Dr. Emmanuel John Nchimbi ni uncompromised statesman Tanzania

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
45,381
Reaction score
37,141
Ni dertimined political leader of modern times politics. Hayumbi, hayumbishwi wala hayumbishiki.
Uzalendo, ushawishi na dhamira yake kwa Taifa havina chembe ya shaka miongoni mwa waTanzania.

1739201165776.png
Nidhamu, utii, hekima, busara, na mienendo yake kisiasa, vina mpa uhakika wa hatua za kuyafikia malengo yake kwa 100%, huku nguvu kubwa zaidi akiipata kutoka ndani na nje ya chama chake tofauti na wengine.
God bless the statesman joney 2030-2040.

Una maoni gani?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Nidhamu, hekima, busara, na mienendo yake kisiasa, vina mpa uhakika wa hatua za kuyafikia malengo yake kwa 100%, huku nguvu kubwa zaidi akiipata kutoka ndani na nje ya chama chake tofauti na wengine.

Naona sasa Kizimkazi mshaanza kumtupa mkono.

Nashukuru sana kwa kuwa mwepesi wa kuelewa mawazo ya wana cdm dhidi ya bi Msumi
 
Ni dertimined political leader of modern times politics. Hayumbi, hayumbishwi wala hayumbishiki.
Uzalendo, ushawishi na dhamira yake kwa Taifa havina chembe ya shaka miongoni mwa waTanzania.

Nidhamu, hekima, busara, na mienendo yake kisiasa, vina mpa uhakika wa hatua za kuyafikia malengo yake kwa 100%, huku nguvu kubwa zaidi akiipata kutoka ndani na nje ya chama chake tofauti na wengine.
God bless the statesman joney 2030-2040.

Una maoni gani?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Wee usiniambie 😀
 
Taratibu mmeshaanza kuasi
..
Uko tayari kutekwa wewe!??
 
Ni dertimined political leader of modern times politics. Hayumbi, hayumbishwi wala hayumbishiki.
Uzalendo, ushawishi na dhamira yake kwa Taifa havina chembe ya shaka miongoni mwa waTanzania.

Nidhamu, hekima, busara, na mienendo yake kisiasa, vina mpa uhakika wa hatua za kuyafikia malengo yake kwa 100%, huku nguvu kubwa zaidi akiipata kutoka ndani na nje ya chama chake tofauti na wengine.
God bless the statesman joney 2030-2040.

Una maoni gani?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Naunga mkono hoja, kwa asilimia 100% chini ya 100% na niliandika humu mara kadhaa kumhusu mtu huyu,
-
- https://www.jamiiforums.com/threads...30-twende-naye-kwa-utaratibu-ule-ule.2456741/

Nakuomba kwa nyie wenzetu mliobahatika kuwa karibu na watu wa ndani ya chama, washaurini waache zile .mambo zao kama walizomfanyia yule jamàa yangu wa 2015. jamaa alipania sana, lakini watu bila aibu huku wanamuangalia usoni, wakamchinjia baharini.

Waambieni huyu sio mtu mwepesi kihivyo, wakimletea figisu za kumchinjia baharini, this time around patachimbika kweli and if a worse comes to a worse, then utalazimika kutumika utaratibu ule ule...

P
 
Ni dertimined political leader of modern times politics. Hayumbi, hayumbishwi wala hayumbishiki.
Uzalendo, ushawishi na dhamira yake kwa Taifa havina chembe ya shaka miongoni mwa waTanzania.

Nidhamu, utii, hekima, busara, na mienendo yake kisiasa, vina mpa uhakika wa hatua za kuyafikia malengo yake kwa 100%, huku nguvu kubwa zaidi akiipata kutoka ndani na nje ya chama chake tofauti na wengine.
God bless the statesman joney 2030-2040.

Una maoni gani?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
John Nchimbi is a great guy........Ana msimamo na siyo chawa kama Mwigulu Nchemba.
 
Huyu amshukuru saana Samia,

Magu alimshamuweka kando, ilikuwa inasubiriwa muda wa kustaafu tu astaafu, maana watu walishamsahau.

Plus, hana makubwa aliyofanya. Si akiwa waziri, balozi, wala sasa akiwa makamo wa raisi, Hana jipya.zaidi ya kujipigia Debe kuwa next presidaa.

Changamoto ya kujipigia Debe, watu wenye pesa watamshika mkono kumsponsor, na akipata urais itabidi awalipe, hapo ndo kwenye shuguli, akiwalipa wapiomshika mkono itabidi awasahau watamzania kwanza ili awalipe waliomuweka madarakani
 
Ni dertimined political leader of modern times politics. Hayumbi, hayumbishwi wala hayumbishiki.
Uzalendo, ushawishi na dhamira yake kwa Taifa havina chembe ya shaka miongoni mwa waTanzania.

Nidhamu, utii, hekima, busara, na mienendo yake kisiasa, vina mpa uhakika wa hatua za kuyafikia malengo yake kwa 100%, huku nguvu kubwa zaidi akiipata kutoka ndani na nje ya chama chake tofauti na wengine.
God bless the statesman joney 2030-2040.

Una maoni gani?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Umepanick 😂😂😂
 
Wakati mwingine chawa huwa akili zinawarudia!
 
Naunga mkono hoja, kwa asilimia 100% chini ya 100% na niliandika humu mara kadhaa kumhusu mtu huyu,
-
- https://www.jamiiforums.com/threads...30-twende-naye-kwa-utaratibu-ule-ule.2456741/

Nakuomba kwa nyie wenzetu mliobahatika kuwa karibu na watu wa ndani ya chama, washaurini waache zile .mambo zao kama walizomfanyia yule jamàa yangu wa 2015. jamaa alipania sana, lakini watu bila aibu huku wanamuangalia usoni, wakamchinjia baharini.

Waambieni huyu sio mtu mwepesi kihivyo, wakimletea figisu za kumchinjia baharini, this time around patachimbika kweli and if a worse comes to a worse, then utalazimika kutumika utaratibu ule ule...

P
Utaratibu upi?
 
yeah he is Christian, Christian wana malezi tofauti kwa mtazamo wangu atleast na ndio maana nchi ikiwa chini ya Christians nidhamu, fiscal discipline huruma kwa wasio na uwezo ujumla nchi inapata muelekeo na wananchi wanaona mbele kuna matumani hata kama maisha ni magumu bado wananchi wanakuwa tayari kujitolea kwa maana wanajua na kuona viongozi pia wako pamoja nao ...
 
Utaratibu upi?
Utaratibu ule ule uliotumika!. Kwani aliyeopo aliomba kugombea?, si baada ya kumuona ana faa ukafanyika tuu utaratibu, akateuliwa. Kama kuna dalili zozote za zengwe kumzuia mtu wetu asigombee urais 2030, then, hakuna haja ya kusubiri hadi 2030, kunafanyika tuu utaratibu fulani hapa katikati, tunamaliza kazi!.
P
 
Back
Top Bottom