Viongozi msipoikemea au kuishauri Zanzibar itamomonyoka na kujitangazia Uhuru wake

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
914
4,258
Nadhani kuna ukimya umetawala Kwa Sababu Tu wanaoongoza nchi wote wanatoka sehemu moja. Nafurahi kuona upo ufanisi na mabadiliko makubwa yaliyofanywa na Marais wawili waliopo. Changamoto ninayoiona Kwa sasa Zanzibar inajiendesha kama nchi inayojitegemea ; NI Jambo zuri ila liwekwe kwenye maandishi.

Nimemsikia Balozi Karume, lakini pia upo mnongono mkubwa kwamba sekta zote zinaongozwa na watu wenye uraia Pacha. Nafurahi kama mwana diaspora kuona kama tunapewa nafasi sasa yakutenda Ila Kwa uzalendo mkubwa Naona kama tunasababisha mpasuko mkubwa ndani ya Zanzibar.

Tanzania inapinga uraia Pacha kikatiba na kisheria na sheria za nchi zipo wazi kuhusu raia WA Kigeni kufanya kazi nchini. Nadhani tumekiuka katiba nakuaua sasa Zanzibar iwe na uraia Pacha. Kuguswa uraia Bila kubadili msingi ya katiba nikufungua milango kuasi ndani ya nchi.

Eneo la pili NI ubaguzi WA maslahi; malipo wanayolipwa diaspora waliopewa teuzi ni karibia mara Kumi yamalipo wanayolipwa watumishi wazawa na waliokulia kwenye mfumo wa utumishi WA umma. Hii ina athari kubwa Sana katika Taifa. Kwamba Leo matajiri wanarejesha watoto wao wanaoishi vizuri nje kuja kuwaongoza watumishi wazalendo waliokulia kwenye sekta ya nakufanya KAZI katika mazingira magumu miaka Tele....this is not fear. Tusiwadharau Watanzania waliopo Tanzania Kwa elimu zao na Hali zao zakuheshimu misingi ya nchi.

Waliorejeshwa kupata uteuzi NI watu wasio na uwezo wa kudeliver kabisa. Wanarudi Tu Kwa Sababu kuna connection; mnaweza mkadhani mnaijenga nchi lakini hakuna nchi umewahi kuendelea Kwa viongozi kuwadharau raia wake wala kuwabagua kiajira au kikanda au kindugu. Tulitazame upya.

Lakini pia IPO athari kubwa ya kukodisha visiwa.....hakuna mtawala WA kid mokrasia anazidisha miaka Kumi ofisini means busara ya kawaida inamtuma kiongozi aliyetumwa na watu kuwauliza watu kabla ya kuuza au kumikilisha ardhi Yao.

Upo uwezekano wakukodisha uwanja wa ndege, nadhani tumeiona mara nyingi ikiandikwa kwenye mitandao. Hivi Leo tukikodisha uwanja ambao NI lango la kisiwa hiki Zanzibar inabaki na rasilimali gani? Tumeona ubinafssishaji kwenye sekta zote ulivyofeli Tanzania ; Leo tunataka kukodisha lango la uchumi wa nchi for what. Kwanini tusikubali tukabaki na umaskini wetu Ila tukawa na Uhuru?

Katika kukabidhi uwanja nasikia hata visa pia tunataka zitolewe na wageni kwamba sisi ngozi nyeusi tumefika mahali tunaamini hata kutoa visa tunapaswa kuajiri wageni; are we serious? Tatizo kubwa la ajira tulilonalo tunakosa watumishi mahiri wakuweka kwenye sekta kuliko kuwaza kubinafsisha kila kitu?

Sekta ya utalii nayo inanyemelewa na kuhodhiwa nawageni; kama viongozi wanawaona Watanzania hakunatinachokiweza ndo watuuze. It's true tuna jamii ambayo siyo active lakini tunaamini tukiwafanya watumwa ndo tumewakomboa?

Niwaambie viongozi waandamizi WA Taifa letu; tokeni ndani mkalipambanie Taifa. Jaribuni kukanya na kushauri viongozi. Naamini mnayo Nia njema yakwenda mbele lakini mnapita njia isiyo sahihi.

KAMA MNAAMINI WATANZANIA WANAPASWA KUTAWALIWA SIYO KUONGOZWA BASI MTAKUWA MNALIAUZA TAIFA. NIA YENU NJEMA IPELEKENI KWA WANANCHI MDIJIAMILIE MAMBO KAMA VILE MTAISHI MILELE.

