Popote alipo namtafuta Mzee Jakaya Kikwete aweke neno kuhusu haya

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
5,979
6,784
Sina mengi, nawasalimu wote wana JF kupitia jina kuu kila mmoja kwa imani yake

Kichwa tajwa chajieleza.

Mimi sio mwanafamilia ya Mzee tajwa hapo juu, ila kwangu natambua ni Rais wangu mstaafu ambae ameliongoza taifa langu kwa miaka kumi

Ni mda sasa sijamsikia na ukimia umetawala ,na natambua bado tunaendelea kumtunza kama mstaafu wa urais chini ya kodi zangu na watz wengine kwa ujumla.

Nchi inapitia magum mengi , ikiwemo suala la BANDARI n.k ila sijamuona akiseema lolote na ndo mwanzo wa kuanzisha mada hii nakuamua mtafuta kupitia maswali yafatayo

1. Kama yuko Tanzania mbona simuoni hata kupitia vyanzo mbalimbali vya habari angalau zungumzia yanayoendelea nchini ikiwemo suala la BANDARI zetu n.k?

2. Ameamua kukaa kimya?

3. Anaumwa au anayo majukumu mazito kuliko yale ya Taifa lake kwa sasa?

4. Kama mzee muhimu wa taifa hili yanayoendelea yapo na baraka zake ndo maana hazungumzi lolote? Badala yake tunaona watu kama mzee Malicela na uzee wake anazungumzia mambo haya japo akiwa Waziri Mkuu alishindwa peleka hata barabara ya lami kwao MVUMI

Mwisho
 
Juzi, kupitia StarTv habari saa mbili usiku, alionwa na watanzania wote (maana hakuna mtanzania asiyeitizama star tv) katika kipindi cha michezo akiwa na JKT kama mgeni rasmi katika mashinsano yao flani waliyotafanya. Aisee kajipangeni tena, tena mjipange vizuri sababu huyo JK, kwa jinsi mnavyomsakama na kumuombea mabaya, ni dhahiri analindwa na Mungu.......mtaumia bure watanzania wenzangu!!!
 
Jakaya ni Mwanasiasa bobezi

hata wakati wake hakuwa anaongelea mambo yakiwa ya moto …anasubiri yamepoa then a achagua upande kwa busara sio kwa mihemko

wakati Waandishi wanamsubiri aongelee ya Escrow wakashangaa a anaongelea ya Tezi dume

sasa hivi yupo na Awesu ana ratibu Mkutano wa masuala ya maji Duniani

wakati wa Richmond akawa anaongelea ya Sinema ya Mapanki

Yule Mzee amekwepa mishale mingi sana kwa style hii

la Mkataba atakuja tu kuliongelea baadae sana kama vile alivyoongelea la Babu wa Loliondo wakati wa Katiba mpya
 
1. Je unafamu umri wa shetani?
2. Ni kweli startv inatazamwa na Watanzania wote?
 
Sina mengi ,nawasalimu wote wana jf kupitia jina kuu kila mmoja kwa imani yake

Kichwa tajwa chajieleza.

Mimi sio mwanafamilia ya Mzee tajwa hapo juu, ila kwangu natambua ni Rais wangu mstaafu ambae ameliongoza taifa langu kwa miaka kumi ,
Ni mda sasa sijamsikia na ukimia umetawala ,na natambua bado tunaendelea kumtunza kama mstaafu wa urais chini ya kodi zangu na watz wengine kwa ujumla.

Nchi inapitia magum mengi , ikiwemo swala la BANDARI n.k ila sijamuona akiseema lolote na ndo mwanzo wa kuanzisha mada hii nakuamua mtafuta kupitia maswali yafatayo

1.Yuko tz au Dubai
2. Kama yuko tz mbona simuhoni hata kupitia vyanzo mbalimbali vya habari angalau zungumzia yanayoendelea nchini ikiwemo swala la BANDARI zetu n.k?

