Shabiby: Mawazo ya Wananchi kuhusu Mkataba wa Bandari yaheshimiwe, Siyo kila anayeipinga Serikali ni Mpinzani wengine ni Wazalendo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,038

Mbunge wa Gairo Bilionea Ahmed Shabiby ameitaka Serikali kuchukua na kuyafanyia Kazi Mawazo ya Wananchi kuhusu Bandari

Shabiby amesema si kila anayeipinga Serikali na kuikosoa ni Mpinzani wengine ni Wazalendo waliotukuka

Source: Mwanzo TV

Jumaa kareem!
 
Mchakamchaka chinja aliselema alija! mkataba wa bandari 10% zitawatokea puani walizopiga wananchi hawapoi hawataki kiini macho cha kitu kinachoitwa mkataba wa bandari.
 
BB76B39E-5E56-42D8-8573-F683215D4E0C.png





FaizaFoxy
 
Alikiwa wapi kuyasema haya bungeni? Ndani ya bunge ukubali kuuza nchi, ukija Kidongo huku Bonde la Mpunga unajidai iko pamoja na sisi, huu ni unafiki na uzandiki namba moja
Tusimhukumu hapa. Kuna uwezekano hakupata nafasi ya kuchangia, Hakuwa na uelewa ameupata baada ya mjadala kukolea au alikuwa hajausoma kabisa kwani ulipelekwa kwa kuchelewa pengine.
 
Back
Top Bottom