Hongereni CHADEMA kwa kupata ofisi mpya

Hongereni CHADEMA kwa kupata ofisi mpya

denooJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2020
Posts
18,487
Reaction score
68,281
Nimeona picha za jengo jipya la Makao Makuu ya Chadema, jengo lililopo Mikocheni Dar Es Salaam.

Jengo lenye facilities za kisasa kama kumbi za mikutano ya kisiasa, lakini lina afadhali kubwa inayoendana na ukubwa wa chama, ukilinganisha na lile lililoko pale Ufipa Street.

Hapa ndipo panatakiwa kuwa center ya kuanzisha mashambulizi, ili kuhakikisha bandari zetu zote zilizotolewa bure kwa mwarabu milele, zinarudishwa kwenye mikono yetu watanaganyika.

Nawakaribisha johnthebaptist na wenzako siku ya ufunguzi wa jengo hilo itakayokuwa mwezi huu, msiache kuja na simu zenu zikiwa zimejaa chaji ya kutosha ili mjipigie picha nyingi muwezavyo muende nazo nyumbani.

Karibuni sana.
Fz7DfhGWIAAvKmn.jpg

Pia soma: CHADEMA yakataa Unyonge, sasa kuhamia kwenye Makao Makuu mapya
 
Karibuni sana.View attachment 2674717
SUBIRI WACHAWI waje kutoka Lumumba wauza bandari yetu
 
Jengo la kukodi halina maana yoyote. Chama kina zaidi ya miaka thelathini bado kimeshimdwa kumiliki jengo la ofisi
 
Mungu ibariki CHADEMA [emoji1545][emoji419][emoji375]
FIMZYQMWQAQ3XG7.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jengo la kukodi halina maana yoyote. Chama kina zaidi ya miaka thelathini bado kimeshimdwa kumiliki jengo la ofisi
Ujenzi una hatua zake, ziache ziendelee.

Ukisema jengo la kukodi halina maana yoyote, maana yake unataka wakati huu wakafanyie shughuli zao chini ya mwembe!.

Ujima at work.
 
Nimeona picha za jengo jipya la Makao Makuu ya Chadema, jengo lililopo Mikocheni Dar Es Salaam.

Jengo lenye facilities za kisasa kama kumbi za mikutano ya kisiasa, lakini lina afadhali kubwa inayoendana na ukubwa wa chama, ukilinganisha na lile lililoko pale Ufipa Street.

Hapa ndipo panatakiwa kuwa center ya kuanzisha mashambulizi, ili kuhakikisha bandari zetu zote zilizotolewa bure kwa mwarabu milele, zinarudishwa kwenye mikono yetu watanaganyika.

Nawakaribisha johnthebaptist na wenzako siku ya ufunguzi wa jengo hilo itakayokuwa mwezi huu, msiache kuja na simu zenu zikiwa zimejaa chaji ya kutosha ili mjipigie picha nyingi muwezavyo muende nazo nyumbani.

Karibuni sana.View attachment 2674717

Pia soma: CHADEMA yakataa Unyonge, sasa kuhamia kwenye Makao Makuu mapya
ACT watakuwa na Agenda gani sasa na tunaelekea kwenye Uchaguzi?Agenda yao Kuu ilikuwa CHADEMA hawana Ofisi huu muda uliobaki utawatosha kweli kutafuta Agenda Mpya kuu ya kuwachanganya Wananchi?
 
Back
Top Bottom