa type hiyo hapa...unawaita watu mabeberu alafu kesho unataka std gauge.

Tabia za kidictator ni za kipumbavu sana.
Sikubali ushoga..siutaki. But as a president Museveni needed the best approach.
 
Ikiwa ni moja ya sheria kali zaidi duniani ambapo mtu yeyote anayesambaza ushoga anaweza kuhukumiwa kwa kifungo cha maisha au kifo ambapo amesema sheria imeishapita na haiwezi kufutwa.

Akiongea katika mkutano wake na wanachama wa chama cha NRM amesema chama hicho hakijawahi kutumia lugha mbili tofauti au zinazokinzana ni kwamba wanachokisema mchana ndio ichoicho watakisema usiku na zoezi la utiani saini wa muswada umekamilika , hakuna Mtu atakayetubabaisha wala kutututisha wala kututingisha .

Waganda wanapaswa kuwa tayari kwa vita siku zote vita ni vya majasiri sio kwa watu wadhaifu , ikumbukwe baada ya muswada huo kutiwa saini , Rais wa Marekani Joe Biden ametishia kuiwekea vikwazo Uganda huku wanaharakati wa Uganda wakitoa wito kwa wafadhili wa kimataifa kuweka vikwazo dhidi ya viongozi wa Uganda na mpaka sasa tayari Spika wa Bunge la Uganda amefutiwa viza ya kuingia nchini Marekani.

Wakati hayo yakiendelea nchini UGANDA tayari zaidi watu 400 wametiwa mbaroni kwa kosa la kushiriki mapenzi ya jinsia moja .

Nchini Tanzania toka wimbi la mapenzi ya jinsia moja kuongezeka nchini huku wengi wakijinadi katika mitandao ya kijamii kama sehemu ya kazi yao , hivi karibuni Rais Samia Suruhu Hassan katika moja ya hotuba yake alifokea vitendo vya mapenzi ya jinsia moja huku akiwashauri watanzania kuwa kuliko kuwafanyia watoto ukatili huo au kuwashawishi kuingia katika hali hiyo ni bora mfanyane nyie wakubwa kwa wakubwa mana mnajua utamu wake lakini sio kwa watoto.

Kupitia baraka hizo niseme watanzania tumeshauriwa tuendelee kufanyana sisi wakubwa kwa wakubwa na sio watoto nafikiri mmenielewa wakati huo huo leo Serikali ya Tanzania imepokea na kusaini mkopo wa kiasi cha shilingi Bilioni 800 kutoka Benki ya Dunia kwa ajili kuboresha miundombinu mbalimbali jijini Dar.

Tanzania Oyeee ... Misaada yote Oyeee ... Mama Samia Oyeeee....., Mashoga Oyeeee , wasagaji Oyeeee... Marekani , UingerezA , Benki ya Dunia , IMF Oyeeee

CCM na USHOGA/LGBTQ ni Chanda na Pete, yani pipa na mfuniko.
 
Kwamba bongo wanasoma gap 🤣🤣🤣
 
N
USA wana behave very stupid before this.. but UGANDA is even stupidier .

Tabia za midikteta ni kujifanyaga inaweza ishika dunia. Museveni is more of the hellest dictator in recent years. Kwamba anaamini anaweza fight na west. Tulikuwa na mtu wa type hiyo hapa...unawaita watu mabeberu alafu kesho unataka std gauge.

Tabia za kidictator ni za kipumbavu sana.
Sikubali ushoga..siutaki. But as a president Museveni needed the best approach.
Need best approach ...we jamaa upo serious kweli anyawy which approach ambayo ni best?
 
Back
Top Bottom