Mwita Waitara: Rais Samia aitwe Mama wa Taifa

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,034
Mbunge wa Tarime Vijijini Mhe. Mwita Waitara, amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ndio Rais wa kwanza mwanamke wa Tanzania tulimpa heshima Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyrere, Pia ni raihisi aliyeahidi hakuna kazi itakayosimama na zikaendelea.

Pia Mbunge wa Tarime Vijijini anasema Rais kwa huruma yake alimkuta mtu yupo gerezani akamtoa, akaenda kula nae Ikulu, akaruhusu mikutano ya yama vya Siasa ila mheshimiwa Mbowe amemkosea sana Rais na anapaswa kumwomba radhi Rais.

😄

20230115_150312.jpg
 
Kwani ni serikali ya Rwanda ilimweka Mbowe gerezani kwa ugaidi wa mchongo au ccm hii hii chini ya Samia?
Majizi yote yaliyochukia ugaidi wa mchongo ulivyobuma ndiyo yamepata pa kupumulia na huyu Samia asipochanganya zake na za mbelewele akayasikiliza haya majizi mambo yatakuwa mmbombo.
Tutapigania haki kama ilivyo kanuni yake na sii kuipokea kwenye kisahani cha mtesi.
Kisahani cha mtesi hakiwezi kumpa haki mwenye haki bila kuipigania.
 
Mbunge wa Tarime Vijijini Mhe. Mwita Waitara, amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ndio Rais wa kwanza mwanamke wa Tanzania tulimpa heshima Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyrere, Pia ni raihisi aliyeahidi hakuna kazi itakayosimama na zikaendelea.

Pia Mbunge wa Tarime Vijijini anasema Rais kwa huruma yake alimkuta mtu yupo gerezani akamtoa, akaenda kula nae Ikulu, akaruhusu mikutano ya yama vya Siasa ila mheshimiwa Mbowe amemkosea sana Rais na anapaswa kumwomba radhi Rais.

Hana option masikini inabid afanye hivo tu 🤣🤣🤣
 
Naunga mkono hoja . Huyu mama yuko vizuri sana.
 
Akimaliza hapo anaanza kulia😂😂😂
 
Naunga mkono hoja
P
 
Mchumia tumbo, ndondocha la tiss/
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom