Hawa wametumwa na nani? Taifa tunamjua mshindani Mikataba ya Bandari?

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,271
Wakati tuko kwenye majadiliano ya kibiashara kuhakikisha tunamuwin DP World katika mkataba na taifa likapata faida katika mradi wa uwekezaji bandarini, Wanaibuka Watanzania wenzetu toka chombo cha habari Wasafi Media na akina Maulid Kitenge na wenzake wanalisaliti taifa na kuwa maafisa masoko wa Mshindani wetu Katika majadiliano ambae ni DP World.

Kwenye elimu ya Economy Intelligence hasa kwenye kipengele muhimu kinachoitwa "how to win enemies" basi mwarabu keshaipiga serikali. Kama taifa maana yake tunafeli kabla hata kwenda mezani kujadiliana kuhusu mkataba wa Bandari, Ili tushinde ilitakiwa timu ya Serikali ya Majadiliano inapokwenda mezani huku nyuma taifa liwe lipo kwenye shinikizo kubwa kuitaka serikali ikasinamie maslahi ya nchi, Hata mwarabu aone aibu asiweke ugumu katika vifungu vya mkataba unaojadiliwa.

Lakini mwarabu amefanikiwa kuvishika vibaraka wake ndani yetu, hivyo anakwenda mezani kujadiliana na serikali huku Media zote kubwa kazishika zinamuunga mkono dhidi ya mshindani wake ambae ni serikali.

Ndugu zanguni, Watu waelewe, Tunaoujua Ujasusi wa kiuchumi tunatambua hii sio vita ya silaha, wala sio siasa, Hii ni biashara ambayo lengo kuu ni kushinda faida kati ya Serikali ya Tanzania vs Dubai. Ni friendly sweetheart game.

Sijui kama ninaeleweka huko serikalini, Yaani serikali imepata mpinzani wa ndani ambae ni Kitenge na wenzake ambao wako upande wa DP world. Lakini kwakuwa Serikali iko nyuma haijui Ujasusi wa Kiuchumi unavyofanywa, itaona kama akina kitenge wanaunga mkono serikali, na akina Mbowe na Lissu wanapinga Maendeleo. Dubai wamewekeza Uingereza, hawakununua waandishi wa Uingereza ili wawe maafisa masoko wao, Walitumia media za kwao Arabuni kujibrand mbele ya Waingereza wakafanikiwa kupata mikataba, Dubai walipata mikataba Marekani, Hawakununua mwandishi yoyote Marekani awapambe mbele ya serikali ya Marekani ili wapate mikataba, Walitumia media zao za uarabuni wakapata mikata, Sasa hawa kina kitenge nini kimewasukuma kujipa hii kazi ya usaliti kwa taifa?

Kwanini wanaisaliti Serikali ya rais Samia inayojipanga kwenda kumshinda DP world katika Majadiliano na kupata faida katika mikataba?. Miafrika ndivyo tulivyo. Leo ukimuuliza Kitenge na Wenzake na hata kundi kubwa la Wabunge wa CCM pale Dodoma kama wamesoma na kuelewa huu mkataba wa Kiserikali Intergovernmental Agreement unaolalamikiwa na umma, nakuhakikisha hawajui chochote kabisabisa. Wanachojua ni neno uwekezaji tu. Lau wangepata nafasi wasomewe na kufafanulia kifungu kwa kifungu naamini hawangefanya hii kazi ya uafisa masoko wa Dubai wangeungana na serikali ya Rais Samia kuishauri ikaweke mguu vizuri katika Majadiliano ya HGA.

Uko upotoshaji kwamba wanaokosoa wanapinga uwekezaji, wako wanaopotosha kuwa wapinzani hawataki Maendeleo, wako wanaopotosha kuwa hatutaki kuruhusu wawekezaji Bandarini. Huo ni UONGO wa Serikali. Sisi kesi yetu ni moja tu ni INTERGOVERNMENTAL AGREEMENT iliyosainiwa na serikali ya Tanzania na Dubai. Hii ndio tunataka irekebishwe mapungufu kisha mengine yaendelee.

