Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hayati rais benjamini mkapa enzi za utawala wake, nae alikuja kwa bwebwe kibao na kujiamini na kuiamini philosophy yake ya privatisation mashirika ya umma !! watu tukajua huenda kweli tutapata...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Nakubaliana na Prof. Kitila Mkumbo, Mbunge wa Jimbo la Ubungo, wakati akichangia Bungeni, kwenye mjadala wa kuridhia Mkataba (makubaliano) wa Ushirikiano (IGA) kati ya Tanzania na Dubai, kwamba...
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Katiba ya Warioba ilikwama kwa sababu mbili; Moja: Masharti ambayo utekelezaji yanahitaji mapato mengine. Pili: Masharti ya muungano ambayo CCM isiyoweza vumilia isipokuwa kwenye kuvunja...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wabunge wetu mnawawakilisha wananchi wapi? Mbona mmeshindwa kuwawakilisha dukuduku lao la bandari? Je, mlichaguliwa kwenda kumsifu chifu tu? Hivi walioeleza dosari za mkataba ule wote walikuwa na...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari zenu wana jumuiya Niende kwenye mada moja kwa moja Sisi kama jumuiya ya JamiiForums tufanye nini ili kuinusuru nchi yetu katika hili... Maana nchi ni yetu, bandari na rasilimali zote ni...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Mimi sio mtangazaji ila sidhani kama ethic za utangazaji zina ruhusu kwamba Mtangzaji awe Balazo wa wa Taasisi tena ya Umma. Ndio maana kwa sasa habari zinazo husu Bandari huwezi sikia Mauld...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Yamenitesa sana mchana wa leo, nikiwa kijana wa kutoka Tanzania bara huwa ninajiuliza ni kwanini kila Rais anapokuwa Mzanzibari ikitokea "Ukakasi wa hoja" dhidi ya serikali aiongozayo baadhi ya...
10 Reactions
300 Replies
12K Views
Lipumba acha kufumba macho. Hili dili Rais anajua kila kitu. Umesahau alishamkaribisha mmiliki wa DP world Ikulu.
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Usuli Mheshimiwa Rais Samia, Tanzania kama Taifa huru linayo haki ya kutowajibika kwa Taifa jingine lolote duniani, na haki hii ndiyo inaitwa "sovereignty" kwa Kiingereza. Hivyo, katika maneno...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Air Tanzania ups stake for East African skies Air Tanzania is set to step up competition in the East African skies with the launch of flights on the Dar es Salaam-Nairobi route from November 26...
23 Reactions
163 Replies
19K Views
Bado hawaamini kama Watanganyika wameamka na wanatolea macho maliasili zao walizopewa na Mungu. Wamesahau kama bongo movie ilishakufa, kila mwaka graduate laki sita wanaingia mtaani na hawana...
3 Reactions
1 Replies
813 Views
Takwimu toka Idara ya Utalii Dubai unaonyesha kwa mwaka 2019 tu Jiji la Dubai pekee lilipokea watalii yapata milioni 16. SWALI: wao walifanya Movie ya Royal tour lini?
13 Reactions
64 Replies
5K Views
Ukisoma andiko la 'Opening the Gates: How the Port of Dar es Salaam Can Transform Tanzania?' Author: Jacques Morisset Anasema kwamba, "Meli zinazolenda mizigo Tanzania huchukua wastani wa siku...
9 Reactions
60 Replies
5K Views
Hilo la bandari limemtia doa sana Rais Samia kwa Wananchi hadi wa chini kabisa! Mwanasiasa ukiona umeanza kutetewa kwa nguvu zote na wapambe tambua utetewacho kwacho sicho sahihi kukifanya na...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Marekani ameendelea kuwa mwiba mkali dhidi ya miungano ya kikomonisti. Kumbukumbu zinaonyesha alivyofanikiwa kuisambaratisha USSR kupitia mtu wao Gorbachev. Kwa ukanda huu wa Afrika na mashariki...
0 Reactions
1 Replies
901 Views
Tarehe 10 June 2023, imekuwa siku ya laana kubwa kwa Taifa letu. Ni siku ya masikitiko na majonzi kwa watanganyika. Ni siku ambayo watu wachache walioshibishwa rushwa ya dola 50,000 na magari ya...
13 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimeangalia comments za huyu Suphian Juma huko twitter nadiriki kusema watu aina hii mkiendelea kuwalea ipo siku mtajikuta mnawateua kwenye nafasi nyeti za uongozi katika nchi hii.
33 Reactions
61 Replies
4K Views
Wasalaam watanganyika, Leo pita pita zangu u twitani nikakutana na trend ya huyu aliyekua kamanda (ME) chadema akasaliti chama akajiunga na ccm, Tangu aingie ccm amekua akipamgiwa/akiamua...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Dubious Dubai-Dar deal: Too much opacity has eroded trust SATURDAY JUNE 10 2023 Jenerali UlimwenguBy JENERALI ULIMWENGU More by this Author Little is new in the current controversy surrounding a...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom