CHADEMA: Tanzania hatuna Madiwani tuna Mazombi tu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,028
142,088
Chadema imesema kimsingi Tanzania hakuna Madiwani kuna Mazombi tu

Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Boniface Jacob amesema hayo wakati akichambua Ripoti ya CAG hususani maeneo ya Tamisemi yaliyopigwa

Mh Jacob ni Meya mstaafu wa Manispaa ya Ubungo na alikuwa anaongea na Waandishi mbalimbali Kutoka vyombo Vya Habari Vya Kimataifa
 
jacob bana, yeye mwenyewe ni zombi
 
Sababu ni kwamba mwaka 2020 tulikuwa na uchaguzi wa ovyo ambao uliwazuia wagombea wengi wenye uwezo waenguliwe wakati wa mchakato wa kuomba kubwa wagombea wa vyama vya upinzani simply ili wagombea wa fisiemu wapite smoothly.Idiot
Huwezi kumchagua Mtu mwenye uwezo awe Diwani wako kama amesusia Uchaguzi. Hii danganyatoto ya CHADEMA iliwaaminisha nchi itakufa, huku wakitafuta fadhila za mabeberu, hawakusaidia.
 
Unamaanisha mtu akipeleka fomu then hiyo fomu ikaeditiwa na watendaji wa serikali za mitaa ili aonekane amejaza fomu vibaya kwa kutojua eti mwanafunzi wa darasa la 2B atakuwa amesusia uchaguzi?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Unamaanisha mtu akipeleka fomu then ikaeditiwa na watendaji wa serikali za mitaa ili aonekane kama hajui Kusoma na kuandika kama mwanafunzi wa darasa la 2 B mwishowe aambiwe amekosa sifa ya kuwa mgombea atakuwa amesusia uchaguzi?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Chadema imesema kimsingi Tanzania hakuna Madiwani kuna Mazombi tu

Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Boniface Jacob amesema hayo wakati akichambua Ripoti ya CAG hususani maeneo ya Tamisemi yaliyopigwa

Mh Jacob ni Meya mstaafu wa Manispaa ya Ubungo na alikuwa anaongea na Waandishi mbalimbali Kutoka vyombo Vya Habari Vya Kimataifa
Chadema wapumbavu tuu maana Madiwani ni part time
 
CHADEMA: Lowasa fisadi,ndiyooooo!
Lowasa siyo fisadi,ndiyooooo!

CHADEMA:ccm hawafai inabaka demokrasia,ndiyoooo!
Marufuku mwanachadema kuitukana ccm na kumsema vibaya SAMIA,kwani ni msikivu. ndiyoooo!
 
Back
Top Bottom