Kimsingi hakuna mtanzania yoyote anayepinga uwekezaji katika miradi ya nchi, Hoja iko kwenye aina ya mkataba wa Kiserikali uliosaniwa na Tanzania na Dubai (IGA). Watanzania wanataka uboreshwe. Hakuna mtanzania anayeipinga Dubai haijalishi ilipatikanaje, Hoja ni Mkataba uliosainiwa na serikali ya Tanzania na Dubai (Intergovernmental Agreement) tu. Tunakubaliana wazi kuwa DP World ni Kampuni kubwa duniani na ina sifa za kuwekeza Tanzania, Hatuhitaji mtu asafiri akatuonyeshe kuwa Kampuni ni kubwa au ndogo, kwamba mtendaji wa kampuni ni mcheshi au bandidu.

Mkataba uko hapahapa Tanzania Serikali, ukapelekwa bungeni na uko kwa umma, Chombo cha habari makini kingejikita kwenye uchambuzi wa mkabata huo tu, kingeanisha mapungufu, Kingefanya uchambuzi kwa kutafuta mikataba ya Intergovernmental Agreement ya kimataifa (iko Google mingi sana) na chombo hicho kingelinganisha na huu wetu kuona wapi tumepigwa au tumempiga mwarabu. Kusafiri kwenda kuwapamba Washindani wetu kimkataba huo ni usaliti, Kama ni kusafiri kutafuta Kampuni bora, walitakiwa kusafiri tangu 2021 wakati tunatafuta mwekezaji. Kwasasa tunamjua Dubai ndiomaana tumempa kazi. Nje ya hapo ni magenge ya wala rushwa sio Media analysis.

Kwamsiojua Intergovernmental Agreement tunaweza kuitafsiri kwamfano kwenye NCHI tungeita ni KATIBA YA NCHI,

Kisha Host Gorvanment Agreement au Mikataba ya Utekelezaji, tunaweza kuitafsiri kwamfano kwenye NCHI tungeita ni SHERIA ZA NCHI.

Sasa kwa mfano huo rahisi mtaelewa kuwa Katiba ya nchi ndio sheria mama, Hivyo ina nguvu kuliko sheria za kawaida.

Hivyo Intergovernmental Agreement inanguvu kuliko Mikataba ya Utekelezaji (Host Gorvanment Agreement). Tukikosea tukapitisha katiba/Intergovernmental Agreement mbovu, basi tutarajie Mikataba ya Utekelezaji mibovu zaidi, Kwakuwa Mikataba yote itakayosainiwa haitatoka nje ya yale yaliyomo kwenye Intergovernmental Agreement.

Tumshauri Mh Rais asisikilize makuwadi wa wafanyabishara wala wapambe wa kisiasa toka kwenye makundi ya kiharakati, chama chake na bungeni, asikilize umma unasema nini, Nakusisitiza Rais wangu Samia, kwa heshima na taadhima, vifungu vinavyolalamikiwa na umma katika hii IGA virekebishwe kabla ya makabidhiano na Dubai ili waanze majadiliano ya Mikataba ya Utekelezaji (Host Gorvanment Agreement). Kuurejesha Mkataba huu Bungeni ujadiliwe na kupitishwa tena sio udhaifu wa serikali bali ni usikivu na uimara wa serikali.

Endelea kujipatia Kitabu cha Ujasusi kwa 80,000 tu.

Lipia kwa 0715865544 au 0755865544 (Yericko Nyerere) kisha tuma majina yako na mahali ulipo.

Kwa Dar ni free delivery, Nje ya Dar nauli ni 8,000.

Na Yericko Nyerere

IMG-20230623-WA0118.jpg
 
View attachment 2666468
Hawa wangekuwa ni Waarabu wanasaliti nchi yao wasingekuwepo!!!

Ni heri hawakuzaliwa enzi za ukoloni. Wangetuuza
 
Kitenge, Zembwela, na Hando ni wanaharamu. Hawa wapuuzi watatu wamejilea kwenye akili za kitumwa, kujipendekeza, na kujiweka karibu na mamlaka siku zote ili wapate kula, matokeo yake akili zao sasa zimedumaa.

Zimedumaa kwa namna ambayo wanashindwa kutofautisha, ni jambo gani wawe na kiherehere nalo, na jambo lipi wawe makini nalo, kwa maslahi mapana ya Tanganyika. Matokeo yake sasa, wameamua kupigia debe jambo linaloutweza, kuudhalilisha, na kufifisha utu wa mtanganyika, wao wakiwemo!.