KWA STORI ZILIZOPO HUKU FALME ZA KIARABU ITS LIKE WATU WANAWAZA WAWE WATANZANIA, WAMILIKI MALANGO YAKUINGIA TANZANIA, WAREJESHE ARDHI YA WAZAZI WAO, WAMILIKI UWEZO WA KUAMUA NANI AINGIE NANI ASIINGIE,WASIMAMIE ULINZI NAKUENDELEA KUISHI ZANZIBAR KAMA NYUMBANI. HIZI STORI ZINASHUSHA HADHI WALIOPO ZANZIBAR NA VIZAZI VYAO.

FANYENI UTAFITI KUHUSU HAYA; MKIONA YAPO YAKUCHUKUA CHUKUENI. DIASPORA TUNAIPENDA TANZANIA YAWATANZANIA SIYO TANZANIA YA WAGENI.
 
Sikiliza wimbo wa majeshi ya wakoma waliwakimbiza washami kwenye Ngome yao
 
Utakuwa ni ujinga kwa Wazanzibari kuendelea na muungano huu uliojaa kero.

Wazanzibari waitishe kura ya maoni (Referendum) ili watoe maoni yao.

Sisi huku Bara tunaburuzwa tu na CCM huku tukipuliziwa moshi wa mwenge na kuzidi kuwa mazezeta.
 
Mara ngapi wajitangazie, sahizi wanadeka tu kwenye mbeleko laiini
 
Nadhani kuna ukimya umetawala Kwa Sababu Tu wanaoongoza nchi wote wanatoka sehemu moja. Nafurahi kuona upo ufanisi na mabadiliko makubwa yaliyofanywa na Marais wawili waliopo. Changamoto ninayoiona Kwa sasa Zanzibar inajiendesha kama nchi inayojitegemea ; NI Jambo zuri ila liwekwe kwenye maandishi.

Nimemsikia Balozi Karume, lakini pia upo mnongono mkubwa kwamba sekta zote zinaongozwa na watu wenye uraia Pacha. Nafurahi kama mwana diaspora kuona kama tunapewa nafasi sasa yakutenda Ila Kwa uzalendo mkubwa Naona kama tunasababisha mpasuko mkubwa ndani ya Zanzibar.

Tanzania inapinga uraia Pacha kikatiba na kisheria na sheria za nchi zipo wazi kuhusu raia WA Kigeni kufanya kazi nchini. Nadhani tumekiuka katiba nakuaua sasa Zanzibar iwe na uraia Pacha. Kuguswa uraia Bila kubadili msingi ya katiba nikufungua milango kuasi ndani ya nchi.

Eneo la pili NI ubaguzi WA maslahi; malipo wanayolipwa diaspora waliopewa teuzi ni karibia mara Kumi yamalipo wanayolipwa watumishi wazawa na waliokulia kwenye mfumo wa utumishi WA umma. Hii ina athari kubwa Sana katika Taifa. Kwamba Leo matajiri wanarejesha watoto wao wanaoishi vizuri nje kuja kuwaongoza watumishi wazalendo waliokulia kwenye sekta ya nakufanya KAZI katika mazingira magumu miaka Tele....this is not fear. Tusiwadharau Watanzania waliopo Tanzania Kwa elimu zao na Hali zao zakuheshimu misingi ya nchi.

Waliorejeshwa kupata uteuzi NI watu wasio na uwezo wa kudeliver kabisa. Wanarudi Tu Kwa Sababu kuna connection; mnaweza mkadhani mnaijenga nchi lakini hakuna nchi umewahi kuendelea Kwa viongozi kuwadharau raia wake wala kuwabagua kiajira au kikanda au kindugu. Tulitazame upya.

Lakini pia IPO athari kubwa ya kukodisha visiwa.....hakuna mtawala WA kid mokrasia anazidisha miaka Kumi ofisini means busara ya kawaida inamtuma kiongozi aliyetumwa na watu kuwauliza watu kabla ya kuuza au kumikilisha ardhi Yao.

Upo uwezekano wakukodisha uwanja wa ndege, nadhani tumeiona mara nyingi ikiandikwa kwenye mitandao. Hivi Leo tukikodisha uwanja ambao NI lango la kisiwa hiki Zanzibar inabaki na rasilimali gani? Tumeona ubinafssishaji kwenye sekta zote ulivyofeli Tanzania ; Leo tunataka kukodisha lango la uchumi WA nchi for what.....kwanini tusikubali tukabaki na umaskini wetu Ila tukawa na Uhuru?

