Ukiiachia Hazina kwa " Mjomba na Mpwa" wa kulaumiwa ni Wewe uliyewaachia siyo Wao!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,138
Mjomba ni mama ndivyo wasemavyo Waswahili na hata Kule Uyahudi

Unawezaje kukiacha Hazina ya Nchi kwa Mtu na Mjomba wake halafu baadae unaanza kulialia Wakati umeyataka mwenyewe

Tujifunze kutokana na makosa, Yaliyopita si ndwele!
 
Jo vp? Unampiga vijembe shujaa wako Mzilakende Muyago wa chato,

Awamu ya tano, Rais na mjomba wake,

Awamu ya sita, Rais na mkwe Wake,

Siasa ni sayansi, bwashee

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Mjomba ni mama ndivyo wasemavyo Waswahili na hata Kule Uyahudi

Unawezaje kukiacha Hazina ya Nchi kwa Mtu na Mjomba wake halafu baadae unaanza kulialia Wakati umeyataka mwenyewe

Tujifunze kutokana na makosa, Yaliyopita si ndwele!
Hivi mpwa kwa Sasa yuko wap
 
Kokote alipo yeye na Philip Mpango wanatakiwa kukamatwa na kuhojiwa juu ya upotevu wa haya mabilioni!! Ili kukata mzizi wa fitina msiogope kumkamata Mpango ama sivyo itaonekana hawa samaki wadogo mnawaonea!
 
Back
Top Bottom