Zamani Shule ya Msingi Ilikuwa lazima kufundishwa Hadithi ya Sungura na Fisi, ndio hii Mikataba sasa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,998
142,019
Sidhani kama Vijana wa Bavicha na UVCCM walipitia hizi Hadithi za Sungura na Fisi

Au ile mechi ya Mabush stars vs Born Town Dubai

Yaani Mabush stars bila team captain Meko lazima mchezee kichapo tu

Hadithi huwa zinafundisha mengi na kutupa tahadhari!

Bavicha, UVCCM, Ngome ya Vijana msilale mtakuja kurithi mifupa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom