Katika quote maarufu za siasa Kuna hii ambayo inatabiri maendeleo ya nchi na watu wake.
Inasema "katika nchi ambayo utajiri wa haraka kabisa ni kuwa MWANASIASA kuliko kufanyabiashara, kulima, na...
Wadau nawasalimu,
Suala la kudai eti kuwapa bandari hawa Waarabu wa DP World ili wawekeze sidhani kama tutakwepa kuibiwa.
Ni aibu kwa Serikali yenye vyombo vya kupambana na wizi leo kudai eti...
Wakati tuko kwenye majadiliano ya kibiashara kuhakikisha tunamuwin DP World katika mkataba na taifa likapata faida katika mradi wa uwekezaji bandarini, Wanaibuka Watanzania wenzetu toka chombo cha...
Kama nia ni njema na hakuna janja janja rekebisheni vipengele vinavyolalamikiwa kazi iendelee.
Tusipotoshe kwamba kuna mtu anapiga huu uwekezaji na kuacha yale ya kweli yanayopigiwa kelele...
Mimi ni mtu wa kawaida sana. Kauli hii inaweza usiione ina impact kubwa
Inawezekana kabisa nisiione keshokutwa yangu, lakini nimejidhihirisha kuwa sauti yenye Mamlaka imeshatamka niliyoandika...
Beberu Marekani Ametoa Msaada wa Shilingi Tilioni 15 Nchini Tanzania Kwa miaka 20 iliyopita katika Mpango Mmoja tuu wa.kupambana na Magonjwa hasa Ukimwi na Kifua Kikuu na kuokoa maelfu ya maisha...
Mbunge wa Gairo Bilionea Ahmed Shabiby ameitaka Serikali kuchukua na kuyafanyia Kazi Mawazo ya Wananchi kuhusu Bandari
Shabiby amesema si kila anayeipinga Serikali na kuikosoa ni Mpinzani wengine...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amewakaribisha Mataifa mbalimbali kujifunza lugha ya kiswahili kupitia Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA) na Balozi za...
Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki kupitia chama Cha CUF, mhe.Mashaka Ngole ametoa msaada wa waya za umeme 2.5 bandle 2 jumla ya thamani 360000, sambamba na hilo mhe.mbunge ameahidi kuvuta na...
Mara nyingi zikifikia nyakati za.chaguzi, especially uchaguzi mkuu, viongozi wachunguzi hupenda kusoma hatua mbalimbali za sehemu mbalimbali duniani zilizofamikisha jamii hisika kufikia malengo ya...
Kwenye ukurasa wa Wikipedia unaotoa wasifu wa Rostam Aziz (Rostam Aziz - Wikipedia) unaonyesha moja ya sehemu za biashara na uwekezaji wake ni kwenye huduma za kibandari (port facilities and...
Kutoka kipindi akiwa kama mtunza kumbukumbu she learnt the importance of investing in the nation’s intelligence community pamoja namna ya kusimamia shughuli za utawala si mtu wa kukurupuka na...
Hatuwezi kwenda Makanisani au Misikitini kupambana na shetani asiyeonekana badala ya kupambana na shetani anayeonekana kwanza(DP World)
Nitoe wito kwa wanaohusika na mkataba huu wa DP World...
Mchungaji mashuhuri marehemu Myles Munroe aliwahi kusema hata siku moja usidhani mifumo tuliyo nayo duniani itatuzalishia viongozi, badala yake inatuzalishia wanasiasa.
Akaongeza kuwa ni mara...
Ujamaa ulishaenda na maji. Hili la Kujitegemea nalo tushindwe baada ya mika 60+ ya Kujijengea uwezo? Dhana ya kuacha kujitegemea wenyewe na mbadala wake ukiwa ni "kuendeshewa" biashara zetu kama...
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuondoa adha ya muda mrefu ya Vijana na Wananchi wa Muhambwe kukosa Chuo cha...
Wagwan.
Nchi karibia zote za Afrika Mashariki zinasoma bajeti zake kwa mwaka wa fedha unaonza Julai 1, 2023.
Katika bajeti ya Serikali ya Uganda iliyosomwa leo, serikali imekusudia kutumia zaidi...
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa mchungaji Msigwa amesema baadhi yao walimkosoa na Kumshauri Shujaa Magufuli bila kujali Dini Kabila au Ukanda kwa sababu Hoja hujibiwa kwa Hoja
Utetezi wa...
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema Serikali haijazuia kuuza mazao nje ya Nchi isipokuwa imezuia Watu kufanya biashaea bila kufuata utaratibu wa kisheria .
Bashe ametoa kauli hiyo June 21...