3.Ameamua kaa kimia kwa maana mimi na watanganyika wenzangu ni mazwazwa?
4. Anaumwa au anayo majukum mazito kuliko yale ya Taifa lake kwa sasa
5. Kama mzee muhim wa taifa hili yanayo endelea yapo na baraka zake ndo maana hazungumzi lolote? Badala yake tunaona watu kama mzee Malichela na uzee wake zungumzia mambo haya hapo akiwa Waziri mkuu alishindwa peleka hata barabara ya lami kwao MVUMI

Mwisho
Tafadhali sana yeyote aliekaribu naye mwambie namtafuta vingenevyo nitaenda police kufungua jalada la kupotelewa na Mzee Kikwete ( Rais mtaafu wa JMT)
Endelea kujifunza.....

Ulimuona wapi mh.Rais Kikwete akijitokeza kuongelea ule mkataba wetu wa serikali ya awamu ya 5 na YERPI MERKEZ kutoka uturuki kwa ajili ya ujenzi wa SGR?!!!

Ulimuona wapi mh.Rais Kikwete akijitokeza kuongelea ule mkataba wa serikali ya awamu ya 5 na ARAB CONTRACTORS kutoka Misri kwa ajili ya ujenzi wa BWAWA la kufua umeme pale Rufiji?!!!!

TUWEKE KUMBUKUMBU

Karibu Al Kasus hapa Chokocho
 
Mnataka watu watoe maoni yao kuhusu bandari ila hamuheshimu uhuru wa maoni wa watu wengine,

Hapo akitoa maoni yake ambayo hayakufurahishi wewe bila shaka utafungua uzi mwingine hapa wakumsema vibaya,

Jifunzeni kwanza kuheshimu uhuru wa maoni wa watu wengine hata kama hayo maoni hayakupendezi au hayakuja kama ulivyo tarajia wewe.
 
Jakaya ni Mwanasiasa bobezi

hata wakati wake hakuwa anaongelea mambo yakiwa ya moto …anasubiri yamepoa then a achagua upande kwa busara sio kwa mihemko

wakati Waandishi wanamsubiri aongelee ya Escrow wakashangaa a anaongelea ya Tezi dume

sasa hivi yupo na Awesu ana ratibu Mkutano wa masuala ya maji Duniani

wakati wa Richmond akawa anaongelea ya Sinema ya Mapanki

Yule Mzee amekwepa mishale mingi sana kwa style hii

la Mkataba atakuja tu kuliongelea baadae sana kama vile alivyoongelea la Babu wa Loliondo wakati wa Katiba mpya
 
Unamtukana nani sasa , mimi namtafuta mtumishi wangu ambae alinitumikia kwa miaka kumi ,kama Rais mstaafu, then unasema stupidi ?
Bila kujali anafamilia yake ,ni haki yangu kujua yuko wapi asipojotokeza nitafungua jalada police, nataka kumuona
Unakomalia visivyo na maana.
Mbona kajaa tele pale Msoga!

Kwani hapo Msoga ni mbali kiasi kwamba huwezi kwenda kujihakikishia mwenyewe?
 
1687900357487.jpg
 
Juzi, kupitia StarTv habari saa mbili usiku, alionwa na watanzania wote (maana hakuna mtanzania asiyeitizama star tv) katika kipindi cha michezo akiwa na JKT kama mgeni rasmi katika mashinsano yao flani waliyotafanya. Aisee kajipangeni tena, tena mjipange vizuri sababu huyo JK, kwa jinsi mnavyomsakama na kumuombea mabaya, ni dhahiri analindwa na Mungu.......mtaumia bure watanzania wenzangu!!!
Mbona unajibu kwa jaziba, mzee anao uwezo kuitisha press, sasa namtafuta, ya startv wapi na wapi , yule kwangu Rais wangu mstaafu na ni lazima jua maendeleo yake , na ya kitaifa juu yake full stop
 
Back
Top Bottom