Rais Samia na 50/50 ya wanawake katika uongozi

Dr James G

Senior Member
Oct 16, 2016
147
242
Wenda Rais Samia ndio atakua rais wa kwanza Tanzania kuweka wanawake wengi ktk nafasi za uongozi kupita vipindi vyote nyuma yake,wanawake ni wengi sasa ile 50/50 apa inatumika vilivyo.

Mbali na kuweka wanawake wengi Katika nafasi za uongoz Lakini pia ndio Rais wa kwanza kuteua mwanamke kua waziri wa ulinzi hii haijawah kutokea ktk historia ya nchi yetu, Dr Tax Ameweka hiyo rekod wakati ambao pia nchi Ina Rais wa kwanza mwanamke.

Katika kipind chake hadi sasa wizara ya mambo ya nje haijaongozwa na mwanaume ,Wameshakaa wanawake wawili wa kwanza akiwa Balozi Mulamula na sasa Dkt Tax akitokea ulinzi.

Spika mwanamke ,japo kwa nchi yetu hii ni mara ya pili muhimili huu mkubwa kuongozwa na mwanamke wa kwanza alikua mama Anna Makinda kipind cha jk ,na kipind cha Rais Mwanamke kuongoza nchi Kama amri Jeshi na wakati huo huo bunge kuongozwa na mwanamke Msomi Dkt Tulia.

Miongoni mwa wizara na taasisi zinazongozwa na wanawake

Bunge,Spika na Katibu mkuu wa Bunge.

Mambo ya nje Dkt Tax

Afya,Mh Ummy Mwalimu

Ardhi,Dkt Angelina Mabula

Ofs ya wazir mkuu bunge,sera na uratibu, Mh Jenista Mhagama, pamoja na naibu wake Mh Ummy Nderiananga.

Ofs ya Waziri mkuu, Vijana ajira na Wenye ulemavu. Prof Joyce Ndalichacko

Tamisemi, Mh angel Kairuki

Uwekezaji,viwanda na biashara,Dkt Ashantu Kijazi

Utamaduni ,Sanaa na michezo ,Balozi Pindi Chana,

Maendeleo ya jamii,wanawake,jinsia na makundi maalumu ,Dr Doroth Gwajima pamoja na naibu wake mh Mwanaidi Ally Khamis (apa ndo Mh Samia akaunda kabisa na wizara maalumu kwa wanawake na mambo yao).

Jeshi la uhamiaji ,kamishina General Dkt Anna Makakala japo huyu amemkuta Lakini kaendelea Naye

Kamishina wa utawala,rasilimali watu jeshi la polisi,Suzana Kaganda

Naibu Waziri sheria na katiba Mh Pauline Gekul

Naibu Waziri Maliasili na Utalii Mh Mary Masanja

Naibu Waziri Maji Mhandis Maryprisca Mahundi

Makatibu na manaibu katibu wa wizara tofaut.

MAHAKAMA

Rais Samia amekuta Idadi ya majaji wanawake 27 wa mahakama kuu ,kwa mara ya kwanza akaongeza idadi kubwa kwa mkupuo wa majaji 22 na kufanya kua na asilimia 35 ya majaji wanawake ktk mahakama kuu kwa kua na jumla ya majaji 35 wanawake na 36 wanaume,pia aliteua majaji 9 katika mahakama ya Rufani .na kufanya kua na idadi ya majaji 10 wanawake sawa na asilimia 38 na majaji 16 wanaume.

Upande wa Mahakama ngazi ya wilaya imeongezeka had kufikia asilimia 50 ,ambapo wanawake ni 141 na wanaume ni 141.

Dhamira ya Rais Samia ni kuhakikisha muhimili huu mkuu wa kutoa Haki unakua na idadi sawa ya 50/50 .

