Mapokezi ya Mwenge wa Uhuru Muheza

Mapokezi ya Mwenge wa Uhuru Muheza

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Muheza Mhe. Hamis Mwinjuma Juni 11, 2023 wilayani Muheza mkoani Tanga ameshiriki mapokezi ya Mbio za Mwenge wa Uhuru.

Mhe.Mwinjuma amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ujenzi wa daraja linalounganisha kijiji cha Zeneti na Kimbo vilivyopo katika kata ya Potwe. Lililojengwa kwa kiasi cha Tsh milioni 30 zilizotolewa na serikali.

Mwenge wa Uhuru ambao unaongozwa na Kauli Mbiu " Tunza Mazingira, Okoa Vyanzo vya Maji kwa Ustawi wa Viumbe Hai na Uchumi wa Taifa, ukiwa wilayani hapo utakagua, na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo.

IMG-20230611-WA0075.jpg
 
Yaani ni kushukuru kushukuru tu,asubuhi ,mchana jioni..huo ni wajibu waserikali nasi,wajibu wetu ni kulipa kodi
 
UJINGA TULIOLITHISWA.

LAANA YA YLTAIFA HILI KAFALA.

NCHI inaendeshwa kwa UCHAWI WA WASHIRIKINA/ WASWAHILI WA Bagamoyo.
 
Ukimbizaji wa hii Kitu ni Kati ya ujinga unaoendelea kudumaza Taifa hili. Imefika wakati tiachane na hii mental slavery.
 
Back
Top Bottom