Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 18,587
- 22,186
Kwa muda mrefu huyu rais anajitambulisha kuwa yupo kwa ajili ya kuukuza uisilamu, rais Mwinyi huko nyuma aliwahi kusema ataongea na rais wa Tanzania kuona jinsi serikali ya Zanzibar inavyoweza kuanzisha mfuko wa Hija kwa waisilamu!
Huenda ulianzishwa au la, hata hivyo hilo si jambo analotakiwa kulifanya rais wa nchi.
Rais Mwinyi anatumia muda mwingi wa serikali kufanya shughuri za dini ya kiisilamu jambo ambalo si sahihi kwenye nchi ambayo serikali haina dini, anawanyima haki ya kuwahudumia wasio waisilamu na bahati mbaya hata siku ya Jumapili inapoteza heshima yake kwa kupanga shughuli za kiisilamu zifanywe siku hiyo.