Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,539
- 10,007
Mwaka 2020 kwenye uchaguzi wa Tanzania kulifanyikia uharamia ambao hakuwah kufanyika kwa mtu ambaye mara kwa mara utamuona jumapili akiomba aombewe
Bunge la chama kimoja lilikua ni lengo na matamanio ya magufuli lengo ni kuhakikisha jambo lolote lile atakalopeleka bungen hakuna atakayepinga ila badala yake jana rais samia ametumia kile ambacho lilikua lengo la magufuli leo hii bunge halipiganii maslah ya wananch bali ya serekal
Kutokuogopa wananchi
CCM kamwe haiogopi tena watanzania ujasiri huo magufuli ndo aliupitisha rasmi pale 2020 alipoiba mchana kweupe kura bila kificho huku watanzania wakimpongeza na wengine wakiumia huku hawana cha kufanya, hata rais aliyeko sasa ana hakika atakua rais mpaka 2030 labda Mungu aingilie kati
Kitu ambacho watanzania waelewe haki aliliwi mitandaon au kwa maneno matupu inapiganiwa na ni mpango wa mda mrefu