Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kati ya mataifa yaliyofanikiwa sana kwa kipindi kifupi ni Singapore. Mwaka 1961, wakati tunapata uhuru, Singapore, Malaysia na Thailand, tulikuwa kwenye kiwango kinachofanana cha umaskini. Lengo...
42 Reactions
91 Replies
5K Views
Juzi nililipa kwa dola. Dola ilikuw Tsh 2324. Shilingi ilikuwa imepanda sana. Nikasema safi. Leo nashangaa Dola ni 2345. Sidhani kama shilingi yetu imewahi kushuka namna hii. Pia mbona Ksh nayo...
5 Reactions
88 Replies
5K Views
1. Ni Nini tunaposema custom union? 2. Ni nini tunaposema monetary union 3. Common market je? 4. Federation je?
0 Reactions
0 Replies
396 Views
Ni vigumu wito wa kiongozi wa chama kutenganishwa na chama: Ingekuwa vyema tukapeana uthibitisho ili japo kujua tunaposimama. "Ikumbukwe kodi za kufikia nusu ya kwanza ya mwaka huu zilikwisha...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Luhaga Mpina ameamua kujivua gamba. Inawezekana ni kwakuwa yupo nje ya 18 za upigaji maana alipokuwa waziri sikuwahi kumsikia akiwa na akili kiasi hiki. Anashangaa hadi leo hii kumuona Mwigulu...
10 Reactions
156 Replies
5K Views
Sina haja ya kuwataja Mawaziri hao kwa sababu ukiisoma kwa Makini Ripoti ya CAG utawatambua tu. Wengi wanalidharau hili Bunge na kudai halina maajabu lakin nawahakikishieni linaenda kuwastaafisha...
12 Reactions
129 Replies
7K Views
Nashindwa na kuchoka kuelewa lengo la mleta taarifa.Lengo ni nini?
0 Reactions
22 Replies
2K Views
UVCCM ni umoja uliowekwa na kulelewa katika misingi ya kuimba mapambio ya kusifu na kutukuza watawala hata pale pasipo stahili sifa. ACHENI. Anaandika Almaliki Mokiwa. Tuweke mkazo katika...
4 Reactions
3 Replies
931 Views
Mbunge wa Viti Maalum, Ngw'asi Kamani amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali vijana na kuondoa malipo ya kodi ya mwaka mmoja wanapoanza biashara. Akichangia bungeni Aprili 11, 2023...
0 Reactions
2 Replies
493 Views
Nimeshangaa utitiri wa matangazo ya iftal huko bungeni Dodoma kwa sasa! Na ndio maana nikaanza kufikiria na kutafakari kinachoendelea hukohuko Bungeni kwa sasa! Kuhusiana na ripoti ya CAG...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Ni wazi kwamba ndege ya ATCL inayokwenda Chato huwa inaenda tupu, bila abiria Abiria pekee ni mama Janeth Magufuli na watoto wake au Kalemani. Nashauri ruti hii ifutwe kwa maslahi ya taifa.
13 Reactions
60 Replies
4K Views
Kiukweli pamoja na kazi nzuri anazofanya Mh Rais Dr Samia Suluhu Hassan pamoja na watumishi wema na wanaomshauri vizuri juu ya ustawi wa Taida letu la Tamzania ni vizuri tuliangalie na hili...
2 Reactions
14 Replies
815 Views
Huyu mtu anatajwa katika Kila jambo la upigaji, ukiona unataka kumuachia Baraba, tupe Dotto James. Hii kisiasa itaonyesha Nia yako ya dhati ya kupambana na ufisadi, na wananchi watakuwa wamekuwa...
11 Reactions
61 Replies
5K Views
Kwa ujumla Rais wa Urusi Vladmir Putin,amewashika pabaya na kuzidi kuwaweka njia Panda, USA na washirika wake wa NATO baada ya kuzisamehe ghafla nchi za kiafrika,madeni yaliyokuwa na thamani ya...
13 Reactions
115 Replies
6K Views
Katika hili niseme Asante Rais, umeonyesha unavyozimudu siasa za nera na mdundiko wa vita vya medani. Nakumbuka nafasi ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madola iligombewa na Bernard Membe enzi za...
9 Reactions
20 Replies
2K Views
Ni mtu mjinga tu ndio atakubaliana na Kibajaj kwamba Ripoti ya CAG isijadiliwe bungeni hadi mwakani Mikutano ya hadhara imeruhusiwa na Ripoti itachambuliwa na Bunge la Wananchi huku mtaani na...
12 Reactions
20 Replies
2K Views
Hawa matapeli wa kopa faster ni hujuma au mpo nao na maisha nao? Je, nikitengo ndani ya jeshi la polisi? Kama sio je mnawafahamu? Mliwahi kuwasikia? Nimeuliza kwa kuwa licha ya Watanzania kulia...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwanza nilidhani ni wale manabii uchwara ila nikaangalia kwa ukaribu nikagundua ni lijamaa limoja lenye pesa na kitambi kinapita juu ya matumbo ya kinamama wenye waume zao na watoto. Sio kosa...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Fuatilia yanayojiri Bungeni leo Aprili 11 kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 4. ======= Mbunge alalamikia kuitwa watu wengi kwenye usaili wa ajira Mbunge vijana, Ng'wasi Kamani amesema...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
MPINA AMEAMUA KUWA MZABIBU MWITU AU AMEFIKA BEI KWA MAFISADI? Niko kwenye mfungo wa mwezi mkukufu wa Ramadhani, wakati alasiri inayoyoma kuelekea magharibi nimeketi kwenye uwa wangu nikisikiliza...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Back
Top Bottom