General Ulimwengu: Bunge lililopo haliwawakilshi wananchi ,Wale 19 wanamuwakilisha nani?

seedfarm

JF-Expert Member
Feb 9, 2020
260
2,654
Akiwa katika mjadala wa masuala ya mkataba wa serikali na Dubai ,Jenerali ulimwengu amesema bunge lililopo sasa ni bunge ambalo lipo lipo tu na halijulikani linamuwakilisha nani

Jenerali ulimwengu anasema bunge lenyewe sio halali kwani wale wabunge wanaongea ongea sijui wanaongea kwa niaba ya nani maana sio wabunge halali

Anahoji,Je wale wabunge waliopita bila kupingwa kama Nnape Nnauye yupo bungeni anamuwakilisha nani ?Hawa waliopita bila kupingwa kwa mbeleko ni nani aliwachagua anahoji jenerali ulimwengu

Anahoji na wale 19 wanaoongea ongea ongea wanamuwakilisha nani? Maana walishafukunzwa kwenye chama hivyo wanapojadili mkataba wanajadili kwa niaba ya nani maana wao sio halali kuwepo bungeni

Anahoji na wale wabunge wa kuteuliwa na Rais wanawakilisha jimbo gani na wanaongea ongea kwa niaba ya nani?maana hakuna mwananchi aliwapigia kura
 
Ktk mambo ambayo Magufuli huko aliko anajuwa alikosea nikuchagua wabunge kwa njia alifanya ndio maana yule kondoo wanamuanda walimtoa kati kati ya mbuzi asije chafuka wakashindwa mnadi.
 
Akiwa katika mjadala wa masuala ya mkataba wa serikali na Dubai ,Jenerali ulimwengu amesema bunge lililopo sasa ni bunge ambalo lipo lipo tu na halijulikani linamuwakilisha nani

Jenerali ulimwengu anasema bunge lenyewe sio halali kwani wale wabunge wanaongea ongea sijui wanaongea kwa niaba ya nani maana sio wabunge halali

Anahoji,Je wale wabunge waliopita bila kupingwa kama Nnape Nnauye yupo bungeni anamuwakilisha nani ?Hawa waliopita bila kupingwa kwa mbeleko ni nani aliwachagua anahoji jenerali ulimwengu

Anahoji na wale 19 wanaoongea ongea ongea wanamuwakilisha nani? Maana walishafukunzwa kwenye chama hivyo wanapojadili mkataba wanajadili kwa niaba ya nani maana wao sio halali kuwepo bungeni

Anahoji na wale wabunge wa kuteuliwa na Rais wanawakilisha jimbo gani na wanaongea ongea kwa niaba ya nani?maana hakuna mwananchi aliwapigia kura
Si wabunge tu, hata Waziri Mkuu hatuna kikatiba.

Waziri Mkuu anatakiwa awe mbunge wa kuchaguliwa na watu.Majaliwa kapita bila kupingwa hajachaguliwa na mtu.
 
Hadi hapo CCM itakapoondoka madarakani, wakaja watu wakaweka misingi imara ya kuliongoza hili taifa, hapo ndipo tunaweza kuuona mwanga. Otherwise tuna shida kubwa, nilimsikiliza bwana Nnauye akiongea jana, hotuba nzima anamsifia mkuu wa nchi, yaani maongezi yake yote anasifu tu, hivi yupo pale kusifu? Mbona kama hawaendi mjengoni kufanya mambo ya msingi?
 
Si wabunge tu, hata Waziri Mkuu hatuna kikatiba.

Waziri Mkuu anatakiwa awe mbunge wa kuchaguliwa na watu.Majaliwa kapita bila kupingwa hajachaguliwa na mtu.
Huu moto mnaouwasha ,kuuzima itakuwa ngumu sana

Kwa hiyo hata serikali iliopo sio halali maana muheshimiwa kassim nasikia hakupigiwa kura na mtu yeyote
 
Katiba si inataka awe mbunge wa Jimbo?
Majaliwa hajachaguliwa hata na kura moja. Amepita bila kupingwa.

Kama hajachaguliwa na mtu hata mmoja, si mbunge halali.

Kama si mbunge halali, hana sifa za kuwa Waziri Mkuu, hivyo si Waziri Mkuu halali.

Katiba inasema hivi kuhusu aina za wabunge:-

"66.-(1) Bila ya kuathiri masharti mengine ya ibara hii, kutakuwana aina zifuatazo za Wabunge, yaani-
(a) Wabunge waliochaguliwa kuwakilisha majimbo ya uchaguzi;"

Pia, kuhusu sifa za Waziri Mkuu, katiba imesema.

51.-(1) Kutakuwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano atakayeteuliwa na Rais kwa kufuata masharti ya ibara hii na ambaye kabla ya kushika madaraka yake ataapa mbele ya Rais kwa kiapo kinachohusika na kiti cha Waziri Mkuu kitakachowekwana Bunge.

