Tujadiliane, tusitukanane na tusibaguane

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,532
Reaction score
3,192
Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere ni miongoni mwa viongozi wachache duniani, walioacha alama bora na kutoa miongozo bora ya namna gani nchi inaweza kuhusiana na nchi nyingine duniani huku ikiendelea kulinda mila, desturi, tamaduni na tunu za Taifa. alitoa Julai, 1969 wa Taif mwongozo wa namna Tanzania inavyopaswa kuhusiana na nchi nyingine kwa kuzingatia ukuaji wa teknolojia na biashar za kimataifa.
Hi inatokana na kuamin! katika ushirikiano wa dhati na majirani zetu kuchagiza maendeleo makubwa.

Awali mwaka 1964, Mwalimu Nyerere alitoa mwelekeo wa Sera ya Asili ya Mambo ya Nje ya Tanzania, kwa Waraka namba mbili ulioelekeza nchi katika ukombozi wa Bara la Afrika na mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi hususan kwa Afrika Kusini na kusini mwa Afrika.​

"Tanzania katika dunía ni kama familia, jamii ya kijiji. Ni lazima ijitegemee, wananchi wake ni lazima wajisaidie wenyewe na kuunganisha mambo yao ya kitaifa kama ambavyo familia inavyojisaidia yenyewe na inavyojiamulia mambo yake ya ndani ya kifamilia.

Lakini Tanzania itakuwa inafanya upuuzi sana, na itakuwa na mtazamo mfupi, kama itakuwa inaenda katika namna isiyo ya kirafiki na yenye kutiliwa maashaka na kila mmoja nje ya Tanzania kwa sababu ukweli ni kwamba, mataifa yote ya dunia yanaungana kwa haraka sana.

"Mbali kabisa na siasa, teknolojia ya kisasa na biashara ya kimataifa vinazivuta pamoja sehemu zote za ulimwengu, na watu wote duniani. Mawasiliano ya simu yanaunganisha nchi ndani ya dakika, bidhaa zinazozalishwa Afrika zinatumika katika kila bara lingine na kinyume chake, ushirikiano wa kimatendo katika utawala, uchumi, masuala ya kijamii unaendelea wakati wote.

Vitu hivi vinaihusisha Tanzania, na nchi yetu imetambua kuwa mambo haya yote yana faida kwetu vilevile kwa watu wengine." Kauli hizo za Hayati Mwalimu Nyerere ziliegemea katika mambo mengi ya msingi; likiwemo la kila Mtanzania kuulinda Uhuru wa nchi na kuwa mzalendo mwenye wivu na uhuru na amani ya nchi yake.

Kila Mtanzania anao wajibu wa kulinda utamaduni wetu na kupinga tamaduni ovu. Kila Mtanzania anapaswa kuwajibika katika jukumu au majukumu aliyonayo na Tanzania kama nchi ni lazima ljitegemee.

Jambo hilo ndio linatoa mwelekeo sahihi kila kinachofanyika sasa na kutekelezwa na serikali kiko katika misingi mikuu ya kulinda utu wa Mtanzania, uhuru wa nchi. Hii inatokana na maendeleo hayana njia ya mkato lazima tuumie kwa mantiki pana ya kufika katika kilele cha mafanikio makubwa na kufika mbali zaidi.

Tangu kuanza mjadala wa uwekezaji wa bandari unaotakwa kutekelezwa na serikali dhidi ya kampuni ya DP World ya Dubai, mengi yamelitokeza na wanasiasa kuzungumza mambo mengi na wakati mwingine hadi tunatoka katika hoja na kuanza kujadili hisia za watu, kabila zao na ukanda wao. Jambo ambalo sio zuri na lenye kutuvunjia heshima mbele ya jamii kwa mantiki za kipuuzi.

Watanzania tunapaswa kuishi katika fikra za Hayati Nyerere aliyetutaka tupende kujadili na sí kupiga kelele. Kauli iliyotolewa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe sio kauli bora na zina lengo la kujenga mpasuko katika jamii hususan kuwatuhumu viongozi wenye asili ya Tanzania Zanzibar.

Makubwa yaliyofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, ndani ya miaka miwili ni ya Watanzania wote na sio ya Wazanzibari. Kuna utekelezaii mkubwa wa miradi ya maendeleo mikoa mbalimbali ikiwemo Kilimaniaro anapotoka Mbowe na wilaya nzima ya Hai. Hii inabebwa na dhima kubwa ya upendo na mshikamano kwa wananchi wote.

Jamii inapaswa kuelezwa ukweli kuwa, bandari haijauzwa bali serikali inataka kuingia mkataba waushirikiano na serikali ya Tanzania na Dubai.

Tunapaswa kujadili maendeleo zaidi na sio hisia za watu na kinachofanywa na wanasiasa hivi sasa ni kubeba ajenda ya jambo bora na kuanza kupotosha kwa umma.

