Prof. Mbarawa: Serikali Imetenga fedha kwenye Bajeti ya Mwaka 2023/24 kuanza Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,109
49,821
Rais Samia anazidi kujipambanua kwa vishindo vya miradi badala ya propaganda

Screenshot 2023-05-25 121546.png

Kwenye bajeti ya mwaka huu tumesema wazi kuwa, tunakwenda kuanza ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, Bandari ya Dar es Salaam itaendelea kufanya kazi, ambapo kwa zile meli kubwa ambazo zitashindwa kuingia katika Bandari ya Dar es Salaam zitakwenda kwenye bandari ya Bagamoyo," Prof. Mbarawa, Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi.

====

Quote: A woman is like a tea bag, you can't tell how strong she is until you put her in hot water

Screenshot 2023-05-25 122727.png

Samia Suluhu Hassan - President of Tanzania speaking in June 2021​
 
Kwahiyo huo mradi sio kwamba unagharimiwa na wawekezaji bali tunajenga kwa pesa za kodi ya wananchi?

Miradi aliyoiacha mwendazake haijakamilika hata mmoja sababu ya uhaba wa pesa, tushaanza kupanga miradi mingine mikubwa ambayo hatujui kama italipa ama la.
 
Kwanza walishajitoa baada ya Jiwe kuwazingua so Serikali ikasema itaendelea yenyewe ,watawakuta mbele Kwa mbele
 
Utapeli mwingine bwana, wanataka kujenga bandari ya bagamoyo, au wametenga bajeti kwa ajili ya kufyeka vichaka eneo la kuzunguka hiyo bandari ya bagamoyo? Bajeti ya hiyo bandari ilikuwa ni $10b, Tanzania inatoa wapi hiyo 23t ya kujenga bandari, wakati SGR na SG yenyewe hadi sasa ni kizungumkuti? Acheni utapeli wa kijinga bana.
 
Ni kawaida Kwa chadomo kukurupuka..
Til.23 ni pamoja na kuendeleza eneo lote la epz,sez, miundombinu msingi, financial and logistics centre na Bandari..

Sasa ujenzi umeanza ni WA Bandari,ambayo ni Kati ya components zilizokuwepo..

Mwisho Tanzania ya Samia Ina mapesa kama yote
 
Hizi za Dar na Mtwala anaziuza kwa Warabu kashindwa kuziendesha, ndio ajenge Bagamoyo?Haya nayo ni maajabu saba ya kushangaza dunia,🤣🤣🤣

Pamoja na kwamba umejaa upumbavu kichwani nakusaidia hivyo hivyo..

Hakuna Nchi inauza Bandari,unaweza kununua Nchi au sehemu ya Nchi wewe?

Serikali inabinafsisha utoaji Huduma,Iko hivyo all over the World..

Kama hutaki Baki nanujinga wako tuwe tunakutana kwenye hesabu za tumepata pesa ngapi na tumehudumia mzigo kiasi gani .
 
Rais Samia anazidi kujipambanua kwa vishindo vya miradi badala ya propaganda

Kwenye bajeti ya mwaka huu tumesema wazi kuwa, tunakwenda kuanza ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, Bandari ya Dar es Salaam itaendelea kufanya kazi, ambapo kwa zile meli kubwa ambazo zitashindwa kuingia katika Bandari ya Dar es Salaam zitakwenda kwenye bandari ya Bagamoyo," Prof. Mbarawa, Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi.

====

Quote: A woman is like a tea bag, you can't tell how strong she is until you put her in hot water

View attachment 2634213
Samia Suluhu Hassan - President of Tanzania speaking in June 2021​
Pigo kubwa kwa walinda legacy and co.
 
Kumbe imefufuka?
 
Back
Top Bottom