(2) Mapema iwezekanavyo, na kwa vyovyote vile ndani ya sikukumi na nne, baada ya kushika madaraka yake, Rais atamteua Mbunge wa kuchaguliwa kutoka katika Jimbo la Uchaguzianayetokana na chama cha siasa chenye Wabunge wengi zaidiBungeni au kama hakuna chama cha siasa chenye Wabungewengi zaidi, anayeelekea kuungwa mkono na Wabunge waliowengi kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano, naye hatashikamadaraka hayo mpaka kwanza uteuzi wake uwe umethibitishwana Bunge kwa azimio litakaloungwa mkono na kura za Wabungewalio wengi.
 
Huu moto mnaouwasha ,kuuzima itakuwa ngumu sana

Kwa hiyo hata serikali iliopo sio halali maana muheshimiwa kassim nasikia hakupigiwa kura na mtu yeyote
Waziri Mkuu si mbunge halali, na hivyo si Waziri Mkuu halali.

Katiba imeainisha aina za wabunge (ibara ya 66, soma hapa), hakuna mbunge wa kupita bila kupingwa.

Waziri Mkuu amewekwa kuwa Waziri Mkuu kinyume na katiba.

Unaposema huyu ni mbunge wa kuchaguliwa jimboni, halafu hajachaguliwa hata kwa kura moja, kachaguliwa na nani?

Kama hana mpinzani kwa nini watu wasipige kura ya ndiyo au siyo tujue anakubalika au hakubaliki kwa asilimia ngapi?

Mbona ma rais Nyerere na Mwinyi tuliwapigia kura za Ndiyo au Siyo wakiwa wagombea pekee, hatukusema wawe ma rais bila kupigiwa kura kwa sababu wamepita bila kupingwa?
 
Jenerali aache upuuzi. Ingawa wabunge wengi wameingia bungeni kihuni ila kisheria wako sahihi. Sheria ya taifa ya uchaguzi kifungu 44 kinaruhusu mgombea kutangazwa mshindi na tume ya uchaguzi endapo ni yeye peke yake amekidhi vigezo katika walioomba kugombea. Kisheria sio lazima wananchi wapige kura kumchagua endapo tayari yuko peke yake aliyekidhi vigezo kugombea. Ikumbukwe wabunge wote wametoka miongoni mwetu hivyo kwa vyovyote vila wanalazimika kutuwakilisha. Kuepusha hoja za kichochezi kama za Jenerali basi 2025 uchaguzi uheshimiwe ili game iwe fair.

Kuhusu wabunge 19 ni kuwa hao ni wabunge halali kupitia CHADEMA. Kimsingi CHADEMA ina wabunge 19 wa kuteuliwa na mmoja wa kuchaguliwa na wananchi ila kuwa uwendawazimu wa Jenerali na makada wengine wa CHADEMA hawamtambui hata mbunge wa kuchaguliwa na wananchi.
 
Majaliwa hajachaguliwa hata na kura moja. Amepita bila kupingwa.

Kama hajachaguliwa na mtu hata mmoja, si mbunge halali.

Kama si mbunge halali, hana sifa za kuwa Waziri Mkuu, hivyo si Waziri Mkuu halali.

Katiba inasema hivi kuhusu aina za wabunge:-

"66.-(1) Bila ya kuathiri masharti mengine ya ibara hii, kutakuwana aina zifuatazo za Wabunge, yaani-
(a) Wabunge waliochaguliwa kuwakilisha majimbo ya uchaguzi;"

Pia, kuhusu sifa za Waziri Mkuu, katiba imesema.

51.-(1) Kutakuwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano atakayeteuliwa na Rais kwa kufuata masharti ya ibara hii na ambaye kabla ya kushika madaraka yake ataapa mbele ya Rais kwa kiapo kinachohusika na kiti cha Waziri Mkuu kitakachowekwana Bunge.

(2) Mapema iwezekanavyo, na kwa vyovyote vile ndani ya sikukumi na nne, baada ya kushika madaraka yake, Rais atamteua Mbunge wa kuchaguliwa kutoka katika Jimbo la Uchaguzianayetokana na chama cha siasa chenye Wabunge wengi zaidiBungeni au kama hakuna chama cha siasa chenye Wabungewengi zaidi, anayeelekea kuungwa mkono na Wabunge waliowengi kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano, naye hatashikamadaraka hayo mpaka kwanza uteuzi wake uwe umethibitishwana Bunge kwa azimio litakaloungwa mkono na kura za Wabungewalio wengi.
Kasome sheria ya taifa ya uchaguzi sura ya 343. Acha kujipotosha.
 
Jenerali aache upuuzi. Ingawa wabunge wengi wameingia bungeni kihuni ila kisheria wako sahihi. Sheria ya taifa ya uchaguzi kifungu 44 kinaruhusu mgombea kutangazwa mshindi na tume ya uchaguzi endapo ni yeye peke yake amekidhi vigezo katika walioomba kugombea. Kisheria sio lazima wananchi wapige kura kumchagua endapo tayari yuko peke yake aliyekidhi vigezo kugombea. Ikumbukwe wabunge wote wametoka miongoni mwetu hivyo kwa vyovyote vila wanalazimika kutuwakilisha. Kuepusha hoja za kichochezi kama za Jenerali basi 2025 uchaguzi uheshimiwe ili game iwe fair.

