DITOPILE AUNGANA NA WANA CHAMWINO KWA IFTAR, WAMUOMBEA DUA RAIS SAMIA
Katika Muendelezo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma Mhe. Mariam Ditopile ameungana na...
Mbunge wa Viti Maalum Wanawake (UWT) Mkoa wa Songwe Mhe. Juliana Daniel Shonza ametoa Tracks Sut 64 na Pedi 128 zenye thamani ya Milioni 1,600,000 kwa Wanafunzi wakike 64 waliounguliwa na Bweni...
Naomba watanzania tuamke Hali ya ufisadi ni mbaya Sana kwenye nchi yetu Chini ya huu utawala, tukemee huu ufisadi aisee.
Mfano kwenye utawala huu walisaini ujenzi wa Reli lot 3 na 4 ambao...
Nilidhani ni Dar tuu, nimezunguka karibia mikoa yote, ni Mabango tuu ya Picha za Mama.
Kwa jinsi gharama zilivyo kuprint na kukodi space, nadhani gharama zake zinaweza jenga kituo cha afya...
Ikiwa tutaamua kufanya utafiti leo katika mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram, TikTok na mingine, utagundua kwamba Siasa za Nchi miongoni mwa vijana zimezimia kama siyo kufa.
Content...
Kwa muda mrefu huyu rais anajitambulisha kuwa yupo kwa ajili ya kuukuza uisilamu, rais Mwinyi huko nyuma aliwahi kusema ataongea na rais wa Tanzania kuona jinsi serikali ya Zanzibar inavyoweza...
1. Kiongozi yoyote wa serikali au CCM akiongea hawezi kumaliza sentensi mbili bila kutaja jina lako.
2. Sasa hivi karibu miji yote mikubwa kuna mabango makubwa ya kukusifia. Bajeti yake...
Wasiwasi wa Wakenya wengi miaka miwili nyuma kuwa Serikali ya ya Tanzania Chini ya Rais, Samia Suluhu Hassan uenda ikapindua meza na kuwa TAIFA lenye Uchumi mkubwa dhidi ya Kenya kabla ya mwaka...
Nauliza tu kwa sababu sijaona mwarabu anafuturisha huku Watu wameketi kwenye chair and table
Lakini kwa Wabongo ni kawaida sana kukuta meza na viti vimeandaliwa na Mfuturishaji kwa ajili ya...
Fanya utafiti mdogo utagundua Wizara zilizotajwa na CAG kuongoza kwa Ufisadi Mawaziri wake ndio hawakuamimiwa kabisa na Shujaa Magufuli na wengine aliwatumbulia mbali
Ni hayo tu
Mlale unono!
Mwitikio umekuwa mkubwa sana ila sina Hakika kama wote watakaa hadi Magharibi
Mungu wa mbinguni wafanyie wepesi Chadema Ili lengo la Mkutano litimie hususani kuchambua Ripoti ya CAG
Mengi...
Deadline hiyo imetangazwa na Waziri wa Mazingira Suleimani Jafo.
Baada ya January 31, 2024 taasisi zote za Umma na Binafsi ni marufuku kupikia kwa kutumia mkaa na kuni.
Aidha Serikali imesema...
1. Bajeti ya serikali ni ya kula, kujilipa posho, kununua magari.
2. Upigani ndio story kubwa sinazo pigwa hata kwenye ofisi za wakubwa.
3. Hakuna mtu anamwogopa kiongozi
4.Hakuna miradi mipya...
Nauliza tu
Ratiba ya Mikutano ya hadhara ya Mbowe na Tundu Lisu ni kama imezilenga Ngome za ACT wazalendo
Lindi, Mtwara na Kigoma
Kwa ninavyowajua fitna za CCM na hasa kutokana na ACT kujifanya...
1)Mashirika 58 ya Umma hayajachangia chochote kwenye mfuko wa serikali kuu ikiwemo MAMLAKA YA HIFADHI na Shirika la Madini
2)Taasisi 97 zina madeni yasiolipika, Jumla Trilioni 3.58
3)Taasisi...
Rais Mstaafu Mzee Kikwete amewaomba Watanzania waendelee kuiombea Nchi iendelee kuwa tulivu na pia Rais Samia Suluhu Hassan aweze kutafuta Majibu ya Vikwazo vinavyowakabili.
========
RAIS...
UKAGUZI wa Ufanisi wa Mamlaka ya Nishati Vijijini (REA) uliofanywa na CAG umeimulika REA kuanzia mwaka 2015/2016 mpaka 2019/2020.
Ukaguzi umefanyika kwa maombi ya wafadhili; Shirika la Kimataifa...
Tusichoshane!
Since hakuna aliyepisha tangu kauli ya yule mama kuwa walioiba mboga jikoni wasepe.
Siyo siri tena wewe mama ndo utupishe, naamini huwa unapita hapa JF na unasoma baadhi ya nyuzi...