Dr Kigwangalla: Tunajenga Taifa la Hovyo sana la Wala rushwa Wezi, Madhulumati, Waongo na Wala Bata Wasiofanya kazi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,027
142,076
Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangalla ameonya kuwa Tanzania inajenga Taifa la Watu wavivu, Wanapenda kula Bata bila kufanya kazi, Wala rushwa, Wezi, Madhulumati, Waongo Waongo na wanapenda kujimwambafy wakati hawana chochote

Taifa ambalo kila mwajiriwa wa Umma anawaza kuiba badala ya utendaji wa ufanisi

Kigwangalla ametoa angalizo kupitia ukurasa wake wa twitter
 
Msiwalaumu waajiriwa, na wao wanaona walio juu kua huo ni utaratib wa kuchukua chako mapema!!!
 
Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangalla ameonya kuwa Tanzania inajenga Taifa la Watu wavivu, Wanapenda kula Bata bila kufanya kazi, Wala rushwa, Wezi, Madhulumati, Waongo Waongo na wanapenda kujimwambafy wakati hawana chochote

Taifa ambalo kila mwajiriwa wa Umma anawaza kuiba badala ya utendaji wa ufanisi

Kigwangalla ametoa angalizo kupitia ukurasa wake wa twitter
Ashasahau Bata alilokula na mademu wa bongo movie akiwa waziri wa utalii
 
Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangalla ameonya kuwa Tanzania inajenga Taifa la Watu wavivu, Wanapenda kula Bata bila kufanya kazi, Wala rushwa, Wezi, Madhulumati, Waongo Waongo na wanapenda kujimwambafy wakati hawana chochote

Taifa ambalo kila mwajiriwa wa Umma anawaza kuiba badala ya utendaji wa ufanisi

Kigwangalla ametoa angalizo kupitia ukurasa wake wa twitter
Nimeona amechangia kwenye kuuzia wadubai bandari... anakuja hapa kuonya ujinga wake twitter...

Wakati amepewa wizara ya Maliasili yeye alikula ngapi
 
HK.gif

Mitch caught a body about a week ago, week ago
FVck with us and then we tweaking, h0e, tweaking, h0e.
 
Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangalla ameonya kuwa Tanzania inajenga Taifa la Watu wavivu, Wanapenda kula Bata bila kufanya kazi, Wala rushwa, Wezi, Madhulumati, Waongo Waongo na wanapenda kujimwambafy wakati hawana chochote

Taifa ambalo kila mwajiriwa wa Umma anawaza kuiba badala ya utendaji wa ufanisi

Kigwangalla ametoa angalizo kupitia ukurasa wake wa twitter
Huyu punguani si ndio alipiga mtu lisasi na kutumia Rushwa kuepuka mkono wa sheria?
 
Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangalla ameonya kuwa Tanzania inajenga Taifa la Watu wavivu, Wanapenda kula Bata bila kufanya kazi, Wala rushwa, Wezi, Madhulumati, Waongo Waongo na wanapenda kujimwambafy wakati hawana chochote

Taifa ambalo kila mwajiriwa wa Umma anawaza kuiba badala ya utendaji wa ufanisi

Kigwangalla ametoa angalizo kupitia ukurasa wake wa twitter
Duh ndomana wameona waitoe bandari

Ova
 
Back
Top Bottom