Wabunge wa CCM walipitisha kuuzwa kwa gas yetu, tena kwa hatua ya dharura

Ifahamike wabunge wa CCM hupitisha chochote kitakiwacho na serekali. Ushahidi wa kuuzwa kwa raslimali zetu kwa hilo bunge rubber stamp uko wazi ikiwemo gas yetu. Leo tutarajie uhuni zaidi.
Watanzania watakapo amka na kuwatambua hawa wahuni wa CCM,wote wanatakiwa kuhama kutoka katika taifa lao na kutafuta pakwenda kwani watakuwa walishauzwa bila kujua😂
 
Ifahamike wabunge wa CCM hupitisha chochote kitakiwacho na serekali. Ushahidi wa kuuzwa kwa raslimali zetu kwa hilo bunge rubber stamp uko wazi ikiwemo gas yetu. Leo tutarajie uhuni zaidi.
Wananchi wana hasira sana
 
Kila kitu,iwe uwekezaji,ubinafsishaji n.k.
Wahusika ni ccm.
Kama hasara tunapata ni sababu ya ccm.Hiyo inaeleweka.
 
Ifahamike wabunge wa CCM hupitisha chochote kitakiwacho na serekali. Ushahidi wa kuuzwa kwa raslimali zetu kwa hilo bunge rubber stamp uko wazi ikiwemo gas yetu. Leo tutarajie uhuni zaidi.
Wananchi wana hasira sana
 
Wananchi wana hasira sana
Hasira zipo siku zote, lakini kwa uoga huu wala cake ya taifa wataendelea kufanya watakavyo. Kila siku nasema huku, bila machafuko hakuna lolote tutazuia. Walianza kwa kutest kuhamisha Wamasai huko ngorongoro kwa ajili ya kuwapatia waarabu. Wameona inawezekana, sasa ni mwendo wa kufanya watakavyo tu.
 
Ifahamike wabunge wa CCM hupitisha chochote kitakiwacho na serekali. Ushahidi wa kuuzwa kwa raslimali zetu kwa hilo bunge rubber stamp uko wazi ikiwemo gas yetu. Leo tutarajie uhuni zaidi.
Leo umeongea la maana
 
Ifahamike wabunge wa CCM hupitisha chochote kitakiwacho na serekali. Ushahidi wa kuuzwa kwa raslimali zetu kwa hilo bunge rubber stamp uko wazi ikiwemo gas yetu. Leo tutarajie uhuni zaidi.
Ni lazima tuwe wakwel bila unafiki, CCM haijawah kuweka mbele maslahi ya Taifa hata siku moja!! Mwenye mashaka na hili aseme waz hapa!!
 
Ifahamike wabunge wa CCM hupitisha chochote kitakiwacho na serekali. Ushahidi wa kuuzwa kwa raslimali zetu kwa hilo bunge rubber stamp uko wazi ikiwemo gas yetu. Leo tutarajie uhuni zaidi.
Mlichukua hatua? Au mlilamika?
 
Mlichukua hatua? Au mlilamika?
Black movement... Mbona unajib kama vile huijui CCM na serikali yake? Wabunge wa upinzani always mikataba mibovu hua wanapinga mpaka wanatolewa nje! Ukirud kweny Mahakama zote zipo under CCM voice, geshi ra porishi under CCM voice. Je unataka wapinzani wangefanya nn? Hata wakijitoa wauwawe unadhan mikataba ingesitishwa?
 
Back
Top Bottom