Hii inatokana na mkataba uliopo ni serikali kushirikiana na kampuni hiyo, kuendeleza na kuendesha maeneo ya bandari Tanzania kwa kuwa mkataba huo unatoa nafasi ya kuwa na mikataba mingine na kwa mujibu wa katiba ibara ya 63, ibara ndogo ya 3(3) ni kwamba, kunapokuwa na mkataba wa makubaliano kati ya nchi na nchi Bunge linapaswa kuhusishwa.

Bandari ni lango kuu la uchumi linapaswa kuwa na faida kubwa kwa Taifa, kinachofanyika sasa ni moja ya majukumu ya serikali kuhakikisha inaleta mapato makubwa kwa taifa, kwa kuwa na bandari yenye kuzalisha fedha nying) kwa taifa na sio mambo mengine yoyote.

Hivyo, tusikubali suala hili litugawe ball tuendelee kuwa kama familia moja yenye kuish kwa aman na upendo na isiyokubal! kuingiza chembechembe za mgawanyiko kwa misingi ya rangi zetu au ukabila wetu. Tukiruhusu haya tutakuwa tumeanza kuing za ubaguzi ambao tumeukataa kwa zaidi ya miaka 60 ilivopita. Tuladiliane kwa hoja, tusitukanane Ita tusibaguane kwa rangi zetu.

​
 
Watanzania ni wanafiki sana hivi kati ya kauli ya mbowe na ripoti ya CAG kipi kilitakiwa kiwe mjadala kitaifa na watanzania nao wameingia kwenye beat.
 
Wewe nawe ni Mtanzania sio?
 
Mbowe ameongea ukweli kuwa wazanzibari wanaiuza nchi yetu. Huu ni ukweli wa dhahiri.
 
Huo uwezo wa kujadiliana mnao? mkiulizwa mkataba unaisha lini mnaweza kujibu?

Kama hamna majibu kwanini msiitwe shetani na mawakala wake?
 
Uchumi wa nchi hii wakati Nyerere anachukua madaraka ya nchi ulilingana na Malaysia 🇲🇾, Google sasa na ufanye mlinganisho wa kiuchumi
 
Huyu nyerere huwa wanampa sifa ambazo hasitahili kabisa.katuachia mzigo wa misumari kuhusu muungano.maamuzi yake binafsi pasipokutushirikisha sisi wananchi yanatusumbua hadi sasa.bota hata mkoloni angebaki na tungekuwa tuko mbali kuliko ilivyosasa
 
Binafsi namuomba radhi sana Mh Msukuma

Yamkini michango yangu imemchefua na kumkwaza..

Namuomba radhi Kwa Maneno yeyote niliotumia yasio na staha.

Nawaomba radhi viongozi wote na watanzania wote tuliokinzana Kwa fikra,hoja na mitazamo..

Nawasamehe wote walionikwaza Kwa namna moja au nyingine.

Naahidi kufanya majadiriano yenye heshima,Tija,Uzalendo na utu

Pamoja tutaijenga Tanzania yenye neema
 
Huyu nyerere huwa wanampa sifa ambazo hasitahili kabisa.katuachia mzigo wa misumari kuhusu muungano.maamuzi yake binafsi pasipokutushirikisha sisi wananchi yanatusumbua hadi sasa.bota hata mkoloni angebaki na tungekuwa tuko mbali kuliko ilivyosasa
Uko sahihi, moja ya matatizo makubwa ya kiutawala ndani ya nchi hii yameasisiwa na Nyerere. Na kwa mazingira yalivyo hayataondoka kwa mijadala bali machafuko. Njia za mijadala ili kuondoa tatizo hilo zimeshafeli.
 
Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere ni miongoni mwa viongozi wachache duniani, walioacha alama bora na kutoa miongozo bora ya namna gani nchi inaweza kuhusiana na nchi nyingine duniani huku ikiendelea kulinda mila, desturi, tamaduni na tunu za Taifa. alitoa Julai, 1969 wa Taif mwongozo wa namna Tanzania inavyopaswa kuhusiana na nchi nyingine kwa kuzingatia ukuaji wa teknolojia na biashar za kimataifa.
Hi inatokana na kuamin! katika ushirikiano wa dhati na majirani zetu kuchagiza maendeleo makubwa.

Awali mwaka 1964, Mwalimu Nyerere alitoa mwelekeo wa Sera ya Asili ya Mambo ya Nje ya Tanzania, kwa Waraka namba mbili ulioelekeza nchi katika ukombozi wa Bara la Afrika na mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi hususan kwa Afrika Kusini na kusini mwa Afrika.​

"Tanzania katika dunía ni kama familia, jamii ya kijiji. Ni lazima ijitegemee, wananchi wake ni lazima wajisaidie wenyewe na kuunganisha mambo yao ya kitaifa kama ambavyo familia inavyojisaidia yenyewe na inavyojiamulia mambo yake ya ndani ya kifamilia.

