Kwa wastani Rais anateua na kuhamisha kila siku tangu aingie Madarakani

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
4,496
8,731
Kwa kumbukumbu zangu, Kwa Mkapa na Jk hata Magufuli, sikuwahi kushuhudia kiwango hiki cha teuzi, kwa wastani Rais anateua kila siku.

Kiwango cha kuteua na kuhamisha ni cha kutisha katika nchi hii ya Tanzania.

Ukitoa siku za weekend siku zingine zote huwa kuna teuzi na Hamisho, nchi inafanyiwaMajiribio ya kutawala na Mbona Mkapa, Kikwete na hat Magufuli hautkuona hii tabia?

Akija mgeni unaweza dhania ndio kwanza tumetoka kwenye uchaguzi kumbe ni mwaka wa tatu tangu uchaguzi uishe lakini ni mwendo wa teuzi, hamisha na tengua.

Madam President this is too Much kwa kweli hata kama ni kikatiba but too much mbona huko nyuma hatujuwahi kuona haya?
 
Anajifanya yupo busy na yanga kutafuta popularity tunamchora tu cjui alijichagua kwajil ya yanga. Sasa nasema Must go
Samia had 2040, wagalatia hatuwapi tena nchi wauaji
 
Kwa kumbukumbu zangu, Kwa Mkapa na Jk hata Magufuli, sikuwahi kushuhudia kiwango hiki cha teuzi, kwa wastani Rais anateua kila siku.

Kiwango cha kuteua na kuhamisha ni cha kutisha katika nchi hii ya Tanzania.

Ukitoa siku za weekend siku zingine zote huwa kuna teuzi na Hamisho, nchi inafanyiwaMajiribio ya kutawala na Mbona Mkapa, Kikwete na hat Magufuli hautkuona hii tabia?

Akija mgeni unaweza dhania ndio kwanza tumetoka kwenye uchaguzi kumbe ni mwaka wa tatu tangu uchaguzi uishe lakini ni mwendo wa teuzi, hamisha na tengua.

Madam President this is too Much kwa kweli hata kama ni kikatiba but too much mbona huko nyuma hatujuwahi kuona haya?
Teuzi zenyewe hazina tija yoyote ni kupeana ulaji, wanaotolewa wanaendelea na mishahara yao ileile
 
Kwa kumbukumbu zangu, Kwa Mkapa na Jk hata Magufuli, sikuwahi kushuhudia kiwango hiki cha teuzi, kwa wastani Rais anateua kila siku.

Kiwango cha kuteua na kuhamisha ni cha kutisha katika nchi hii ya Tanzania.

Ukitoa siku za weekend siku zingine zote huwa kuna teuzi na Hamisho, nchi inafanyiwaMajiribio ya kutawala na Mbona Mkapa, Kikwete na hat Magufuli hautkuona hii tabia?

Akija mgeni unaweza dhania ndio kwanza tumetoka kwenye uchaguzi kumbe ni mwaka wa tatu tangu uchaguzi uishe lakini ni mwendo wa teuzi, hamisha na tengua.

Madam President this is too Much kwa kweli hata kama ni kikatiba but too much mbona huko nyuma hatujuwahi kuona haya?
That is what she can do!
 
Katiba mpya ndio ita put stop of this, President anateua/kutengua/kuhamisha cabinet members only, wengine wote LAZIMA bunge lihusishwe including igp,cdf,dpp,etc etc
 
Kwa kumbukumbu zangu, Kwa Mkapa na Jk hata Magufuli, sikuwahi kushuhudia kiwango hiki cha teuzi, kwa wastani Rais anateua kila siku.

Kiwango cha kuteua na kuhamisha ni cha kutisha katika nchi hii ya Tanzania.

Ukitoa siku za weekend siku zingine zote huwa kuna teuzi na Hamisho, nchi inafanyiwaMajiribio ya kutawala na Mbona Mkapa, Kikwete na hat Magufuli hautkuona hii tabia?

Akija mgeni unaweza dhania ndio kwanza tumetoka kwenye uchaguzi kumbe ni mwaka wa tatu tangu uchaguzi uishe lakini ni mwendo wa teuzi, hamisha na tengua.

Madam President this is too Much kwa kweli hata kama ni kikatiba but too much mbona huko nyuma hatujuwahi kuona haya?
anateua mpaka aliowatengua
 
Yule aliyeenda alizidi kwa uteuzi naye
 
sasa wewe akitengua na kuteua unapungukiwa nini?
 
AWAMU HII NISIPOKULA TEUZI SIJI KUTEULIWA TENA

MANA KILA SIKU NI MWENDO WA TEUZI MPKA WALIOSTAAFU NA WALIOTENGULIWA WANARUDISHWA
 
Back
Top Bottom