Kuhusu wabunge 19 ni kuwa hao ni wabunge halali kupitia CHADEMA. Kimsingi CHADEMA ina wabunge 19 wa kuteuliwa na mmoja wa kuchaguliwa na wananchi ila kuwa uwendawazimu wa Jenerali na makada wengine wa CHADEMA hawamtambui hata mbunge wa kuchaguliwa na wananchi.
Kwanza kabisa, sheria ikiwa inavunja katiba, sheria hiyo ni batili.

Ibara ya 66 ya katiba inataja kabisa mbunge wa kuchaguliwa kutoka jimboni, sasa huyu anayepita bila kupingwa kachaguliwa na nani?

Lakini pia, sheria si lazima iwe haki. Sheria si lazima ifuate mantiki. Ndiyo maana sheria zinabadilishwa na bunge inapoonekana hazifai.

Afrika Kusini kulikuwa na sheria ya kubagua watu weusi.

Je, kuwapo kwa sheria hizo kulifanya ubaguzi wa rangi uwe kitu sahihi, chenye mantiki na cha haki?
 
Kasome sheria ya taifa ya uchaguzi sura ya 343. Acha kujipotosha.
Kuna sheria inayopita katiba?

Soma ibara ya 66 ya katiba uone aina za wabunge, hakuna aina ya mbunge ya kupita bila kupingwa, aina ya mbunge ni mbunge wa kuchaguliwa kutoka jimboni.

Katiba inasema:-

"66.-(1) Bila ya kuathiri masharti mengine ya ibara hii, kutakuwana aina zifuatazo za Wabunge, yaani-
(a) Wabunge waliochaguliwa kuwakilisha majimbo yauchaguzi;"

Sasa, mbunge anayepita bila kupingwa kachaguliwa na nani wakati hajachaguliwa hata na kura moja?
 
Anahoji na wale wabunge wa kuteuliwa na Rais wanawakilisha jimbo gani na wanaongea ongea kwa niaba ya nani?maana hakuna mwananchi aliwapigia kura
Kuna jamaa kasema watanzani wengi ni wezi, mafisadi, wavivu nikamwambia anzia Bungeni kwa hao wawakilishi wa watanzania uone madudu yao maana wao ndio wanaotoa taswira ya jinsi watanzania walivyo 😆😆😆
 
Akiwa katika mjadala wa masuala ya mkataba wa serikali na Dubai ,Jenerali ulimwengu amesema bunge lililopo sasa ni bunge ambalo lipo lipo tu na halijulikani linamuwakilisha nani

Jenerali ulimwengu anasema bunge lenyewe sio halali kwani wale wabunge wanaongea ongea sijui wanaongea kwa niaba ya nani maana sio wabunge halali

Anahoji,Je wale wabunge waliopita bila kupingwa kama Nnape Nnauye yupo bungeni anamuwakilisha nani ?Hawa waliopita bila kupingwa kwa mbeleko ni nani aliwachagua anahoji jenerali ulimwengu

Anahoji na wale 19 wanaoongea ongea ongea wanamuwakilisha nani? Maana walishafukunzwa kwenye chama hivyo wanapojadili mkataba wanajadili kwa niaba ya nani maana wao sio halali kuwepo bungeni

Anahoji na wale wabunge wa kuteuliwa na Rais wanawakilisha jimbo gani na wanaongea ongea kwa niaba ya nani?maana hakuna mwananchi aliwapigia kura
Huwa ninamkubali sana Jenerali Ulimwengu. He is always a Critical Thinker.

Hakika Taifa linahitaji watu wengi wa aina yake kuliko hawa CHAWA waliotapakaa kila mahali.
 
Kuna sheria inayopita katiba?

Soma ibara ya 66 ya katiba uone aina za wabunge, hakuna aina ya mbunge ya kupita bila kupingwa, aina ya mbunge ni mbunge wa kuchaguliwa kutoka jimboni.

Katiba inasema:-

"66.-(1) Bila ya kuathiri masharti mengine ya ibara hii, kutakuwana aina zifuatazo za Wabunge, yaani-
(a) Wabunge waliochaguliwa kuwakilisha majimbo yauchaguzi;"

Sasa, mbunge anayepita bila kupingwa kachaguliwa na nani wakati hajachaguliwa hata na kura moja?
Hii mbunge anayepita bila kupingwa maana yake ni nini?

Yaani mgombea ubunge ambaye hana challenger kutoka chama chochote kile kwenye jimbo analogombea, jina lake linakuwa halipo kabisa kwenye ballot paper siku ya uchaguzi na moja kwa moja anakuwa mbunge, au ikoje hasa?
 
Back
Top Bottom