Serkali haitashinda hii dhuluma ya kuuza TANGANYIKA

uwe hodari

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
4,041
Reaction score
8,644
Kila kona ya nchi Watanganyika kwa kutoa maoni wamejaa gadhabu,hasira na chuki dhidi ya viongozi wa serkali

Hii ni dalili mbaya sana kwa nchi yetu haijawahi kufika huku

Hili litazidisha kidonda na Sugu kwa watanganyika

Serkali kuhusu hili hamtashinda hata mkitumia ubabe
History ni mwalimu mzuri hili hamtashinda

Mtawatumia watu maarfu kutetea hili jambo lkn wananchi wamekataa..

Kaeni chini mtafakari na kuondoa huu mkataba TANGANYIKA

Nawasihi sana ondoeni huu mkataba la hamtapata usingizi hata km mmejaziwa mabilion benk
 
Kilichopo watanganyika muingie barabarani,sizani kama polisi wa Tanganyika watakubali kja kuwapigeni mabomu
 
Inashangaza viongozi wanatetea mwekezaji badala ya kulinda mipaka ya nchi kama viapo vyao vinavyosema.

Kwa faida ya nani??
 
Watanganyika ndio watu gani ?
 
Kila kona ya nchi Watanganyika kwa kutoa maoni wamejaa gadhabu,hasira na chuki dhidi ya viongozi wa serkali

Hii ni dalili mbaya sana kwa nchi yetu haijawahi kufika huku

Hili litazidisha kidonda na Sugu kwa watanganyika

Serkali kuhusu hili hamtashinda hata mkitumia ubabe
History ni mwalimu mzuri hili hamtashinda

Mtawatumia watu maarfu kutetea hili jambo lkn wananchi wamekataa..

Kaeni chini mtafakari na kuondoa huu mkataba TANGANYIKA

Nawasihi sana ondoeni huu mkataba la hamtapata usingizi hata km mmejaziwa mabilion benk
Mnadanganyana twitter
 
Back
Top Bottom