Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,262
- 18,711
Nilidhani ni Dar tuu, nimezunguka karibia mikoa yote, ni Mabango tuu ya Picha za Mama.
Kwa jinsi gharama zilivyo kuprint na kukodi space, nadhani gharama zake zinaweza jenga kituo cha afya maridadi kabisa..
Wengi wanauliza sababu ya kuweka mabango ni nini?
1.Je haaamini kwamba watanzania tunajua kazi ananzo fanya hadi atuwekee mabango.
2. Au ni kuwaambia wana ccm maendeleo yamefanyamika ili 2025 kusije tokea yasiyo tegemewa?
3. Au anajua hajafanya alivyo tarajia na anaona vingi havija fanyia, kwa hiyo walau maendeleo yaonekane kwenye mabango hata kama hayapo.
4. Serikali inafedha nyingi kiasi kwamba kero zote zimesha tatuliwa na kilicho baki ni kutumia fedha kwa jambo lolote.
5. Amegundua 2025 inaweza kuwa ngumu sana hasa ukizingatia mtangulizi wake alifanya mambo yakaonekana..
6. Labda anataka ampite jiwe kwa idadi kubwa ya maendeleo, maana kuna bango nimeona linasema mama kajenga vituo vya afya 1000, ambavyo hatujui vimejengwa wapi.. [emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu ibariki Tanzania..
Mawaziri wangu naona hili nalo mkalitazame kwa jicho la kipekee..[emoji4]