Tunakubali Magufuli hakuwa mwema sana lakini hakuwa muovu kwa Kila kitu. Kama ilivyo Kila mwanadam anayo mabaya na mazuri katika amatendo yake.
Zile zama za kuungana na Mafisadi ya CCM kumtukana...
Kihistoria, Afrika baada ya ukoloni, karibu kila nchi ilipitia hatua tatu. Hili limewekwa sawia na mwanazuoni mzawa wa Ghana, anayeishi Afrika Kusini, Profesa Kwesi Prah.
Andiko la Profesa Prah...
Mwana katuni maarufu nchini leo tena ameamua kutuwacha kwenye mataa.
Ametupia picha ambayo binafsi nimeshindwa kuisoma na kulazimika kwaomba wataalam wa kusoma picha.
Naombeni tusaideni sisi...
Niwakumbushe tu Washauri wa viongozi kwamba, kwa ukubwa wa tuhuma za kuuzwa kwa Bandari, si rahisi tena kuleta jambo la kufifisha mjadala huu.
Kwahiyo tunawaomba msipoteze muda wenu kujaribu ku...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 43 leo Juni 8, 2023.
Tatizo la Walimu kuhama Vituo vya vya Kazi Halmashauri ya Tunduru
- Wizara ya TAMISEMI Ofisi ya Rais...
Wadau nawasabahi. Leo MKEKA wa Makatibu Tawala wa Wilaya walioteuliwa pamoja na Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya Miji na Majiji umetoka.
Miongoni mwa Waliotangazwa Wamo Waliowahi kutenguliwa...
Katibu mkuu wa Wizara ya Uwekezaji aliyeko Dubai amesema Rais Samia ataondoka Tanzania kuelekea Dubai kushiriki maonesho ya Expo 2020
Wawekezaji wengi sana wameonesha nia ya kuja kuwekeza...
Naomba kupandiaha barua ya Ikulu mnamo mwezi January 23 ambayo ilitoa taarifa ya kufukuzwa kazi wakurugenzi kadhaa,soma jina namba 2 na jina namba 5 halafu pitia majina namba 80 na jina namba 115...
BAADA YA KUSIKILIZA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA LEO NIMEGUNDUA MAMBO MATANO MAKUBWA.
Na wengi huenda huwa tunaitupia bure mawe wizara hii.
Kivipi?
JITAHIDI USOME UZI HUU MPAKA MWISHO. [emoji1545]...
Vipengele vilivyopo kwenye mkataba wa kuendesha bandari ya Dar es Salaam unaotarajiwa kufanywa na kampuni ya Dubai Ports (DP) ni vipengele visivyoonesha ukomo wa maslahi na mipaka ya kisheria kwa...
Kwa hali ilivyo nchini mwetu namna viongozi wetu wanavyoiendesha nchi, Kwa mikataba ya vificho yenye kuliingiza taifa kwenye hasara mfano ikiwa kuibinafsisha bandari yetu ambayo ni nguzo kuu ya...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa amekabidhi magari matatu ya Zimamoto (Mitambo) kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ambayo yenye uwezo wa kubeba maji lita 5,000 na Foam...
Leo tarehe 11 April 2019,Akiwa mji wa Makambako mheshimiwa Rais amekiri wazi kuwa hajawahi ona mji Tanzania uliopangwa na kuwa na nyumba bora za Makazi kama Mkoa wa Njombe hasa mji wa Makambako...
Kwa wale wenzangu na miye watavikumbuka vizuri "Mfululizo" wa vitabu vya "Ujinga wa Mwafrika". Vitabu hivi vilikuwa kwa muda mrefu sehemu ya simulizi la "Mazungumzo Baada ya Habari" na vilisimulia...
Habari Wakuu!
Bado nafuatilia hofu aliyonayo mtanzania. Hofu ya kisiasa. Wasiwaai na kutokuaminiana. Awamu ya tano Watu walikuwa na hofu ya usalama wao, nazungumzia uhai wao na Uhuru wao. Awamu...
Kuna kila dalili kuwa maamuzi ya kutoa sadaka Bandari yetu yalishafanyika kwa mujibu wa maelezo ya Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa kupitia BBC kwa madai "hatuna fedha Trilioni 4 kujenga gati...
Mbali na viongozi kujua wanaowateua ni bure kabisa lakini bado wanaendelea kuteua watu hao hao! Awamu zote mambo ni haya haya, miaka nenda rudi bado tunafanya makosa haya haya!
Hii inafanya...
Kila kiongozi akisimama kuhutubia au kuongea lazima amsifie /amtaje Mama.
Utaratibu huu ulianza awamu ya tano na unaendelea kwa kishindo, sote tunajua Rais wetu ni mwanamke na ana mamlaka ya...
Baada ya mashauriano ya viongozi waku waliopo safarini nje ya nchi Mwenyekiti wa Chama Taifa Mheshimiwa Freeman Mbowe, Makamu Mwenvekiti Bara Mheshimiwa Tundu Lissu a Katibu Mkuu Mheshimiwa John...
John Mongela ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, mkoa ambao umejaa rushwa kuanzia juu mpaka chini.
Mkoa wa Arusha kila kukicha zinaibuliwa tuhuma za rushwa na ufisadi kiasi cha Waziri Mkuu Kassim Majaliwa...