1. Rais wa nchi anasema wale wote waliohusika na matumizi mabaya ya fedha za umma walioguswa na na ripoti ya CAG lazima washughulikiwe.
2. Makamu wa Rais wa nchi naye anasema wale wote waliopiga...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama akifurahia jambo na Mama Janeth Magufuli mjane wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe...
Kwenye mitandao ya kijamii miongoni mwa mashirika yaliyotajwa kujiendesha Kwa Hasara ni shirika la TTCL mpaka imefika hatua inashauliwa yakuwa lianchane na biashara ya kuuza line libakie kusimamia...
Mbunge wa Viti maalumu Chadema mh Conschesta Rwamlaza amechukizwa na kitendo cha Wao kuitwa Covid 19
Rwamlaza amesema wanaowaita hivyo ni wale wasiopendenzwa na Kazi nzuri inayofanywa na Rais...
Kumbe hata zile zawadi za goli moja milioni 5 hazikuwa zawadi za kutoka moyoni kwa mapenzi yako katika kukuza soka bali ni kampeni ya kutaka kuwin popularity?
Kama sio hivyo kwa nini hawa Chawa...
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe mhe.Jokate Mwegelo mapema Leo hii April 17,2023 amekutana na Mbunge wa Korogwe mjini Dr. Alfred Kimea na Korogwe vijijini Timotheo Mzava ofisini kwake.
Katika Mazungumzo...
Ni kuhabarishana nini kinaendela duniani kuhusu kwetu. Pascal Mayalla tafadhali kama mwandishi nguli tupe maoni yako.
While some western media nicknamed him “bulldozer,” and one opposition...
Serikali ya Tanzania imefanya wananchi wake mazuzu.
Mikopo imesitishwa kupitia Halmashauri nimejiuliza watoaji wa hiyo mikopo walisomea wapi kazi ya kugawa mikopo?
Ni nani aliwapa majukumu hayo...
Kukamilika kwa upanuzi wa mkongo wa Taifa wa Mawasiliano kutaisaidia utekelezaji wa Tanzania ya kidijiti na kufungua fursa za kiuchumi na mawasiliano ya uhakika kwa wananchi katika wilaya 23...
Baada ya Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuonyesha 'madudu' ya ubadhirifu wa fedha kwenye maeneo mbalimbali, Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, ameibuka akisema...
DKT. EXAUD KIGAHE - MWENYE DUKA ANAJUKUMU LA KUHAKIKISHA BIDHAA HUSIKA IPO KATIKA HALI INAYOTAKIWA KABLA HAJAMUUZIA MLAJI
Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb.)...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mama Samia suluhu Hassani kipenzi Cha watanzania na chaguo la watanzania anapigana Vita Kali Sana,vita ya kiuchumi, Vita ya kuinua maisha ya watanzania, vita ya...
Bunge linaloongozwa na Tulia Akson limekosa mvuto, limeshuka hadhi na limepoteza meno kabisa.
Tangu Tulia akalie kiti cha uspika hatujaona mijadala yenye tija, maazimio yenye tija na maamuzi...
Nikisema niandike hapa ukurasa hautoshi, Chuo pekee Dar cha walemavu Yombo Kiwalani kinapiga Uturn badala ya kusonga mbele tangu Nyerere alipokijenga na Mzee Mengi akawa anafadhili na akajenga...
Na Mwandishi wetu, WHMTH, Dodoma
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanya mageuzi makubwa katika Shirika la Mawasiliano...
Habari,
Nikiwa nasogeza muda jioni hii, nikakutana na habari hii kuwa serikali inafikiria kuwalipa mishahara Madiwani ili kuzuia wizi na tamaa kwenye usimamizi wa pesa za miradi ya halmashauri ya...
Wakuu vipi, kwema.
Nimefuatilia kwa makini mambo yanayoendelea duniani, nikagundua kwamba Marekani na Tanzania yetu kuna baadhi ya mambo huwa tunafanana haswa kwa upande wa mambo ya kufukia...
Yafuatao ni maoni na mtazamo wangu binafsi juu ya uwepo wa haja kubwa ya Marekebisho ya haraka ya Katiba yetu ya JMT kulingana na mahitaji ya sasa. Marekebisho haya yafanyike haraka na mapema...
MHE. ROSE TWEVE APELEKA MILIONI 7 IRINGA, APINGA UKATILI NA UNYANYASAJI WA KIJINSIA
Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Iringa Mhe. Rose Tweve amendelea na ziara yake ya siku tatu Wilaya ya Iringa mjini...