Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi amtembelea Dkt. Kikwete

Kadhakan

Senior Member
Joined
Jul 20, 2026
Posts
126
Reaction score
200
Wakuu kama mnavyoona picha

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemtembelea na kumjulia hali, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, katika makazi yake, Kawe Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 10 Agosti 2026.

1786367310621.png

1786367434684.png
 
Wakuu kama mnavyoona picha

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemtembelea na kumjulia hali, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, katika makazi yake, Kawe Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 10 Agosti 2026.

Daaaa Dalali wa nchi.....na mshika remote Mkuu........mnafiki wa ⚠️ kar
 
Ndugu zangu Watanzania,

Makamu wa Rais Mheshimiwa Daktari Emmanueli Nchimbi Amtembelea na kumjulia hali Rais Mstaafu Wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Nguli Wa Diplomasia Barani Afrika na Duniani kote kwa ujumla wake katika Makazi Yake.

Mheshimiwa Jakaya Kikwete ndiye alikuwa kiongozi wa kwanza kutoka Afrika kuonana na kufanya mazungumzo na Rais wa 44 wa Marekani Barack Hussein Obama alipochaguliwa tu Urais wa Marekani.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Screenshot_20260810-162118_1.jpg
 
Kama amemtembelea kikwete.
Amemtembelea Mtu mchafu sana kwenye Jamii ya watanzania.
Mtu asiyeaminika na kuheshikika kabisa.

Ila ni lazima amtembelee Boss wake kwasababu Nchimbi ni Mwana Mtandao na Kikwete ndio Core founder wa CCM mtandao.

HIcho chama hakina msafi hata mmoja.

Tukiwaambia CCM ni ile ile huwa hamuelewi.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Makamu wa Rais Mheshimiwa Daktari Emmanueli Nchimbi Amtembelea na kumjulia hali Rais Mstaafu Wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Nguli Wa Diplomasia Barani Afrika na Duniani kote kwa ujumla wake katika Makazi Yake.

Mheshimiwa Jakaya Kikwete ndiye alikuwa kiongozi wa kwanza kutoka Afrika kuonana na kufanya mazungumzo na Rais wa 44 wa Marekani Barack Hussein Obama alipochaguliwa tu Urais wa Marekani.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3647671
Unachafua uzi wa mwenzio
 
K
Wakuu kama mnavyoona picha

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemtembelea na kumjulia hali, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, katika makazi yake, Kawe Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 10 Agosti 2026.

Kumbe msoga kahama..
 
Hilo shati la Dkt Nchimbi limemkaa vema sana.
 
Back
Top Bottom