Lakini Tanzania itakuwa inafanya upuuzi sana, na itakuwa na mtazamo mfupi, kama itakuwa inaenda katika namna isiyo ya kirafiki na yenye kutiliwa maashaka na kila mmoja nje ya Tanzania kwa sababu ukweli ni kwamba, mataifa yote ya dunia yanaungana kwa haraka sana.

"Mbali kabisa na siasa, teknolojia ya kisasa na biashara ya kimataifa vinazivuta pamoja sehemu zote za ulimwengu, na watu wote duniani. Mawasiliano ya simu yanaunganisha nchi ndani ya dakika, bidhaa zinazozalishwa Afrika zinatumika katika kila bara lingine na kinyume chake, ushirikiano wa kimatendo katika utawala, uchumi, masuala ya kijamii unaendelea wakati wote.

Vitu hivi vinaihusisha Tanzania, na nchi yetu imetambua kuwa mambo haya yote yana faida kwetu vilevile kwa watu wengine." Kauli hizo za Hayati Mwalimu Nyerere ziliegemea katika mambo mengi ya msingi; likiwemo la kila Mtanzania kuulinda Uhuru wa nchi na kuwa mzalendo mwenye wivu na uhuru na amani ya nchi yake.

Kila Mtanzania anao wajibu wa kulinda utamaduni wetu na kupinga tamaduni ovu. Kila Mtanzania anapaswa kuwajibika katika jukumu au majukumu aliyonayo na Tanzania kama nchi ni lazima ljitegemee.

Jambo hilo ndio linatoa mwelekeo sahihi kila kinachofanyika sasa na kutekelezwa na serikali kiko katika misingi mikuu ya kulinda utu wa Mtanzania, uhuru wa nchi. Hii inatokana na maendeleo hayana njia ya mkato lazima tuumie kwa mantiki pana ya kufika katika kilele cha mafanikio makubwa na kufika mbali zaidi.

Tangu kuanza mjadala wa uwekezaji wa bandari unaotakwa kutekelezwa na serikali dhidi ya kampuni ya DP World ya Dubai, mengi yamelitokeza na wanasiasa kuzungumza mambo mengi na wakati mwingine hadi tunatoka katika hoja na kuanza kujadili hisia za watu, kabila zao na ukanda wao. Jambo ambalo sio zuri na lenye kutuvunjia heshima mbele ya jamii kwa mantiki za kipuuzi.

Watanzania tunapaswa kuishi katika fikra za Hayati Nyerere aliyetutaka tupende kujadili na sí kupiga kelele. Kauli iliyotolewa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe sio kauli bora na zina lengo la kujenga mpasuko katika jamii hususan kuwatuhumu viongozi wenye asili ya Tanzania Zanzibar.

Makubwa yaliyofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, ndani ya miaka miwili ni ya Watanzania wote na sio ya Wazanzibari. Kuna utekelezaii mkubwa wa miradi ya maendeleo mikoa mbalimbali ikiwemo Kilimaniaro anapotoka Mbowe na wilaya nzima ya Hai. Hii inabebwa na dhima kubwa ya upendo na mshikamano kwa wananchi wote.

Jamii inapaswa kuelezwa ukweli kuwa, bandari haijauzwa bali serikali inataka kuingia mkataba waushirikiano na serikali ya Tanzania na Dubai.

Tunapaswa kujadili maendeleo zaidi na sio hisia za watu na kinachofanywa na wanasiasa hivi sasa ni kubeba ajenda ya jambo bora na kuanza kupotosha kwa umma.

Hii inatokana na mkataba uliopo ni serikali kushirikiana na kampuni hiyo, kuendeleza na kuendesha maeneo ya bandari Tanzania kwa kuwa mkataba huo unatoa nafasi ya kuwa na mikataba mingine na kwa mujibu wa katiba ibara ya 63, ibara ndogo ya 3(3) ni kwamba, kunapokuwa na mkataba wa makubaliano kati ya nchi na nchi Bunge linapaswa kuhusishwa.

Bandari ni lango kuu la uchumi linapaswa kuwa na faida kubwa kwa Taifa, kinachofanyika sasa ni moja ya majukumu ya serikali kuhakikisha inaleta mapato makubwa kwa taifa, kwa kuwa na bandari yenye kuzalisha fedha nying) kwa taifa na sio mambo mengine yoyote.

Hivyo, tusikubali suala hili litugawe ball tuendelee kuwa kama familia moja yenye kuish kwa aman na upendo na isiyokubal! kuingiza chembechembe za mgawanyiko kwa misingi ya rangi zetu au ukabila wetu. Tukiruhusu haya tutakuwa tumeanza kuing za ubaguzi ambao tumeukataa kwa zaidi ya miaka 60 ilivopita. Tuladiliane kwa hoja, tusitukanane Ita tusibaguane kwa rangi zetu.

​
Nakuja Pemba Kununua kiwanja
 
Back
Top Bottom