Wanajua kabisa kinachotugombanisha na waarabu ni zile terms za kwenye mkataba, wamepewa miaka mingapi? badala yake wao kwa utumwa wao kifikra, wameamua kwenda kutuonesha yalipo makao makuu ya kampuni ya wanyonyaji, kupiga picha furnitures za zilizopo kwenye ofisi za kampuni hiyo, na kuwahoji waajiriwa wa hiyo kampuni, mambo yasiyokuwa na maana kabisa.

Kwangu, wale ni n'gombe watatu wasiostahili kuikanyaga ardhi ya Tanganyika.
 
Wakati tuko kwenye majadiliano ya kibiashara kuhakikisha tunamuwin DP World katika mkataba na taifa likapata faida katika mradi wa uwekezaji bandarini, Wanaibuka Watanzania wenzetu toka chombo cha habari Wasafi Media na akina Maulid Kitenge na wenzake wanalisaliti taifa na kuwa maafisa masoko wa Mshindani wetu Katika majadiliano ambae ni DP World.

Kwenye elimu ya Economy Intelligence hasa kwenye kipengele muhimu kinachoitwa "how to win enemies" basi mwarabu keshaipiga serikali. Kama taifa maana yake tunafeli kabla hata kwenda mezani kujadiliana kuhusu mkataba wa Bandari, Ili tushinde ilitakiwa timu ya Serikali ya Majadiliano inapokwenda mezani huku nyuma taifa liwe lipo kwenye shinikizo kubwa kuitaka serikali ikasinamie maslahi ya nchi, Hata mwarabu aone aibu asiweke ugumu katika vifungu vya mkataba unaojadiliwa.

Lakini mwarabu amefanikiwa kuvishika vibaraka wake ndani yetu, hivyo anakwenda mezani kujadiliana na serikali huku Media zote kubwa kazishika zinamuunga mkono dhidi ya mshindani wake ambae ni serikali.

Ndugu zanguni, Watu waelewe, Tunaoujua Ujasusi wa kiuchumi tunatambua hii sio vita ya silaha, wala sio siasa, Hii ni biashara ambayo lengo kuu ni kushinda faida kati ya Serikali ya Tanzania vs Dubai. Ni friendly sweetheart game.

Sijui kama ninaeleweka huko serikalini, Yaani serikali imepata mpinzani wa ndani ambae ni Kitenge na wenzake ambao wako upande wa DP world. Lakini kwakuwa Serikali iko nyuma haijui Ujasusi wa Kiuchumi unavyofanywa, itaona kama akina kitenge wanaunga mkono serikali, na akina Mbowe na Lissu wanapinga Maendeleo. Dubai wamewekeza Uingereza, hawakununua waandishi wa Uingereza ili wawe maafisa masoko wao, Walitumia media za kwao Arabuni kujibrand mbele ya Waingereza wakafanikiwa kupata mikataba, Dubai walipata mikataba Marekani, Hawakununua mwandishi yoyote Marekani awapambe mbele ya serikali ya Marekani ili wapate mikataba, Walitumia media zao za uarabuni wakapata mikata, Sasa hawa kina kitenge nini kimewasukuma kujipa hii kazi ya usaliti kwa taifa?

Kwanini wanaisaliti Serikali ya rais Samia inayojipanga kwenda kumshinda DP world katika Majadiliano na kupata faida katika mikataba?. Miafrika ndivyo tulivyo. Leo ukimuuliza Kitenge na Wenzake na hata kundi kubwa la Wabunge wa CCM pale Dodoma kama wamesoma na kuelewa huu mkataba wa Kiserikali Intergovernmental Agreement unaolalamikiwa na umma, nakuhakikisha hawajui chochote kabisabisa. Wanachojua ni neno uwekezaji tu. Lau wangepata nafasi wasomewe na kufafanulia kifungu kwa kifungu naamini hawangefanya hii kazi ya uafisa masoko wa Dubai wangeungana na serikali ya Rais Samia kuishauri ikaweke mguu vizuri katika Majadiliano ya HGA.

Uko upotoshaji kwamba wanaokosoa wanapinga uwekezaji, wako wanaopotosha kuwa wapinzani hawataki Maendeleo, wako wanaopotosha kuwa hatutaki kuruhusu wawekezaji Bandarini. Huo ni UONGO wa Serikali. Sisi kesi yetu ni moja tu ni INTERGOVERNMENTAL AGREEMENT iliyosainiwa na serikali ya Tanzania na Dubai. Hii ndio tunataka irekebishwe mapungufu kisha mengine yaendelee.