Ni wakati wa wanawake kuacha kulialia usawa katika uongozi na kujitosa kuwania nafas na kufanya vzr ili kuacha alama na kuzidi kuaminiwa zaid,kuna taasisi nyingi zinazoongozwa na wanawake na Zinafanya vzr sana .binafs nawamini wanawake ktk uongozi wengi wao ni watenda haki na wako makini kutimiza wajibu wao ,wengi si wezi wa Mali za umma wengi ni waadilifu wanapokua ofsni, wanchimisi sana wanawake ktk uongozi ni ubunifu wao ni waoga kuleta wazo Jipya lkn hilo sio shida sana Kama watafanya kaz na vijana wabunifu na wasio na tabia za kupandisha mabega,wanawake ni wasimamiz wazuri ktk kazi tuwape Nafasi wanaweza.

Nawasilisha.
 
Wamebadilisha nini kwenye nafasi zao,ilo ndiyo la msingi. Hatutaki wapewe tu kwasababu ni Wanawake,tunataka waoneshe tofauti ya kuongozwa na Mwanaume dhidi Yao.

Ata Ulaya tuliko-copy Aya mambo wanawapa Wanawake wenye uwezo kwelikweli; kwa mfano Ujerumani alikuwepo mwananmke wa shoka Chancellor Angel Merkel na pale IMF alikuwepo Managing Director chuma cha pua Bi.Christine Lagarde na yule wa World trade centre Dr Okonjo.

Sasa hawa wa kwetu wengi wanabebwa tu;dhana ya 50/50 aimaanishi kupachika Wanawake Ili kukamilisha idadi bali wawe na uwezo wa ku-deliver.

Ata USA sidhani kama wanefikisha 50/50!
Pascal Mayalla
 
Wamebadilisha nini kwenye nafasi zao,ilo ndiyo la msingi.Hatutaki wapewe tu kwasababu ni Wanawake,tunataka waoneshe tofauti ya kuongozwa na Mwanaume dhidi Yao.
Ata Ulaya tuliko-copy Aya mambo wanawapa Wanawake wenye uwezo kwelikweli;kwa mfano Ujerumani alikuwepo mwananmke wa shoka Chancellor Angel Merkel na pale IMF alikuwepo Managing Director chuma cha pua Bi.Christine Lagarde na yule wa World trade centre Dr Okonjo.
Sasa hawa wa kwetu wengi wanabebwa tu;dhana ya 50/50 aimaanishi kupachika Wanawake Ili kukamilisha idadi bali wawe na uwezo wa ku-deliver.
Ata USA sidhani kama wanefikisha 50/50!
Pascal Mayalla

Wengi walio pewa nafas wana uwezo mkubwa ,mbali na kua na uwezo mkubwa Kielimu lkn pia kiutendaji na usimamiaji wa majukumu waliyopewa,mfano mzuri ni Hao wachache niliokutajia wana rekod nzuri uko nyuma na sasa .
 
Wenda Rais Samia ndio atakua rais wa kwanza Tanzania kuweka wanawake wengi ktk nafasi za uongozi kupita vipindi vyote nyuma yake,wanawake ni wengi sasa ile 50/50 apa inatumika vilivyo .

Mbali na kuweka wanawake wengi Katika nafasi za uongoz Lakini pia ndio Rais wa kwanza kuteua mwanamke kua waziri wa ulinzi hii haijawah kutokea ktk historia ya nchi yetu ,Dr Tax Ameweka hiyo rekod wakati ambao pia nchi Ina Rais wa kwanza mwanamke.

Katika kipind chake hadi sasa wizara ya mambo ya nje haijaongozwa na mwanaume ,Wameshakaa wanawake wawili wa kwanza akiwa Balozi Mulamula na sasa Dkt Tax akitokea ulinzi .

Spika mwanamke ,japo kwa nchi yetu hii ni mara ya pili muhimili huu mkubwa kuongozwa na mwanamke wa kwanza alikua mama Anna Makinda kipind cha jk ,na kipind cha Rais Mwanamke kuongoza nchi Kama amri Jeshi na wakati huo huo bunge kuongozwa na mwanamke Msomi Dkt Tulia.

Miongoni mwa wizara na taasisi zinazongozwa na wanawake

Bunge,Spika na Katibu mkuu wa Bunge.