Katika kukabidhi uwanja nasikia hata visa pia tunataka zitolewe na wageni kwamba sisi ngozi nyeusi tumefika mahali tunaamini hata kutoa visa tunapaswa kuajiri wageni; are we serious? Tatizo kubwa la ajira tulilonalo tunakosa watumishi mahiri wakuweka kwenye sekta kuliko kuwaza kubinafsisha kila kitu?

Sekta ya utalii nayo inanyemelewa na kuhodhiwa nawageni; kama viongozi wanawaona Watanzania hakunatinachokiweza ndo watuuze. It's true tuna jamii ambayo siyo active lakini tunaamini tukiwafanya watumwa ndo tumewakomboa?

Niwaambie viongozi waandamizi WA Taifa letu; tokeni ndani mkalipambanie Taifa. Jaribuni kukanya na kushauri viongozi. Naamini mnayo Nia njema yakwenda mbele lakini mnapita njia isiyo sahihi.

KAMA MNAAMINI WATANZANIA WANAPASWA KUTAWALIWA SIYO KUONGOZWA BASI MTAKUWA MNALIAUZA TAIFA. NIA YENU NJEMA IPELEKENI KWA WANANCHI MDIJIAMILIE MAMBO KAMA VILE MTAISHI MILELE.

KWA STORI ZILIZOPO HUKU FALME ZA KIARABU ITS LIKE WATU WANAWAZA WAWE WATANZANIA, WAMILIKI MALANGO YAKUINGIA TANZANIA, WAREJESHE ARDHI YA WAZAZI WAO, WAMILIKI UWEZO WA KUAMUA NANI AINGIE NANI ASIINGIE,WASIMAMIE ULINZI NAKUENDELEA KUISHI ZANZIBAR KAMA NYUMBANI. HIZI STORI ZINASHUSHA HADHI WALIOPO ZANZIBAR NA VIZAZI VYAO.

FANYENI UTAFITI KUHUSU HAYA; MKIONA YAPO YAKUCHUKUA CHUKUENI.........DIASPORA TUNAIPENDA TANZANIA YAWATANZANIA SIYO TANZANIA YA WAGENI
NENO ZURI
MJE HUKU
JAMANI

ata mm niliona japo siyo kwa mapana kama yako TZ jaman tusipo kuwa makin tutapeperusha bendera za mataifa kadhaa katika maeneo yetu muhim ya serikal

Tatzo.... Sjui kwnn yule jamaa aliondoka mapema.
 
Nyie wazenj msikilizeni Balozi Alli Karume anachosema kwani ana uchungu na hivyo visiwa!! Hawa wakina Hussein hawana uchungu na Zanzibar kwani wana makazi yao bara!!
 
Kujitangazia Uhuru siyo shida, shida nikujitangazia Uhuru ukiwa umemilikisha kila kitu Kwa wageni maana yake wewe utajiona upo uru Kwa upande mmoja Ila italazimika uanze upya vita yakujitoa utumwani
 
Yakheee yakhee watuchokoza sie wapemba
Kule tanganyika mwakiyembe amegundua taasisi nyingi zinahamasisha ushoga na idadi ya mashoga kwa mikoa ni ya kutisha sana, wasiwasi ni baada ya miaka 10 Tanganyika itakuwaje
 
Kihisia na kiimani Zanzibar sio Taifa Huru ila kwasasa kiuhalisia na ukweli Zanzibar ni nchi na Taifa huru.
 
NENO ZURI
MJE HUKU
JAMANI

ata mm niliona japo siyo kwa mapana kama yako TZ jaman tusipo kuwa makin tutapeperusha bendera za mataifa kadhaa katika maeneo yetu muhim ya serikal

Tatzo.... Sjui kwnn yule jamaa aliondoka mapema.
Kuwateua uongozi watu wenye uraia pacha ni kuvunja Katiba iliyopo,

Na ndiyo maana narudia kusema,

Uchaguzi wa 2025 kama utakuwepo, utakuwa na sura nyingi sana,

Tusubiri.
 
Wajitangazie Uhuru hata Leo kwani itakuwa shida gani? Achana nao wasikupe shida, ikiwezekana tutawapa na zawadi ya kuziwa Cha mafia wakijitenga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom