Mbunge Samizi amshukuru Rais Samia kufanikisha kuanza kwa ujenzi wa VETA Muhambwe

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
328
414
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuondoa adha ya muda mrefu ya Vijana na Wananchi wa Muhambwe kukosa Chuo cha Ufundi na hivyo kupata shida kupata mafunzo stadi hayo maeneo mengine.

FB_IMG_1687506807144.jpg


Katika kuhakikisha watu wetu hawaendi nje ya Jimbo letu kufuata masomo ya ufundi stadi- VETA, tuliamua kulisemea hili kwa Serikali yetu siikivu na hatimaye kilio chetu kimesikilizwa na ujenzi umeanza mara moja wa chuo hichi cha VETA hapa Jimboni kwetu Muhambwe.

FB_IMG_1687506805060.jpg


Tunaipongeza Serikali ya awamu ya sita chini yake Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali wana Muhambwe.

FB_IMG_1687506803069.jpg


#MuhambweKaziInaendelea
 
Back
Top Bottom