Mambo ya nje Dkt Tax

Afya,Mh Ummy Mwalimu

Ardhi,Dkt Angelina Mabula

Ofs ya wazir mkuu bunge,sera na uratibu , Mh Jenista Mhagama,pamoja na naibu wake Mh Ummy Nderiananga .

Ofs ya Waziri mkuu ,Vijana ajira na Wenye ulemavu .Prof Joyce Ndalichacko

Tamisemi,Mh angel Kairuki

Uwekezaji,viwanda na biashara,Dkt Ashantu Kijazi

Utamaduni ,Sanaa na michezo ,Balozi Pindi Chana,

Maendeleo ya jamii,wanawake,jinsia na makundi maalumu ,Dr Doroth Gwajima pamoja na naibu wake mh Mwanaidi Ally Khamis
( apa ndo Mh Samia akaunda kabisa na wizara maalumu kwa wanawake na mambo yao).

Jeshi la uhamiaji ,kamishina General Dkt Anna Makakala japo huyu amemkuta Lakini kaendelea Naye

Kamishina wa utawala,rasilimali watu jeshi la polisi,Suzana Kaganda

Naibu Waziri sheria na katiba Mh Pauline Gekul

Naibu Waziri Maliasili na Utalii Mh Mary Masanja

Naibu Waziri Maji Mhandis Maryprisca Mahundi

Makatibu na manaibu katibu wa wizara tofaut.

MAHAKAMA

Rais Samia amekuta Idadi ya majaji wanawake 27 wa mahakama kuu ,kwa mara ya kwanza akaongeza idadi kubwa kwa mkupuo wa majaji 22 na kufanya kua na asilimia 35 ya majaji wanawake ktk mahakama kuu kwa kua na jumla ya majaji 35 wanawake na 36 wanaume,pia aliteua majaji 9 katika mahakama ya Rufani .na kufanya kua na idadi ya majaji 10 wanawake sawa na asilimia 38 na majaji 16 wanaume.

Upande wa Mahakama ngazi ya wilaya imeongezeka had kufikia asilimia 50 ,ambapo wanawake ni 141 na wanaume ni 141.

Dhamira ya Rais Samia ni kuhakikisha muhimili huu mkuu wa kutoa Haki unakua na idadi sawa ya 50/50 .

Ni wakati wa wanawake kuacha kulialia usawa katika uongozi na kujitosa kuwania nafas na kufanya vzr ili kuacha alama na kuzidi kuaminiwa zaid,kuna taasisi nyingi zinazoongozwa na wanawake na Zinafanya vzr sana .binafs nawamini wanawake ktk uongozi wengi wao ni watenda haki na wako makini kutimiza wajibu wao ,wengi si wezi wa Mali za umma wengi ni waadilifu wanapokua ofsni .wanchimisi sana wanawake ktk uongozi ni ubunifu wao ni waoga kuleta wazo Jipya lkn hilo sio shida sana Kama watafanya kaz na vijana wabunifu na wasio na tabia za kupandisha mabega,wanawake ni wasimamiz wazuri ktk kazi tuwape Nafasi wanaweza .

Nawasilisha .
Safi tu Wanaume wanajua ufisadi na kutekana kishamba kuanzia kwa Nyerere mpaka JPM. Wanawake hawana swaga za ubabe usio na mbele wala nyuma.
Wote wake waliokuwa wanatisha wenzao sasa hivi ni udongo kabaki kikwete.
Zaidi ya kujitapa wanaume hatuna tofauti yoyote ya kiutawala, ni mazoea tu.
Mwanaume wa kiafrika alijifunza utawala wa kutumia nguvu badala ya akili ndio maana miaka 60 nchi za kiafrika umasikini wa kuupw. Tuanze kutumia akili ili tulete maendeleo.
Angalia Sudani, matokeo ya mfumo dume na tamaa ya kukusanya usivyoweza kuvitumia. Leo wasudani wanakuwa wakimbizi kisa wanaume wawili wanaendekeza Tumbo.
 
Fact
 
Back
Top Bottom