Msukuma, watanzania wa leo hawasubiri kusimuliwa na waandishi wa habari

Stuka

JF-Expert Member
Jul 19, 2022
214
686
Nimemsikia Mbunge Msukuma akisema eti wengi tunaojadili suala la bandari hatulijui kwa sababu hatujasafiri kwenda Dubai na Uingereza, Singapore ambako wamepiga hatua kwenye sekta ya bandari.

IMG_7568.jpeg

Tunachokwambia Msukuma watanzania wa leo hawasubiri kusimuliwa na waandishi wa habari wewe ungejibu hoja zinazoulizwa na huo mkataba wa DP na uingereza ungeuleta ili tuuchambue kwa pamoja.
 
Unayo hoja mkuu, usikilizwe
 
Huyo jamaa mshamba tuu inatakiwa sehemu zingine awe anakaa kimya
 
Mbona Lema anatusimulia kila siku kuhusu Canada walivyopiga hatua, Msukuma alikuwa anajaribu kusema kuwa hatuna exposure.
 
Kumbe hii misumari imefika ,wewe masudi kipanya,maulidi KITENGE,balile mtachomwa Moto ,halafu msukuma hazungumziii content
 
Nimemsikia Mbunge Msukuma akisema eti wengi tunaojadili suala la bandari hatulijui kwa sababu hatujasafiri kwenda Dubai na Uingereza, Singapore ambako wamepiga hatua kwenye sekta ya bandari.

Tunachokwambia Msukuma watanzania wa leo hawasubiri kusimuliwa na waandishi wa habari wewe ungejibu hoja zinazoulizwa na huo mkataba wa DP na uingereza ungeuleta ili tuuchambue kwa pamoja.
Atajibuje hoja zinazohusiana na mkataba ilhali mkataba umeandikwa kingereza na yeye hakipandi? Yeye anachowaza ni V8 000km na apartment aliyopewa Dubai hayo mengine hayamhusu.
 
Mbona Lema anatusimulia kila siku kuhusu Canada walivyopiga hatua, Msukuma alikuwa anajaribu kusema kuwa hatuna exposure.
Wewe tangu aingie mzanzibar mwenzako Chadema ukawapa kisogo kabisa.

Naumbuka enzi za JPM ulikuwa humu kuituna CCM kila kukicha, ila alipoingia mwenzako madarakani ukapiga U-turn.
 
Mimi niko Chadema lakini sio wote tuwe mawazo ya aina moja sisi sio Wanyamapori.

Ndio uzuri wa Chadema kuna Demokrasia pana kuna wengine wanapenda kupinga chochote kile hao hata ACT CCM na kwengineko wapo.
 
Mbona hujawahi kumpinga Mbowe Kwa chochote? hamna kitu ni maslahi binafsi tu
 
Nimemsikia Mbunge Msukuma akisema eti wengi tunaojadili suala la bandari hatulijui kwa sababu hatujasafiri kwenda Dubai na Uingereza, Singapore ambako wamepiga hatua kwenye sekta ya bandari.

Tunachokwambia Msukuma watanzania wa leo hawasubiri kusimuliwa na waandishi wa habari wewe ungejibu hoja zinazoulizwa na huo mkataba wa DP na uingereza ungeuleta ili tuuchambue kwa pamoja.
Hoja ya msingi, isipuuzwe.
 
Mimi niko Chadema lakini sio wote tuwe mawazo ya aina moja sisi sio Wanyamapori.

Ndio uzuri wa Chadema kuna Demokrasia pana kuna wengine wanapenda kupinga chochote kile hao hata ACT CCM na kwengineko wapo.

Hauna unaloweza kunidanganya, nakufuatilia sana katika mijadala ya kisiasa humu, mara zote ni kumsifia SAMIA tu.
 
Mimi ukifanya vizuri nakusifia na nilimshauri Samia atuletee DPWorld baada mkataba wa TICTS kuisha nilipendekeza DPWorld kwa weledi wao

Samia nimemponda sana humu na nimemsifia sana humu.

Baada ya ripoti CAG Kichere kutoka Samia nilimponda sana humu tafuta Comment zangu ujiridhishe.
 
Back
Top Bottom