Kwanini watendaji waliowahi kutenguliwa wanateuliwa tena?

MKWEAMINAZI

JF-Expert Member
May 28, 2023
930
1,299
Wadau nawasabahi. Leo MKEKA wa Makatibu Tawala wa Wilaya walioteuliwa pamoja na Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya Miji na Majiji umetoka.

Miongoni mwa Waliotangazwa Wamo Waliowahi kutenguliwa kwa makosa mbalimbali lakini LEO wameteuliwa tena.Miongoni mwa Watendaji hao ni Katibu Tawala Bw. MTELA MWAMPAMBA huyu alitenguliwa na Hayati RAIS Magufuli lakini leo kateuliwa tena Kuwa Katibu Tawala wa Wilaya Songea

Pia yupo Bw ARON KAGULUMJULI Huyu alitenguliwa Ukurugenzi wa Manispaa Kinondoni lakini leo kateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza

Ukweli INASHANGAZA sana hivi HAKUNA Watanzania wengine wenye SIFA za kufanya kazi hizo mpaka warudishwe Wale Wale WALIOTENGULIWA?

Hivi Mamlaka ya TEUZI kweli haina KUMBUKUMBU za Watendaji WALIOTENGULIWA hapo AWALI Au ni Suala la KULINDANA NA KUBEBANA?
 
Watu hubadilika Hata waovu wa leo waweza kuwa wema kesho na wema wa leo waweza kuwa waovu kesho
 
Keki ya taifa ni ndogo sana, tukiwapa nyie msiyoijua hata ladha yake mtagombania na mtataka kuila yote. Acha tuendelee kuwalisha hawa wanaoijua ladha yake mkuu.

Kunywa maji!
 
Mfumo wa CCM ni WA kuabudu watawala, ukienguliwa wewe endeleza uchawa tu utateuliwa Tena
 
Huende ni watendaji wazuri pengine waliondolewa kwa hujuma ama kilichopelekea watenguliwe tayari wameshajirekebisha kwanini wasitumike tena kama walikuwa na manufaa kwa nafasi. zao kumbuka hao nao ni binadamu wana familia na ndg zao wanawategemea inapokuja habari njema kama hii inagusa wengi chapa kazi acha wivu
 
VIPI MAKONDA NA SABAYA NAO WANA FAMILIA WARUDISHWE
 
Back
Top Bottom