Michael Uledi
Senior Member
- Mar 29, 2023
- 132
- 322
Wasiwasi wa Wakenya wengi miaka miwili nyuma kuwa Serikali ya ya Tanzania Chini ya Rais, Samia Suluhu Hassan uenda ikapindua meza na kuwa TAIFA lenye Uchumi mkubwa dhidi ya Kenya kabla ya mwaka 2025.
Repoti ya Banki ya Dunia ya hivi karibuni inaonyesha Tanzania ndani ya miaka miwili imekuza GDP yake kwa USD 15 Bilioni na kufikia USD 85+ mwaka 2023 kutoka USD 69+ bilioni mwaka 2021.
Kenya inakadiliwa kuwa na GDP ya 117 USD bilioni mpaka mwaka 2023.Miradi mikubwa ya TanznIa chini ya Serikali ya awamu ya Sita inaifanya kuwa na uhakika wa kuifikia GDP ya Kenya kabla ya Mwaka 2025.
Mradi wa NLG pekee unatajwa kuja kuingiza Tsh Trilioni 16 kwa mwaka mmoja pekee,achilia SGR,Bwawa la Nyerere na Bomba la Mafuta ya Tanga -Hoima!
Pongezi nyingi kwa Rais Samia Suluhu Hassan,kazi kamba kwenye upotevu wa fedha za Umma utakuwa umemaliza mchezo kabisa!