Spika wa Bunge la JMT siyo lazima awe Mbunge. Mnaoshangilia anguko la Makonda angalieni furaha ya nyani isije kuishia jangwani

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,738
141,604
Tunakumbushana tu kwa sababu siasa ni sayansi.

Kwa sasa Job Ndugai bado anataka kuendelea kuwa Spika na Dkt. Tulia Ackson anautamani uspika. Ili kuepusha shari CCM ina utamaduni wake kama huujui angalia Dkt. Kigwangalla aliingiaje bungeni kwa mara ya kwanza.

So wale watani zangu wa Ufipa angalieni furaha ya nyani isiishie jangwani mnayedhani mmemuacha Kigamboni mnaweza kumkuta Dodoma amekaa siti ya mbele anaongoza muhimili.

Niwatakie Alhamisi yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
 
Sema tu anguko la Bashite linawaumiza. Lemme tell you something. Laiti Jiwe angetaka Bashite ashinde Kigamboni angemsaidia kushinda kwa kuagiza "wachawi" kutoka Kitengo "kufanya vitu vyao."

Sasa kama hakumsapoti kwenye nafasi ndogo tu ya ubunge atamsapoti kwenye Uspika? Halafu huhitaji sana kuelewa siasa za Tanzania kubaini jinsi mahusiano kati ya Bashite na "wanaompigia kura spika" yalivyo.

Poleni na maumivu ya anguko hilo
 
Kwa Nini watu wanafurahia Makonda kushindwa? Kwa nini furaha hiyo hiyo haionyeshwi kwa Mwanri aliyekuwa mkuu wa mkoa pia?
Tunakumbushana tu kwa sababu siasa ni sayansi.

Kwa sasa Job Ndugai bado anataka kuendelea kuwa Spika na Dr Tulia Ackson anautamani uspika.
Ili kuepusha shari CCM ina utamaduni wake kama huujui angalia Dr Kigwangalla aliingiaje bungeni kwa mara ya kwanza.

So wale watani zangu wa Ufipa angalieni furaha ya nyani isiishie jangwani mnayedhani mmemuacha Kigamboni mnaweza kumkuta Dodoma amekaa siti ya mbele anaongoza muhimili.

Niwatakie alhamisi yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
DAB hawezi pita nafasi yoyote inayohitaji kupigiwa kura au taaluma
Kabsa
 
Pole mkuu naona bado unateseka sana na anguko la Bashite! Lakini kufikilia Bashite kuwa spika wa bunge ni kuchosha kichwa chako bure! Taaluma yake kimo cha spika ni majimarefu! Pia kuhangaika kuwasema watu wa mtaa wa ufipa ni kujipiga mgongoni kufukuza nzi wakati nzi hao wanakuuma mbele ya kifua! Ukifuatilia hata kauli za katibu mkuu wa CCM Dk Bashiru mara kadhaa alionekana kukinzana na kauli za Makonda na sio Bashiru tu wapo wengi ndani ya CCM hawampendi mwana wa Mungu huyu, ndio maana pamoja na kuwahi kuwa DC wa kinondoni lakini alilikimbia jimbo la kinondoni akavuka ng'ambo kule Kigamboni akizania hawapo, wamemtia adabu! Sasa zile kauli za mkoa wangu......watu wangu.......Huku akiwatumia polisi kama mbwa wa kuwafuga nyumbani kwake sasa mwisho!
 
Tunakumbushana tu kwa sababu siasa ni sayansi.

Kwa sasa Job Ndugai bado anataka kuendelea kuwa Spika na Dkt. Tulia Ackson anautamani uspika.
Ili kuepusha shari CCM ina utamaduni wake kama huujui angalia Dr Kigwangalla aliingiaje bungeni kwa mara ya kwanza.

So wale watani zangu wa Ufipa angalieni furaha ya nyani isiishie jangwani mnayedhani mmemuacha Kigamboni mnaweza kumkuta Dodoma amekaa siti ya mbele anaongoza muhimili.

Niwatakie Alhamisi yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Kima
 
Back
Top Bottom