Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimeona picha za jengo jipya la Makao Makuu ya Chadema, jengo lililopo Mikocheni Dar Es Salaam. Jengo lenye facilities za kisasa kama kumbi za mikutano ya kisiasa, lakini lina afadhali kubwa...
21 Reactions
89 Replies
10K Views
Sina mengi, nawasalimu wote wana JF kupitia jina kuu kila mmoja kwa imani yake Kichwa tajwa chajieleza. Mimi sio mwanafamilia ya Mzee tajwa hapo juu, ila kwangu natambua ni Rais wangu mstaafu...
12 Reactions
89 Replies
8K Views
Nimesoma haya maelekezo na Maagizo ya PM. Nia ni nzuri ila Kulazimisha Wafanyabiashara kupitishia mafuta Tanga Bila Kuangalia sababu za Kwa nini hawapigishi huko sio sahihi.. Inaweza pelekea...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Aisee, kama yupo binadamu anayetoa povu la utetezi kwenye hilo la DPW basi ni Gerson! Unajiuliza, kwa nini anatumia nguvu namna ile? Ya nini jambo linaloonyesha hana japo theluthi ya uelewa kwalo...
11 Reactions
32 Replies
3K Views
Mode tafadhali msiunganishe bandiko hili ili makubaliano/mkataba (IGA) tuujadili kifungu kwa kifungu ikizingatiwa wahusika: Serikalini (Mwanasheria Mkuu na Wizara husika) na Bunge, wamekuwa...
0 Reactions
0 Replies
807 Views
BAADHI YA HOJA KUU ZINAZOHITAJI MAJIBU KWENYE MKATABA WA BANDARI NI HIZI HAPA 1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba,Je hakuna vitu...
0 Reactions
0 Replies
537 Views
Kila kona ya nchi Watanganyika kwa kutoa maoni wamejaa gadhabu,hasira na chuki dhidi ya viongozi wa serkali Hii ni dalili mbaya sana kwa nchi yetu haijawahi kufika huku Hili litazidisha kidonda...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Hii nchi haiishiwi vihoja kila siku ndiyo maana mikataba ya uwekezaji inatakiwa kusuluhishwa katika mahakama za nje ya nchi. Biashara ya mafuta ni Biashara huru, mfanyabiashara halazimishwi...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa Mazungumzo ya Msemaji Mkuu wa Serikali yanayoendelea Clubhouse Usiku huu, Julai 1, 2023, Gerson Msigwa akiwa na Msemaji Mwingine (Mwanasheria) anayefahamika kwa jina la Mohamed Salum...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau katika Gazeti la WAMACHINGA la Leo Julai 2 2023 Mh Waziri Mkuu akiwa TANGA amesema Wawekezaji tunawahitaji ili TUPATE KODI. Kwa kuwa Maeneo yetu TUMESHINDWA kukusanya KODI jambo ambalo ni...
0 Reactions
2 Replies
334 Views
Kwenye Mjadala wa Wazi wa Bandari Club House unaoendeshwa na chaneli ya Msemaji Mkuu wa Serikari sasa hivi mambo yamekuwa moto. Msigwa akipigwa swali gumu tu anamwambia aliyeuliza ajifunze kuwa...
7 Reactions
8 Replies
2K Views
kama kuna mtu ana taarifa za chama cha wachagga dodoma naomba anipe mawasiliano nao.natanguliza shukrani
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwanasheria mkuu wa serkali kaogopa mkate wake usimponyoke Ameamua kujibu kama Tundu lissu Sioni mkataba wa miaka 100 Hakuna mkataba usiovunjika Hakuna mkataba uliosaniwa Mwanasheria ameongea...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Matabaka na % ya sensa No 1 -Chama madarakani na marafiki 1% No 2-Watumishi serikalini, sekta binafsi wenye hadhi na 2% ushawishi wa fedha No 3-Wananchi wa kawaida 97% Hawa namba 1wanahodhi...
0 Reactions
0 Replies
904 Views
Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika amesema Mwaka 2006 DP World walimrubuni Rais George Bush wa Marekani ili waweze kuendesha Bandari za USA lakini Bunge likamkatalia Bush na DP World...
6 Reactions
13 Replies
2K Views
Bunge ndio sehemu ya wawakilishi wa wananchi, Serikali haiwezi kupokea maoni ya mtu mmoja mmoja kutoka nchi nzima kuhusu suala hili la Bandari. Kwenye kujadili mkataba, ni wajibu wa Mbunge kupata...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Katika Clubhouse inayoendelea kuhusu mjadala wa Bandari unaoongoza na Habari Maelezo, huku moderator akiwa ni Peter Msigwa, hali imekuwa tete baada ya Peter Madeleka kutaka kuuliza swali ambapo...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Mwanasheria Mohamed Salum amesema Zanzibar haijahusishwa kwenye Mkataba wa DP World kutokana na masuala mbalimbali ikiwemo ugumu wa utelekezaji wa suala hili upande huo. Salum amesema japokuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kaimu Mkenyenge ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa TASAC amesema Serikali imekuwa inawekeza fedha nyingi bandarini kila mwaka lakini faida inayopatikana ni ndogo. Amebainisha kuwa uchumi wa sasa wa...
0 Reactions
0 Replies
800 Views
Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema sio lazima kwa sasa kuwapekeka vijana nje kujifunza ujuzi unaohusu uendeshaji wa Bandari. Amesisitiza kuwa Unaweza kuwapeleka vijana huko, lakini...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom