Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki, Mashaka Ngole atoa msaada Jimbo la wilaya ya wete PEMBA

Nov 28, 2019
7
14
IMG-20230623-WA0016.jpg
IMG-20230623-WA0013.jpg



Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki kupitia chama Cha CUF, mhe.Mashaka Ngole ametoa msaada wa waya za umeme 2.5 bandle 2 jumla ya thamani 360000, sambamba na hilo mhe.mbunge ameahidi kuvuta na kuunganisha umeme katika shule ya sekondari Makongeni jimbo la MTAMBWE wilaya ya WETE PEMBA, Pia atatoa desktop computer pamoja na uniform pea 10 kwa kila mwaka kwa wanafunzi wa shule ya msingi na sekondari katika shule ya I'm Makongeni.

#WakiliNgoleTumainiLaWanyonge.
 
Back
Top Bottom