Miaka 2 ya waziri Mbarawa hamna flyover hata Moja iliyokamilika

JackisonDubai

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2023
Posts
537
Reaction score
1,285
Miaka miwili ya waziri prof Mbarawa inatia shaka na kusikitisha sana, hakuna flyover hata Moja iliyokamilika, hakuna barabara mpya hata Moja iliyokamilika,treni ya SGR haijaanza kufanya kazi! Kwa kweli ni masikitiko makubwa Kwa waziri huyu wa ujenzi.

Kwenye ilani ya ccm 2020 - 2025 Kuna ma flyover kibao yameahidiwa kujengwa ,je tutafanikiwa Kwa mwendo wa konokono huu wa waziri prof Mbarawa?
 
Ndio maana Hayati Magufuli alimuondoa,hamna kitu!.Tangu lini watu wa pwani wakawa wachapa kazi,wao waambie majungu,uzushi,kusema ya wenzao wakati yao yanawashinda kwenye vijiwe vya kahawa na bao,hapo umewafikisha.Ni uswahili proper,lakini u-demand seriousness kutoka kwao,no,no,no,hiyo sio asili yao..
 
Miaka miwili ya waziri prof Mbarawa inatia shaka na kusikitisha sana, hakuna flyover hata Moja iliyokamilika, hakuna barabara mpya hata Moja iliyokamilika,treni ya SGR haijaanza kufanya kazi! Kwa kweli ni masikitiko makubwa Kwa waziri huyu wa ujenzi.

Kwenye ilani ya ccm 2020 - 2025 Kuna ma flyover kibao yameahidiwa kujengwa ,je tutafanikiwa Kwa mwendo wa konokono huu wa waziri prof Mbarawa?
Kwani ile ya pale Chang'ombe na Uhasibu bado?
 
Miaka miwili ya waziri prof Mbarawa inatia shaka na kusikitisha sana, hakuna flyover hata Moja iliyokamilika, hakuna barabara mpya hata Moja iliyokamilika,treni ya SGR haijaanza kufanya kazi! Kwa kweli ni masikitiko makubwa Kwa waziri huyu wa ujenzi.

Kwenye ilani ya ccm 2020 - 2025 Kuna ma flyover kibao yameahidiwa kujengwa ,je tutafanikiwa Kwa mwendo wa konokono huu wa waziri prof Mbarawa?
Wewe;leave alone our Uncle from Zanzibar!!
 
Kwenye ilani ya ccm 2020 - 2025 Kuna ma flyover kibao yameahidiwa kujengwa ,je tutafanikiwa Kwa mwendo wa konokono huu wa waziri prof Mbarawa?
Kayabebe hayo maflyover yaliyoahidiwa uyaweke hapo yanapotakiwa.
Kodi hamutaki kulipa lakini kelele nyingi za kutaka maflyover, kwani nchi hii inaishi kwa flyover tu?
 
Ndio maana Hayati Magufuli alimuondoa,hamna kitu!.Tangu lini watu wa pwani wakawa wachapa kazi,wao waambie majungu,uzushi uzushi,kusema ya wenzao wakati yao yanawashinda,hapo umewafikisha.Ni uswahili proper,lakini u-demand seriousness kutoka kwao,no,no,no,hiyo sio asili yao..
wachapa kazi nyinyi wa bush mbona hatukuona hayo maendeleo tangu enzi za Nyerere wa kutokea huko bush?
 
Ndio maana Hayati Magufuli alimuondoa,hamna kitu!.Tangu lini watu wa pwani wakawa wachapa kazi,wao waambie majungu,uzushi uzushi,kusema ya wenzao wakati yao yanawashinda kwenye vijiwe vya kahawa na bao,hapo umewafikisha.Ni uswahili proper,lakini u-demand seriousness kutoka kwao,no,no,no,hiyo sio asili yao..
Inasikitisha sana
 
Miaka miwili ya waziri prof Mbarawa inatia shaka na kusikitisha sana, hakuna flyover hata Moja iliyokamilika, hakuna barabara mpya hata Moja iliyokamilika,treni ya SGR haijaanza kufanya kazi! Kwa kweli ni masikitiko makubwa Kwa waziri huyu wa ujenzi.

Kwenye ilani ya ccm 2020 - 2025 Kuna ma flyover kibao yameahidiwa kujengwa ,je tutafanikiwa Kwa mwendo wa konokono huu wa waziri prof Mbarawa?
Yule shetani tulomfukia Chato alikaa wizara hiyo miaka karibu 20 alijenga flyover ipi?
 
Ndio maana Hayati Magufuli alimuondoa,hamna kitu!.Tangu lini watu wa pwani wakawa wachapa kazi,wao waambie majungu,uzushi uzushi,kusema ya wenzao wakati yao yanawashinda kwenye vijiwe vya kahawa na bao,hapo umewafikisha.Ni uswahili proper,lakini u-demand seriousness kutoka kwao,no,no,no,hiyo sio asili yao..
Haiwasaidii kunung'unika.
Waswahili ndo washaikamata nchi na washamba nyie msitarajie kurudi tena.
Lile shetani lenu la Chattle liliwaharibia sana, haturudii kosa.
Mtabaki kulialia tu humu mitandaoni na kamwe hafufuki otherwise fuateni ushauri wa Zitto
 
Ndio maana Hayati Magufuli alimuondoa,hamna kitu!.Tangu lini watu wa pwani wakawa wachapa kazi,wao waambie majungu,uzushi uzushi,kusema ya wenzao wakati yao yanawashinda kwenye vijiwe vya kahawa na bao,hapo umewafikisha.Ni uswahili proper,lakini u-demand seriousness kutoka kwao,no,no,no,hiyo sio asili yao..
..na Ubwabwa
 
Wizara ile inahitaji mtu aliyetokea humo ndani mfano Tanroads au ambae ameitumikia kwa kipindi kirefu na kuielewa nje ndani network zote za barabara azitambue fika kiasi kwamba miradi inayoendelea/inayotazamiwa kuanza iwe kipaumbele na sio kupiga siasa huku akiwaachia katibu mkuu na watendaji wengine yeye akisubiri kusoma majibu tu bungeni. Bila kubanana na meneja wa mikoa (RMs) mambo hayaendi ipasavyo maana watawaacha wakandarasi watekeleze miradi wanavyotaka kwa visingizio visivyo na mashiko, kingine ni bajeti na vipaumbele kutiliwa mkazo, utiliwaji mkazo wa matumizi sahihi ya barabara ikiwemo adhabu kwa magari yote ( hasa malori) yanayoharibikia njiani na kuzuia watumiaji wengine na wale wanaomwaga mafuta au vilainishi barabarani​
 
Back
Top Bottom