Kipanya apeleka ujumbe muhimu kwa Serikali ya CCM

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Msanii wa katuni KIPANYA ametoa kikatuni chenye salaam tosha kwa CCM.

Naamini kama kuna kiongozi mwenye kufuatilia miandaoni basi ujumbe atakuwa ameupata.

CCM jamani tumewachoka ebu tuwachieni nchi yetu maana hamna leseni wala hati ya kuitawala nchi hii.

KIPANYA.png
 
Wanaojiita wasomi wanaiba tena wanapongezana nani kaiba nyingi

Wana sehemu zao wanakutana na kufurahia wizi wao
Wakati wanaochoma wenzao ni hao wapumbavu wanaotozwa kodi kutwa halafu zinaishia kwa majizi yanayojiita wataalamu na viongozi

Nashauri Jf wangempa nafasi Masudi awe anaweka cartoon zake kwa page yake tu
 
Na hiyo ni kweli,serikalini unaiba hadi basi,ila kwapua simu ya elfu 80,utaona ghadhabu za wadau.Nadhani hii ndiyo ilifanya wazee wasisitize watoto wao wasome,walijua hii kitu.
Kipanya kaamua kuwapa ukweli
 
Mtaani kuku tu anaweza kumaliza maisha yako, sirikalini kalamu inafanya yake, hata bi kadhaa unaishi tena kwa kuheshimika na kila mtu.
Inaumiza na kutia hasira
 
Wanaojiita wasomi wanaiba tena wanapongezana nani kaiba nyingi

Wana sehemu zao wanakutana na kufurahia wizi wao
Wakati wanaochoma wenzao ni hao wapumbavu wanaotozwa kodi kutwa halafu zinaishia kwa majizi yanayojiita wataalamu na viongozi

Nashauri Jf wangempa nafasi Masudi awe anaweka cartoon zake kwa page yake tu
Ccm ni zaidi ya adui
 
Na hao watozwa kodi ni bodabodà pia. Mkiambiwa boda siyo ajira watu wanalipuka☹☹
 
Msanii wa katuni KIPANYA ametoa kikatuni chenye salaam tosha kwa CCM.

Naamini kama kuna kiongozi mwenye kufuatilia miandaoni basi ujumbe atakuwa ameupata.

CCM jamani tumewachoka ebu tuwachieni nchi yetu maana hamna leseni wala hati ya kuitawala nchi hii.

View attachment 2584777
Huu ni ujumbe mahsusi usiokuwa mgumu kuuelewa.
 
CCM mbele kwa mbele, 🎼🎼mtaisoma namba kwa nyuma wacha mpige kekele🎺🎺🎷
 
Back
Top Bottom