Naomba ramani ya Zanzibar inayoonyesha kuwa Bagamoyo ni sehemu yake

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,718
10,212
Ndugu zanguni, mipaka ya nchi hutambuliwa kwa ramani. Hamna nchi isiyo na mipaka yake.

Naombeni ramani inayoonyesha kuwa mipaka ya Zanzibar inafika hadi Bagamoyo.

1685679283772.png
Screenshot_20230602-071851_Chrome.jpg
 
Mkuu, nchi hii inachezewa na wanasiasa tokea Nyerere Hadi Hawa kizazi kipya. Ardhi hii inayomegwa Bagamoyo ni mkakati wa Zanzibar kupata mgao wa bandari itakayojengwa huko Bagamoyo. Nyerere should come back to life atwambie alikuwa na maslahi gani na huu muungano wa hivi
 
Usicho kijua ni kwamba hata bandari ya darisalama na tanga kihistoria zilikuwa sehemu ya Zanzibar ila ujanja ujanja tu ulifanyika hapo awali
Naomba ramani. Mipaka ya kujografia huchorwa kwenye ramani. Naomba unipatie ramani yenye michoro hiyo ya mipaka
 
Watanganyika ni watubwalio jaaliwa vitubila kuvilinda akili hizo hawana. Kuanzia wanyama mulisitu ardhi na vilivyo ndani yake ziwa bahari n.k
 
Huu muungano umekaa kinafiki mno.

Hawa kina ami cholo ni wabaguzi kupita maelezo, wanachukia wabara lakini wakija bara wanataka kila kitu.

Sasa hivi wamekuwa mithili ya mama wa kambo ambae mumewe amekufa na sasa anataka kuhodhi mali zote za mume bila kuwapa watoto wa mume.

Huu upuuzi ni mwanzo wa ujinga mwingi mno utakaokuja. Ni sasa wanauthutu sababu wana baraka na ulinzi wa aliekuwa juu.

Ifike wakati sasa kila mtu abaki na kwake. Muungano huu wa manufaa kwa upande mmoja hatuutaki.
 
Ndugu zanguni, mipaka ya nchi hutambuliwa kwa ramani. Hamna nchi isiyo na mipaka yake...
Acheni upuzi, eneo ambalo serikali ya Zanzibar ni mali yake, ni eneo ambalo serikali hiyo inamiliki kupitia chuo cha kilimo cha huko Zanzibar, ni eneo wanalotumia kufanya shughuli ya kufunzia kilimo kwa wanafunzi wa chuo cha kilimo cha huko
 
Badala ya kuuliza ilipo Tanganyika huko kwenye ramani wewe unajisumbua na mipaka ya Kisiwa cha Zanzibar Mombasa Yote ni Zanzibar ujue
Badala ya kuuliza ilipo Tanganyika huko kwenye ramani wewe unajisumbua na mipaka ya Kisiwa cha Zanzibar Mombasa Yote ni Zanzibar ujue
kinachotakiwa hapa sio longolongo, inatakiwa ramani
Badala ya kuuliza ilipo Tanganyika huko kwenye ramani wewe unajisumbua na mipaka ya Kisiwa cha Zanzibar Mombasa Yote ni Zanzibar ujue
Leta ramani
 
Watanganyika ni watubwalio jaaliwa vitubila kuvilinda akili hizo hawana. Kuanzia wanyama mulisitu ardhi na vilivyo ndani yake ziwa bahari n.k
Tunaendekeza umalaya na udaku tu. Wenye kuona mbali wanakuja kujichotea tu.
Tukija kuamka ukanda wa bahari ya hindi wote wazanzibari watasema ni wa kwao. Kama kawaida tutabwata mitandaoni halafu maisha yataendelea kujadili matako ya Kajala.

Hii ni strategy ya muda mrefu, wanajimilikisha maeneo ya bara ili baadae wajitenge wakiwa na eneo kubwa.

Wazanzibari ni mithili ya mwanamke mdangaji, wameingia kwenye ndoa na mume mzee tajiri wakitarajia mavuno ya mali na urithi pale mume akifa.

Mapenzi hasa ya wazanzibari yapo Oman na sio Tanganyika. Muarabu ndie mume hasa wa mzanzibari. Tanganyika ni danga zee tu linalochunwa.
 
Back
Top Bottom