Kasimba G
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 3,428
- 2,611
Mara nyingi zikifikia nyakati za.chaguzi, especially uchaguzi mkuu, viongozi wachunguzi hupenda kusoma hatua mbalimbali za sehemu mbalimbali duniani zilizofamikisha jamii hisika kufikia malengo ya maendeleo.
Viongozi wapembuzi huangalia sera nzuri na hatua mbalimbali nzuri za utekelezaji wa sera hizo nzuri hatimae kufikia maendeleo kusudiwa.
Nyakati za uchaguzi huwa tunaasikia sera nzuri, mfano kuzalisha ajira, kubuni ajira, kulinda viwanda, kutafuta masoko, kuongeza kipato cha mwananchi wa kawaida, kukuza biashara n.k.
Ikifikia wakati wa utekelezaji baada ya kutanganzwa' kushinda huwa mambo yanabuniwa upya, badala ya kuzarisha ajira huwa kuiangamiza mianya ya ajira au kuuwa ajira, badala ya kuongeza kipato huwa kufilisi raia, badala ya kutafuta masoko huwa kufunga masoko, badala ya kukuza biashara huwa kudidimiza biashara nk.
Agenda kuu za nchi za wenzetu ni kuhakokisha unachokisema unakifanya nadhani agenda yetu ni kuhakikisha inachokisema laazima ukipige chenga.
Viongozi wetu kumbukeni Dunia imekuwa kijiji hivyo badilikeni na wave ya ukijiji wa dunia itawasomba siku moja!