Ujamaa ulishaenda na maji. Hili la Kujitegemea nalo tushindwe baada ya miaka 60?

KoffiYardley

Senior Member
Dec 2, 2021
131
162
Ujamaa ulishaenda na maji. Hili la Kujitegemea nalo tushindwe baada ya mika 60+ ya Kujijengea uwezo? Dhana ya kuacha kujitegemea wenyewe na mbadala wake ukiwa ni "kuendeshewa" biashara zetu kama usafiri, bandari na huduma zingine kwa kisingizio chochote kile imesheheni tabia za kijangwani jangwani vile.

Uvivu wa kila aina na nadhani pia kufanyiwa kazi na wengine. TANU - chama cha kitaifa cha Waafrika kilidhamiria kufikia malengo ya kujitegemea ili pamoja na mengine suala la sovereignity yetu isiwe na ukakasi. Down the memory lane. We acha tu!
 
CCM ndio wa kulaumiwa kwa hali mbaya tulionayo miaka 60 baada ya uhuru. Kuna haja ya kuondokana na CCM mazima.
 
Back
Top Bottom