Rais Samia: Bandarini ifungwe Mitambo kuzuia Unga ( Dawa za Kulevya)

Swali Watanzania wanaloliuliza amelipuuza kabisa siyo?

Angeweza kuchomekea nimesikia maoni yenu kuhusu uwekezaji bandarini. Tutayapitia kuyafanyia kazi na kurekebisha tulipokosea.
Mawazo yenu ni mfu hayalengi maendeleo Bali matumbo yenu. Rais anawajua sana na Yuko well informed kwamba Wala rushwa yaani wafanyakazi pale bandarini hawautaki huu mkataba mana utawamaliza mana rushwa zitakata kwa hiyo michepuko Yao waliyopa gisha itawakimbia
 
Rais Samia amesema maboresho yanayofanyika kule Bandarini yazingatie kufunga Mitambo ya kuzuia Unga ( Dawa za Kulevya)

Rais Samia amesema hayo katika maadhimisho ya kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani, jijini Arusha

Source: Ayo tv
Zanzibar majaazi yamejaa kubeba anachokisema huku anauza bandari,

Huyu mama hanaga aibu
 
Rais Samia amesema maboresho yanayofanyika kule Bandarini yazingatie kufunga Mitambo ya kuzuia Unga ( Dawa za Kulevya)

Rais Samia amesema hayo katika maadhimisho ya kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani, jijini Arusha

Source: Ayo tv
Eti nijifungie mtambo watu wanione nikiwa natafuna dem? Kamwe haiwezekan 🤣🤣🤣🤣
 
Rais anatoa kauli utafikiri mambo ya bandarini yeye hayamhusu kabisa. Ndiyo maana watu wanamkejeli kwa kusema 'Na hilo mkaliangalie'!
Rais hawezi kufikiria ujinga kama huu mnaouna nyie. Ameshasain inatosha nyie bakini mnapiga sarakasi tu anawachora mnavyolia kunyanganywa tongue mdomoni. Mana mlikuwa mnatunyanyasa sana mtaani kwa rushwa zenu hapo bandarini
 
Rais Samia amesema maboresho yanayofanyika kule Bandarini yazingatie kufunga Mitambo ya kuzuia Unga ( Dawa za Kulevya)

Rais Samia amesema hayo katika maadhimisho ya kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani, jijini Arusha

Source: Ayo tv
Maza nayo mambo ya bandari yanaanza kumpa kiwewe; bandari siku zote mbona kuna "mitambo" ya kila aina🤣
 
Back
Top Bottom