Dkt. Slaa: Rostam nilimrudisha akawa punje ya shanga Mwembeyanga. Ataka kutotolewa kwenye hoja ya Bandari

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,799
71,220
Wengi tulijua kitendo cha Rostam kumshambulia Dr Slaa personally badala ya kujibu hoja ya bandari ni mpango wa Mungu ili Dr apate sababu ya kufunguka zaidi.

Imekuwa hivyo, na sasa sio Rostam tuu anayejutia kwa nini alifanya vile bali hata Rais wetu na Serikali yake wanamtazama Rostam kwa jicho la hasira kwa kulianzisha.

Hebu tumsikilize Slaa.

==========

Dkt. Slaa amesema mtu pekee anayeweza kuzungumzia maadili yake wakati yuko kanisa katoliki ni askofu wa kanisa Katoliki na anajiuliza lini Rostam alikuwa askofu na kwanini anaibuka leo!

Rostam na Kagoda
Slaa amesema Rostam ni mmojawapo kwenye list yake ya list of shame aliyoiandika mwaka 1997 akiwa na kampuni yake ya Kagoda. Pia amedai Rostam alimsainisha Mkapa milioni 100 kwa ajili ya uchaguzi wa CCM wakati akiwa mweka hazina wa CCM.

Rostam kusain mikataba mbele ya Samia
Slaa amesema mwaka 2022 Rostam alisaini mkataba mbele ya Rais Samia New York Marekani, ametaka mikataba hiyo na malengo yake iwekwe hadharani. Slaa amesema wana sababu ya wao kuwa na mashaka kwanini miradi mikubwa inafichwa na taarifa haitolewi, Slaa amehoji kama Rais Samia nae kahongwa.

Royal Tour
Slaa pia amesema Royal Tour ni mradi unaotiliwa mashaka, Dkt Slaa amesema waliambiwa pesa za royal tour zilitoka kwa wafanyabiashara akiwemo Rostam Aziz. Slaa amesema mambo yanazungumzwa lakini hamna mtu anayetoka hadharani.

Maadili ya Rostam
Amemtaka Rostam ajiulize maadili yake wakati akiwa mweka hazina wa CCM jinsi alivyotumia vibaya fedha za watanzania kwa maslahi ya CCM na Slaa amesema asingependa kutolewa kwenye ajenda kuu ya bandari

Wengi tulijua kitendo cha Rostam kumshambulia Dr Slaa personally badala ya kujibu hoja ya bandari ni mpango wa Mungu ili Dr apate sababu ya kufunguka zaidi.
Imekuwa hivyo, na sasa sio Rostam tuu anayejutia kwa nini alifanya vile bali hata Rais wetu na serikali yake wanamtazama Rostam kwa jicho la hasira kwa kulianzisha.
Hebu tumsikilize Slaa.

Huu mjadala uko wapi
 
Mkuu Chakaza kwa uchache kasemaje tafadhali. Bando ndo tatizo kusikiliza siwezi.
 
Wengi tulijua kitendo cha Rostam kumshambulia Dr Slaa personally badala ya kujibu hoja ya bandari ni mpango wa Mungu ili Dr apate sababu ya kufunguka zaidi.
Imekuwa hivyo, na sasa sio Rostam tuu anayejutia kwa nini alifanya vile bali hata Rais wetu na serikali yake wanamtazama Rostam kwa jicho la hasira kwa kulianzisha.
Hebu tumsikilize Slaa.

Kimenuka!
 
Yaani hapa tunatengenezewa mapicha tu.
Mjadala wa katiba ndo ushazikwa hivyo.
Ni mwendo wa episodes mpaka 2025.
Bora Mwarabu atununue tu
 
Yaani hapa tunatengenezewa mapicha tu.
Mjadala wa katiba ndo ushazikwa hivyo.
Ni mwendo wa episodes mpaka 2025.
Bora Mwarabu atununue tu
Unawezaje kutenganisha mjadala wa Bandari au maandamano ya KARIAKOO na madai ya KATIBA mpya?

Au unaamini Katiba ipatikanayo na madai ya vyama vya siasa pekee?

In short, mijadala hii ndo KATIBA yenyewe ya wananchi inaandikwa Kwa Wino wa Dhahabu.

Ubarikiwe.
 
Back
Top Bottom