Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mengi yamezungumzwa kufuatia vifo vya Aliyekuwa Raisi wa Tanzania John Magufuli (aliyefariki 17/3/2021) na Bernard Kamilius Membe (aliyefariki 12/5/2023). Wawili hawa ndio waliingia katika hatua...
0 Reactions
0 Replies
665 Views
Ilikuwa teuzi ni kila mwezi, ikaja kika, wiki kuna teuzi, ikaja kila siku na sasa ni kila baada ya masaa kadhaa kuna teuzi inatangazwa. Nchi imejaa habari za teuzi tupu labda na habari za mpira...
17 Reactions
44 Replies
4K Views
Hata mtu mjinga anajua kuwa huu mkataba wa "kuwauzia" Waarabu Bandari zetu umepatikana kilaghai! Nape Nnauye ni mnafiki sana! Analinganisha mkataba wa Bomba la Mafuta na huu wa Bandari,wakati...
9 Reactions
18 Replies
2K Views
Naamini kati ya viongozi wa hovyo, wenye upeo duni, na wanafiki wakubwa, Makalla atakuwa ni miongoni mwao. Leo, Rais akiwa Mwanza, Makala katoa kauli ambayo by implication amemtusi Rais. Kauli...
21 Reactions
80 Replies
8K Views
Katika mchakato wa kupitisha Mkataba wa Bandari, Halima Mdee alisimama kidete kutetea Maslahi ya taifa katika uwekezaji bandarini. Halima Mdee hakusimama kama Mpinzani au mwana CHADEMAA bali kama...
7 Reactions
28 Replies
2K Views
Rais Samia akizungumza na Wakazi wa Jiji la Mwanza baada ya kuwasili kwa Ziara ya Kikazi leo Juni 12, 2023. Akitoa Salamu kwa Wananchi wa Jiji la Mwanza waliojitokeza kwenye uwanja wa Ndege...
22 Reactions
257 Replies
19K Views
Muda mfupi uliopita kupitia kipindi cha "Ijue BOT" kinachorushwa na Azam tv, nimemsikia Afisa Mwandamizi wa BOT, Bwana Deogratias Mnyamani akitoa maelezo kuhusu Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha ya...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Tangu mjadala wa makubaliano ya Tanzania na Dubai kuhusu masuala ya uwekezaji ikiwemo bandari uanze, hadi sasa sijaona mtu aliyesema kuhusu ubaya wowote wa kipengele cha mkataba na akakidadavua...
8 Reactions
98 Replies
6K Views
WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA YA MIRADI YA MAJI KWA HALMASHAURI ZA MKOA WA DODOMA Waziri wa Uwekezaji Viwanda na Biashara (Mb) Mh Dkt Ashatu Kijaji tarehe 12 Juni...
1 Reactions
1 Replies
804 Views
Natumaini mu wazima na wavumilivu wa hali kwa jina la Mwenyezi. Kabla ya yote nimpongeze kijana Bwana Wangwe kwa ushindi mkubwa alioupata kwa niaba ya watanzania wote. Ushindi wa zuio la...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
NAIBU WAZIRI NDEJEMBI ATOA MAAGIZO KWA KATIBU TAWALA WA MKOA NA WAKURUGENZI Naibu Waziri Ofisi ya Rais Mhe. Deogratius Ndejembi amemwagiza Katibu tawala wa Mkoa wa Ruvuma kuhakikisha anafanya...
0 Reactions
0 Replies
696 Views
Ameandika Martin Maranja Masese huko twitter: Bohari ya kuhifadhi kontena ya nchi kavu (Inland Container Depots (ICD) eneo la Kurasini, wamepewa SALISLA kwa utaratibu gani? Ni sehemu ya...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Taarifa iliyosambazwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo inaeleza kwamba, Chama hicho kinatarajia kuongea na Waandishi wa Habari Jijini Dodoma 14/6/2023. Bila shaka jambo kubwa linalozungumzwa...
16 Reactions
36 Replies
3K Views
Hii ndio nature ya ulimwengu kwamba lofa au mpumbavu asimiliki kitu chenye thamani. Hata kama uvunguni mwako kuna lulu nyingi za aina tofauti, dunia ikijua tu kuwa wewe ni lofa itatumia gharama...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiri Tamasha la Utamaduni la Bulabo katika uwanja wa Redcross Ngomeni Kisesa mkoani Mwanza leo tarehe 13 Juni, 2023...
4 Reactions
89 Replies
10K Views
Mkandarasi wa Jengo Jipya la Wizara ya Madini Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) ametakiwa kuongeza kasi ili kukamilisha jengo hilo kwa wakati. Rai hiyo, imetolewa leo Juni 13, 2023 na Waziri wa...
0 Reactions
0 Replies
520 Views
1.. Rais Samia mwaka jana wakati wa Meimosi alisitisha OPRAS ila Katibu Mkuu UTUMISHI hakutoa Waraka wala muongozo na bado watumishi wanalazimika kujaza OPRAS ili kupanda vyeo 2. Waziri Mkuu...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Maneno ya Bulembo! Polepole ni unyasi mkavu ni mdogo sana Mangula ashughulike naye. Bulembo anataka mdahalo na Polepole na yuko tayari kulipia ukumbi. Bashiru wa CUF hakutakiwa kuwa pale maana...
35 Reactions
184 Replies
20K Views
Bunge limepitisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali ikiwemo Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 Akiwasilisha hotuba yake bungeni, Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG)...
0 Reactions
8 Replies
829 Views
Naona raia tunalia lia sana, hili litapita tu tena haipiti wiki lisha sahaulika, raia tunaishi kwa matukio. Niliwahi kuambiwa na mzee mmoja kwamba Tanzania na India ndio nchi Ulimwenguni zilizo...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…