Eneo lolote la kazi hasa uwapo na mamlaka ogopa sana kumtenda isivyo aliye chini yako kwa sababu kisasi hakitatoka kwake bali walipa kisasi ni wale waliowezeshwa kuwa hapo na uliye mtenda.
Kosa...
Profesa Ana Tibaijuka amemhoji Spika Tulia kutaka kujua kuwa Je Bunge ndo limeridhia huo mkataba wa awali (Mkataba Mama) bila marekebisho au limepitisha lakini Subjected kwa serikali kwenda...
Kama ilivyokuwa wakati wa biashara ya Korosho wakati ule wa utawala wa the late emperor chuma mwendazake jiwe Magufuli, tukapigwa na kitu kizito na korosho hazikuuzika. Tukapigwa kwenye mikataba...
Wengi wakubwa wapo humu ila wamesahau tumeshawahi kuunda Tume ya kuchunguza ucheleweshaji wa mizigo bandarini, foleni ndefu ya malori bandarini. mkitafuta mtaona haya yote.
Ucheleweshaji wa...
Mwaka 2020 kwenye uchaguzi wa Tanzania kulifanyikia uharamia ambao hakuwah kufanyika kwa mtu ambaye mara kwa mara utamuona jumapili akiomba aombewe
Bunge la chama kimoja lilikua ni lengo na...
DIASPORA: MKAKATI WA DIASPORA KATIKA DUAL CITIZENSHIP
Pursuant to our call for the right of dual citizenship for all Tanzanians, the Tanzanian Communities in the United States of America and the...
Mwenyekiti wa CUF Profesa Lipumba amemvaa Rais Samia kutokana na madudu yaliyomo kwenye mkataba wa ukodishwaji wa bandari za Tanzania kwa kampuni la DP world kutoka Dubai kwa haufai na huenda kuna...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa maelekezo nane ikiwemo Halmashauri kutenga maeneo ya kujenga nyumba za ibada ili kupunguza malalamiko miongoni mwa jamii.
Majaliwa ameyasema hayo Jana Jijini...
Rais msomi Dr,John Magufuli, amesema kwamba Tanzania imekuwa ni nchi ya kubeza jitihada za uvumbuzi au ugunduzi wa vitu unaofanywa na watanzania,
Kasema amegundua acid maalumu pale chuo kikuu...
Hili jambo halijakaa sawa katika angle zote, na limelenga sehemu nyeti ambayo inaweza kudhoofisha nchi yetu hasa Tanzania bara na kufungua ukurasa mpya wa ukoloni mambo leo.
Saini petition kwenye...
Katika Awamu ambayo wizi umefanyika Bila aibu ni Awamu ya 5, Kuanzia kiongozi wa Juu hadi chini ni wapigaji
1. Ukarabati wa Meli ya MV Victoria inagharimu 20Bln?
2. Ujenzi wa Daraja la Selander...
MHE. ESTHER MALLEKO AIBANA WIZARA YA AFYA KUHUSU HOSPITALI YA KCMC
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Edwin Malleko leo tarehe 12 Juni, 2023 Bungeni jijini Dodoma ameibana...
Sidhani kama Vijana wa Bavicha na UVCCM walipitia hizi Hadithi za Sungura na Fisi
Au ile mechi ya Mabush stars vs Born Town Dubai
Yaani Mabush stars bila team captain Meko lazima mchezee...
Sasa, ni rasimi na niko tayari kutumikia siasa za upinzani kwa nguvu zangu zote na kwa mali zangu zote, huku nikiwaelimisha watanzania jinsi wanavyouzwa na kurudishwa utumwani kwa tamaa za...
Ukurasa wa chama cha mapinduzi ndio ukurasa wa chama cha siasa wenye wafuasi wengi zaidi katika mtandao wa twitter nchini.
CCM 833k
CHADEMA 731k
Nini tafsiri ya hili jambo ikizingatiwa twitter...
12 Juni 2023
Mwenyekiti wa UVCCM-Taifa, Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) akizungumza na waandishi wa Habari hii leo ametolea ufafanuzi na msimamo wa Jumuiya hii katika suala la ushirikiano wa...
Kwa haya yanayoendelea sasa hapa Tanzania (ufujaji, upigaji na udalali wa rasimali za taifa), ni mwendewazimu pekee ( tena aliyevaa shati la kijani) anayeweza kuamini kuwa, Mama Samia anaweza...
Katika suala hili la makubaliano ya uendeshaji ya bandari Kati ya Serikali ya Tanzania, nimegundua kuna makundi kinzani yanayokinzana juu ya Jambo hilo. Na haya ndio makundi:
Kundi la wasiojua...
Hii vita nani kashinda information war kuishawishi jamii kwenye ukweli wa IGA.
Intelligence ni mchezo wa watu wenye akili.
You actually need clever people to manage information war; na hii vita...