Spika anakataliwa kila kona kisa kugomea report ya CAG kujadiliwa katika vikao vya bajeti vinavyoendelea sasa na kusema watajadili mwezi November leo asubuhi amebadili gia angani na kurejesha...
Kuna mazingira wananchi wametengenezewa na CCM kuwalazimu wao kusifia tu kusifia tu hata kama yeye na ukoo wao wote ni masikini wa kutupwa na hawana mbele wala nyuma
CCM, yenyewe imejitengenezea...
Mkuu wa wilaya ya Rungwe Mhe Jaffar Haniu amefanya ziara katika kata ya Ikuti na kukagua miradi ya maendeleo pamoja na kuzungumza na wakazi wa kata hiyo.
Akikagua ujenzi wa shule mpya ya msingi...
Yaani CAG anagundua makosa ya budget ya 2020-2021 halafu anaitoa 2022 lakini wakubwa wanaipeleka mbele katikati ya budget ya 2023-2024. Hivyo matatitizo ambayo yamegunduliwa yanaweza yakawa...
Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Janejelly James ameishauri Serikali kuandaa eneo maalumu la viongozi kupumzika baada ya kazi akidai kuwa hivi sasa hali imebadilika kwa kuwa viongozi wameondolewa...
hechejohn
Hivi ccm huwa inatoa wapi wabunge wajinga wa kiwango hiki!!!!! Imagine huyu ni kijana, kwasababu ya mshahara mkubwa na Posho hajui jinsi maisha yalivyo magumu kwa watu..
Bado anataka...
Kwa kweli hatuna budi kumshukuru sana Mungu kwa ajiri ya Rais wetu kuweka mkazo katika kutoa ajira kwa vijana wetu waliomaliza vyuo.
Japo hitaji bado ni kubwa sana lakini hatuna budi kumpongeza...
Wadau ukweli toka CHADEMA na CCM wawe kwenye MARIDHIANO na CCM lile WIMBI la KUDAI KATIBA MPYA LIMEPUNGUA SANA na hata MCHAKATO ulioelezwa na WAZIRI wa SHERIA na KATIBA haujaanza. Pia Mh.RAIS...
Huu ni ushauri kwa Vijana wote wa Taifa Hili bila kujali itikadi za vyama vya siasa
Andaeni kijana mwenzenu kwa ajili ya Urais wa JMT 2030 kama kweli mnataka mabadiliko
Hawa akina Dr...
Nimeona agenda ya kuftarisha imepamba Moto kila Kona huku majina ya viongozi yakitumika....kila kiongozi akiftarisha anamtaja mwenye nchi unajiuliza hizi fedha wametoa wapi? Je NI kweli wametumwa...
Ripoti ya CAG imeshazimwa, kelele zimeisha tunasubiri ripoti ijayo tuone tumeibiwa kiasi gani tena. That's how life goes in Tanzania. Maisha ya vimemo nakujuana.
Lakini haya kwanini yanatokea...
Kama kichwa Cha habari kinavyosema,...ntawashangaa Sana wafanyakazi watakaowapigia kura hawa viongozi wanaoendelea kuwakandamiza kwa kupigia debe ulipaji kwa njia ya kikotoo ambAcho Ni kandamizi...
Kwenye nchi ya watu makini, haiwezi kuruhusu kuwa na aina ya sipika kama huyu! Sipika asiye na uchungu wa mali za nchi na kodi zetu???
Ukisikia mtu haipendi nchi na watu wake na hafai kuaminiwa...
Katika wimbo wake mpya, Mwanamuziki Roma Mkatoliki amekilinganisha Chama Cha Mapinduzi na Maandazi na kudai ikiwa atatakiwa kuchagua, atachagua Maandazi badala ya CCM. Siyo lengo kumjadili Roma...
"Ni aibu mbunge anaposimama bungeni na kushangaa..eti ni kwa nini hakuna hata waziri wetu mmoja anayemiliki hata ndege moja nchini?" Je, kwa pato lipi kama sio kuusifia wizi,ufisafi na ubadhirifu...
Sasa tunao walamba asali, walamba shubiri, walala hoi na pia mafisadi papa na machawa wao! Mnajitoa akili sababu ya shibe haramu, mnasifia mlipostahili kukemea! Wabunge mmegeuka "wabonge". Mbunge...
Nadhani kuna ukimya umetawala Kwa Sababu Tu wanaoongoza nchi wote wanatoka sehemu moja. Nafurahi kuona upo ufanisi na mabadiliko makubwa yaliyofanywa na Marais wawili waliopo. Changamoto...
Sijawahi kupiga ramli wala si mtabiri ila kwa yanayoendelea nchini na kwa manung'uniko ya wananchi kila mahala ,si ajabu hiki chama kiko mbioni kuvifuata vyama vyenzake vya ukombozi huko mahala...
Mtu anayetenda Wizi au Ubadhirifu hiyo ni Jinai na Wanaohusika nao ni DCI, DPP na Takukuru
Bungeni yanafanyika maamuzi ya kisiasa na kisera, swala la nani ashtakiwe kwa mujibu wa sheria ni la...
Leo nimesoma habari ya Uteuzi wa Naibu Gavana Dk. Natu, najua alikua kwy bodi ya BOT kwa kipindi kirefu na ni mwadhiri katika Chuo chetu kikuu, but akiwa kama mjumbe wa bodi ya BOT kwa kipindi...