Kimsingi hakuna mtanzania yoyote anayepinga uwekezaji katika miradi ya nchi, Hoja iko kwenye aina ya mkataba wa Kiserikali uliosaniwa na Tanzania na Dubai (IGA). Watanzania wanataka uboreshwe. Hakuna mtanzania anayeipinga Dubai haijalishi ilipatikanaje, Hoja ni Mkataba uliosainiwa na serikali ya Tanzania na Dubai (Intergovernmental Agreement) tu. Tunakubaliana wazi kuwa DP World ni Kampuni kubwa duniani na ina sifa za kuwekeza Tanzania, Hatuhitaji mtu asafiri akatuonyeshe kuwa Kampuni ni kubwa au ndogo, kwamba mtendaji wa kampuni ni mcheshi au bandidu.

Mkataba uko hapahapa Tanzania Serikali, ukapelekwa bungeni na uko kwa umma, Chombo cha habari makini kingejikita kwenye uchambuzi wa mkabata huo tu, kingeanisha mapungufu, Kingefanya uchambuzi kwa kutafuta mikataba ya Intergovernmental Agreement ya kimataifa (iko Google mingi sana) na chombo hicho kingelinganisha na huu wetu kuona wapi tumepigwa au tumempiga mwarabu. Kusafiri kwenda kuwapamba Washindani wetu kimkataba huo ni usaliti, Kama ni kusafiri kutafuta Kampuni bora, walitakiwa kusafiri tangu 2021 wakati tunatafuta mwekezaji. Kwasasa tunamjua Dubai ndiomaana tumempa kazi. Nje ya hapo ni magenge ya wala rushwa sio Media analysis.

Kwamsiojua Intergovernmental Agreement tunaweza kuitafsiri kwamfano kwenye NCHI tungeita ni KATIBA YA NCHI,

Kisha Host Gorvanment Agreement au Mikataba ya Utekelezaji, tunaweza kuitafsiri kwamfano kwenye NCHI tungeita ni SHERIA ZA NCHI.

Sasa kwa mfano huo rahisi mtaelewa kuwa Katiba ya nchi ndio sheria mama, Hivyo ina nguvu kuliko sheria za kawaida.

Hivyo Intergovernmental Agreement inanguvu kuliko Mikataba ya Utekelezaji (Host Gorvanment Agreement). Tukikosea tukapitisha katiba/Intergovernmental Agreement mbovu, basi tutarajie Mikataba ya Utekelezaji mibovu zaidi, Kwakuwa Mikataba yote itakayosainiwa haitatoka nje ya yale yaliyomo kwenye Intergovernmental Agreement.

Tumshauri Mh Rais asisikilize makuwadi wa wafanyabishara wala wapambe wa kisiasa toka kwenye makundi ya kiharakati, chama chake na bungeni, asikilize umma unasema nini, Nakusisitiza Rais wangu Samia, kwa heshima na taadhima, vifungu vinavyolalamikiwa na umma katika hii IGA virekebishwe kabla ya makabidhiano na Dubai ili waanze majadiliano ya Mikataba ya Utekelezaji (Host Gorvanment Agreement). Kuurejesha Mkataba huu Bungeni ujadiliwe na kupitishwa tena sio udhaifu wa serikali bali ni usikivu na uimara wa serikali.

Endelea kujipatia Kitabu cha Ujasusi kwa 80,000 tu.

Lipia kwa 0715865544 au 0755865544 (Yericko Nyerere) kisha tuma majina yako na mahali ulipo.

Kwa Dar ni free delivery, Nje ya Dar nauli ni 8,000.

Na Yericko Nyerere

View attachment 2666468
Vifungu vipi vya IGA vina shida?
 
Hizi Propaganda na vitimbi vinavyofanywa na hao watu vinaendelea kuthibitisha kwamba huo mkataba kuna watu unawanufaisha zaidi kuliko taifa letu.
 
Yani kitenge na wenzake nawafananisha machifu wa enzi za ukoloni,in short 90% ya wandishi wa habari wa nchini kwetu ni zero brain na wala hawajui majukumu yao kiueledi.
 
Huyo jamaa achapwe mboko kadhaa, abanwe pumbu kwa sekunde 60 halafu atupwe mtaroni, aokotwe na wasamaria wema
 
Back
Top Bottom