VIDEO: Nani kaelewa haya maelezo ya January Makamba?

Magufuli 05

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2023
Posts
1,990
Reaction score
3,823
Msikilize huyu Mh.

"Mkoa wa Geita una vijiji 486, mpaka sasa tumekwishafikisha umeme katika vijiji 556 na katika vijiji 130 vilivyobaki vyote vina mikataba na vyote vina wakandarasi," January Makamba.
 
Mbona wabunge hawajamuhoji, au wanamwogopa, au rushwa, au hawana uwezo wa kupitia makabrasha Kama walivyokuwa wakifanya akina Padre Slaa na Lissu, kwa hio simple mind inaongoza simplest mind, unasema chochote na simplest mind itakusifu
 
Msikilize huyu Mh.
View attachment 2644473

"Mkoa wa Geita una vijiji 486, mpaka sasa tumekwishafikisha umeme katika vijiji 556 na katika vijiji 130 vilivyobaki vyote vina mikataba na vyote vina wakandarasi," January Makamba.
Mkuu, mbona hiyo ni hesabu rahisi sana?

Kiuhalisia, kwa mujibu wa takwimu za Serikali, Geita ina vijiji 474.

Kwa kuwa Waziri kasema ni vijiji 130 ndivyo bado havijafikishiwa umeme, inamaanisha, kwa Geita, idadi halisi ya vijiji vyenye umeme ni 344.

Kuhusu vijiji 586 anavyodai vimeshapata umeme, inawezekana, baada ya kuvisambazia vijiji 344, na kubaini vile 130 bado havijakidhi vigezo, aliona asirejee Dodoma na umeme alioenda nao Geita. Ndipo ilipomlazimu kuazima vijiji 212 toka mikoa jirani akavipatia huo umeme kwa jina la Geita.

Nafikiri imeeleweka!
 
Wakati mwingine huwa na kumbuka mwendazake kwa makini wa data. Mwengine ninayemhusudu ni Donald Trump, hata majuzi juzi tu, CNN huwa hawa kubali lakini waliosema, ni mtu makini na intelligent. Wenzetu wa huku kwetu sijui huwa ni ukasuku au nini!!! 😭 Inaonekana wengi hawajishughulishi na records wala data.
 
Tatizo ni kwamba records zingine huwezi kuzipata bila kuwa msomaji, na baadhi ya Watanzania na usomaji ni kama maji na mafuta!
 
Back
Top Bottom