Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hivi karibuni mbunge Kessy ametoa wazo juu ya Mhe.Raisi apate kuongezewa muda wa kukaa madarakani. Na Mhe.Spika ameridhia na kusema JPM atake asitake ataongezewa muda. Kwa mujibu wa katiba yetu...
8 Reactions
101 Replies
8K Views
Mara kadhaa nimekuwa nikifuatilia Bunge hasa akiongoza Spika, Dk. Tulia kila jambo analosema Mbunge yeye anasema halijui afundishwe au aeleweshwe, mtakumbuka sakata la TRAB na TRAT aliuliza ndio...
8 Reactions
43 Replies
3K Views
RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2021/22, imebaini katika Mamlaka 19 za Seri kali za Mitaa, , wanafunzi 23,009 wamekatisha masomo yao shule za sekondari...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Spika Ndugai amesema... Hotuba hii ya Kambi Rasmi ya Upinzani imejaa makosa karibia kila ukurasa, ina matumizi mabaya sana ya jina la Mhe. Rais na kulituhumu Bunge la 11. Nadhani wangeshirikiana...
33 Reactions
215 Replies
32K Views
Mbunge wa Chadema mh Bulaya amesema nchi hii ina ufisadi kila kona kona hivyo Mwezi November Wakati wa kujadili Ripoti ya CAG watawasha moto bungeni Bulaya amesema Yeye na Mwenyekiti wake Halima...
0 Reactions
2 Replies
563 Views
Taifa kuchagua mnyama fulani kama Nembo ya Taifa kuna madhara yake! Taifa hilo litabeba kwa kiasi fulani tabia za huyo mnyama/ndege. Tanzania mnyama wetu ni Twiga, nimefuatilia baadhi ya tabia...
7 Reactions
45 Replies
4K Views
Mbunge wa Sengerema mh Tabasamu amesema Wananchi wangejua Bajeti anayotumia CAG kufanya Ukaguzi halafu ripoti yake inapigwa danadana Pasingekalika Tabasamu amesema kwa mfano CAG akija Sengerema...
9 Reactions
33 Replies
3K Views
Msekwa: Shibuda hamuwezi Kikwete Na Yusuph Katimba Majira 17 October 2009 MIZENGWE ya kurudisha nyuma juhudi za Mbunge wa Maswa, John Shibuda kutaka kukamilisha nia yake ya kumng'oa Rais...
2 Reactions
211 Replies
22K Views
Serikali katika Mwaka huu wa Fedha yaani 2022/23 imetoa vibali vya Ajira 30,000. Maelezo hayo yametolewa na Mh. Ridhiwani Kikwete, Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Kama kuna watu walikuwa wanasumbua CHADEMA katika mwonekano wa jamii ni John Shibuda. Huyu bwana alikuwa CCM akatoka na kuingia CHADEMA ili agombee ubunge na CHADEMA ikampitisha na kweli...
8 Reactions
48 Replies
6K Views
Mbunge wa Makambako, Deo Sanga amesema Rais Magufuli amefanya kazi kubwa katika nafasi yake ya Urais. Ametoa ombi la kuongezewa muda wa kubaki madarakani kama Rais ili mipango anayoendelea nayo...
15 Reactions
328 Replies
32K Views
Mwanza. Wahandisi 40 kutoka Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) wametembelea Daraja la Kigongo-Busisi jijini Mwanza kujifunza masuala mbalimbali ikiwemo teknolojia mpya. Teknolojia ya...
12 Reactions
56 Replies
8K Views
Narudia tena na tena hatutakuja kupata Marais wanaojua siasa, Uongozi na utawala Kama Rais Hayati Nyerere na mstaafu Kikwete. Nyerere pamoja na misukosuko yote ya vita ila alisimama na watanzania...
9 Reactions
52 Replies
4K Views
Wadau nawasalimu. Bunge letu limesema Sakata la Report ya CAG litajadiliwa November kupisha mjadala wa ushoga. Tukumbushane tu Sakata la Richmond, lingesubiri nalo November Mzee aliyejiuzulu...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Elimu ni mojawapo ya nguzo kuu za maendeleo ya taifa lolote lile. Kwa bahati mbaya, mfumo wa elimu wa Tanzania umekuwa ukiathiriwa na changamoto nyingi kwa muda mrefu sasa. Wengi wanaamini kuwa...
1 Reactions
2 Replies
619 Views
Vitu vichache vya kipekee vinajionyesha katika bajeti ya Tanzania iliyofanyiwa ukaguzi na CAG. Kwa mfano, kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania kwenye miaka ya hivi karibuni, mapato...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Haiwezekani kabisa CAG afanye kazi yake akabidhi wezi wa fedha zetu, alafu tuendelee kupanga bajeti nyingne, ili tuwape fursa wakaibe tena!!? Nawaomba wote wenye uzalendo wa kweli tuungane pamoja...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
468 WAFUTIWA UANACHAMA WA NHIF KWA UDANGANYIFU Na Mwandishi Wetu Katika kupambana na udanganyifu unaofanywa na wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wasio waaminifu jumla ya wanachama 468...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Miezi miwili inakatika haiujulikani waziri huyu mchapakazi yuko wapi? Kwenye matukio muimu kama bungeni haonekani, kuanguka kwa ghorofa kunakomhusu ukizingatia bodi zote za ERB, na AQRB ziko chini...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…