Mchungaji Msigwa: Tulimkosoa na Kumshauri Magufuli bila kujali Dini, Kabila au Ukanda . Utetezi wa Udini Utanganyika na Uzanzibari ni Upuuzi mtupu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,108
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa mchungaji Msigwa amesema baadhi yao walimkosoa na Kumshauri Shujaa Magufuli bila kujali Dini Kabila au Ukanda kwa sababu Hoja hujibiwa kwa Hoja

Utetezi wa Udini Utanganyika na Uzanzibari ni Upuuzi mtupu, amesisitiza mchungaji Msigwa kupitia Ukurasa wake wa twitter.

IMG_7704.jpeg


Mlale Unono!
 
Yeye na nani walimkosoa Magufuli?
Pengo?
Dr Slaa?
Mwanakijiji?
Kitima?
Tibaijuka?
Lipumba?

Yeye na nani??
Mbona anatujumishia watu ambao walikuwa kiimya kama mabubu..
 
Yeye na nani walimkosoa Magufuli?
Pengo?
Dr Slaa?
Mwanakijiji?
Kitima?
Tibaijuka?
Lipumba?

Yeye na nani??
Mbona anatujumishia watu ambao walikuwa kiimya kama mabubu..
Askofu Severine Newemgizi - Katoliki
Askofu Benson Bang'oza - K.K.K.T
Askofu Frederick Shoo - K.K.K.T
Padri Raymond Saba - Katoliki
Godbless Lema - CHADEMA
John Heche - CHADEMA
Aloyce Nyanda - Star TV
Piter Kibatala - Wakili
Anna Henga - LHRC
Piter Magoti - LHRC

Haya tuje na wewe The Boss, Faiza Mbweha 'fox', The Under Taker, mbona hamkujitokeza kumpambania Magufuli kama mnamvyompambnia Samia
 
Angewataja sio wewe kumtajia ..
Sisi tunawashambulia wale wote waliokaa kimyaa wakati wa Magufuli..
Mtu kukaa kimia wakati wa Magufuli haimuondolei haki ya kusema sasa wakati wa Samia ama wakati yeye atakapojisikia kusema kwa sababu hakuna anaewalipa wawe wasemaji.

Kama yeye hakusema wewe ulisema?

Pili, hoja ni uuzwaji wa bandari kwa waarabu, hiyo ndio hoja ya msingi, kuwashambulia watu kisa hawakusema enzi za Magufuli ni kupoteza dira.
 
Nyie eaislam wana akili sana kutuzidi, hii nchi soon tutasilimishwa kwa nguvu. Kwa watu wanaofikiria in 3D tumeshaona.
Waislam huanza kujipenyeza kwenye madaraka, ili mambo yao yapenye kirahisi.
Kwa sasa wanaenda kushika njia kuu za uchumi kwa taifa letu
 
Askofu Severine Newemgizi - Katoliki
Askofu Benson Bang'oza - K.K.K.T
Askofu Frederick Shoo - K.K.K.T
Padri Raymond Saba - Katoliki
Godbless Lema - CHADEMA
John Heche - CHADEMA
Aloyce Nyanda - Star TV
Piter Kibatala - Wakili
Anna Henga - LHRC
Piter Magoti - LHRC

Haya tuje na wewe The Boss, Faiza Mbweha 'fox', The Under Taker, mbona hamkujitokeza kumpambania Magufuli kama mnamvyompambnia Samia
Hilo zee jinga sana.
 
Back
Top Bottom